kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unatamani ungefanya tofauti ulipokua na umri wa chini ya miaka 25?

    Heshima yenu wakuu. Kuteleza na kuanguka kisha kuinuka tena na kusonga mbele ni shule nzuri sana ya vitendo ambayo humfanya mwanadamu kuwa na mbinu thabiti za kutatua changamoto zake za hapa na pale katika maisha. Wazungu wanasema, "mistakes are the best lessons". Nawakaribisha kwenye uzi huu...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kunyoa Dar au Arusha

    Habari zenu, Mimi ni kinyozi mzoefu natafuta kazi ya kunyoa, nipo tayari kufanya kazi Dar au Arusha, Aliye tayari a nitumie mawasiliano yake pm.
  3. S

    JamiiForums Tanzania karibuni vijana wenye mawazo ya teknologia ambayo mnataka yafanyiwe kazi.

    kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
  4. JamiiForums Tanzania Fursa ya Kazi - Kuendesha Guest House Mwanza

    Habari wana Jamii, Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding

    Habari, Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam. Karibuni kwa yeyote mwenye uhitaji wa kazi. Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za Kazi - Mtendaji wa Mtaa (Nafasi 2)

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  7. JamiiForums Tanzania Aliyewapa tenda CCM kazi ya kutete DP world kwa wananchi ni nani? Amewapa shilingi ngapi?

    Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World. Hizi pesa za campaign zingewekezwa kwenye elimu na barabara nchi ingekuwa mbali kiuchumi. Mimi naona campaign...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za Video production na Matangazo kwa kulipa anayeleta dili

    Habari wadau. Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje. NB: Malipo yapo kwa atakayeleta dili.
  9. JamiiForums Tanzania Abbas Mtemvu Awaonya Viongozi Wasiofanya Kazi za Ilani

    ABBAS MTEMVU AWAONYA VIONGOZI WASIOFANYA KAZI ZA ILANI Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar Es Salaam Abbas Mtemvu, amesema Diwani yoyote wa chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo na Mbunge asiyetekeleza Ilani ya chama afai kwa uongozi . Mwenyekiti wa CCM mkoa Abas Mtemvu, alisema...
  10. JamiiForums Tanzania Naona ipo siku nitaiacha hii kazi ya ualimu ni wakati Sasa wa Kutengeneza mifumo

    Fikiria hupo chama Cha chakuhawata alafu inatokea tu chama kingine (CWT) wanapitisha makato yako na umeshajitoa, Unaenda kwa afsa utumishi ( Hapo umeshamtafuta mwezi mzima hayupo ofsini) anakujibu short tu kwa dharau kwamba nenda huko CWT wakuandikie kwamba wewe sio Mwanachama wao uniletee hapa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni yangu changa: mshahara 250,000/= fixed. Location: Kigamboni. Aina ya kazi: Salesperson: Vinywaji (soft drinks) kwa kutumia VAN. Contract ni miezi 3 renewable based on performance. Muda wa kazi : Saa 2 asb hadi 10 jioni. Jumatatu hadi Jumamosi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Keda Ceramic - Twyford Tiles

    Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa tena...Kuna yoyote amekutana na jambo kama hili?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Habarini ndugu, jamaa na marafiki. Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology. Nina uwezo wa kufundisha primary, secondary na advanced level. Nipo mbeya. Please mwenye kujua shule yenye uhitaji au connection anijulishe. Namba ya simu: 0766698323
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kazi yoyote ndani ya Arusha ya halali niko tayari kufanya

    Habari wakuu, mimi ni mwanaume ninayehitaji msaada wenu, mambo yamekwama na hayaendi kabisa. Nimejaribu kupita huko na huko lakini bado sijafanikiwa, mdau yoyote atayeweza nisaidia nipate mahali pa kufanya kazi nitashukuru sana. Nina uzoefu na mambo ya migawaha ya kimataifa, pia naweza...
  16. JamiiForums Tanzania Mbali na kuwa DP World hawajaanza rasmi kazi ya Bandari nchini, ajabu wamefanikiwa kutugawa kidini

    Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri? Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye umoja wetu. Sasa watu maarufu kabisa, wasomi na viongozi wakuu wa dini na serikali wanaacha kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

    Nyie kuna watu waongo aisee. Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua. Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa. Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenye miradi mbalimbali huwa wanapataje?

    Wakuu mwema. Kuna miradi mingi inaendelea hapa mjini Dar es salaam. Kuna mwendokasi maeneo mbalimbali wanatengeza. Kuna barabara za mitaa zinajengwa maeneo mbalimbali, lakini yote hii huwa naona watu wakishiriki ujenzi huo (vibarua). Sasa huwa najiuliza huwa wanapataje hizo nafasi, kuna...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?

    Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi? Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi: Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…