kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lodhia group of companies, mwisho wa maombi ni Augusti 11, 2023

    EMPLOYMENT OPPORTUNIES AT LODHIA GROUP OF COMPANIES Lodhia Industries is one of the leading and fastest growing steel & plastic manufacturers inTanzania and is currently operating out of two locations, Dar-es-salaam and Arusha. Since thefoundations of the company laid back in 1996, Lodhia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi la watu wa Mauzo

    Hello, Natafuta watu wenye uzoefu wa kazi hizi. -Marketing. -Sales Wakiwa jiji la Mwanza watapata kipaumbele. Tuma cv yako. Only shortlisted candidates will be contacted.
  3. JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu amtengua Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kukiuka maagizo ya Mkutano Mkuu wa BAKWATA

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuber Bin Ally amemsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Simiyu, Mahamoud Salum Kalokola kutokana na kukiuka maamuzi halali na maagizo ya mkutano Mkuu ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Mkoa uliofanyika Juni 10, 2023. Baada ya maamuzi hayo Khadhi wa Mkoa wa Simiyu, Issa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Barabara ya Mwendokasi Mbagala, inaanza kuzibwa viraka hata kabla ya kazi kuisha

    Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu. Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kazi Iendelee hadi 2035

    Mambo mazuri yanataka muda, nasi tumeamua kwa kauli moja twende pamoja kwa umoja hadi 2035 kutekeleza miradi ya kimkakati; 1. Bomba la mafuta toka Hoima -Tanga, 2. Upanuzi wa Bandari zote nchini. 3. Bwawa la Mwl. Nyerere. 4. Reli ya SGR (Dar-Mwanza/Kigoma). 5. Upanuzi wa Uwanja wa KIA, JNIA...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuwa Katibu Muhtasi

    Naitwa Yohana Kanyamala, natafuta Kazi katika fani ya Secretary (Katibu Muhtasi) Nina ujuzi mbalimbali pia, kama kutumia kompyuta na nyinginezo
  7. JamiiForums Tanzania Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
  8. JamiiForums Tanzania Wagner wamepewa kazi ya kuishughulikia Poland?

    Mpaka sasa haijakuwa wazi sana juu ya kilichotokea pale kiongozi wa Wagner, Prigozhin alipofanya uasi na kuelekea kama kutaka kuipindua serikali ya Urusi. Nchi rafiki za Ukraine zilionenaka kufurahia tukio lile japokuwa wachache walitilia mashaka mtiririko mzima wa matukio.Jambo...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wanaomba kazi sio masimango, hili ni jukwaa la connection za kazi sio jukwaa la show off

    Unajua vijana hamjitumi kijana una degree unaomba kazi ya hovyo. Ningekusaidia ila ujanifata PM (mtu anaesaidia hana manyanyaso)....ndio maneno yao kila siku na kwa kila mtu. Guys Ili ni jukwaa la kazi yani waomba kazi na watoa kazi wanakutana. Kwa nini utoe maneno ya kejeli kwa mwenzio. Ajira...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa ujenzi wa nyumba njooni mnipe mawazo na mimi niwape kazi

    Habari, Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado. Watalaamu wa ujenzi nijuzeni...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

    Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500. Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  13. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Poleni na mihangaiko ya siku nzima Wakubwa zangu kwa Wadogo zangu., Kama mada inavyojieleza natafuta kazi yoyote halali ambayo inaweza kunikwamua kwenye hii hali mbaya niliyonayo ya kiuchumi maana nimekuja kujikuta nina msongo mkubwa wa mawazo. Sifa zangu: Mtahiniwa wa mitihani ya ATEC 2(Hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Nurse/Medical Assistant

    Hello kwema? Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika. Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam. Awe tayari kufanya kazi shift za usiku, akiwa maeneo karibu na hayo itapendeza. Akiwa tayari hata leo aje aanze kazi, mshahara...
  15. JamiiForums Tanzania IT wa HESLB hamko serious na kazi

    Hii nchi kila kitu ni cha hovyo. HESLB mmefungua dirisha la kuomba mkopo lakini mpaka muda huu watu bado wanaohangaika kukamilisha vipengele. Mfumo wenu ni mbovu nimelipia control number lakini kila nikitaka ku-create account page ina-load tu tangu asubuhi. Kama mlijua hamjajipanga kwa nini...
  16. JamiiForums Tanzania Wenye fani zenu za kisiasa,watanzania hawaitaji mikutano yenu,simamisheni tufanye kazi!

    Nimestaajabishwa Sana na baadhi ya mwanasiasa kufikia kukodi helikopta kupita kijiji kwa kijiji kana kwamba tupo kwenye kampeni za ugombea nafasi za uongozi wa kitaifa,sioni mantiki ya jambo hili kufanyika kwa wakati huu kwani sio muda wake,nashauri kwa weakness AMBAYO baadhi ya taasisi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU na Usalama wa Taifa, fuatilieni haya; nchi inahujumiwa. Kuna rushwa, urasimu na ufisadi mkubwa

    Ni usiku mnene. Naamua kuandika DOKEZO hili. Kwa uchungu wa yanayoendelea katika nchi yangu. Katika mada hii, nitaomba wachangiaji kujadili kwa uwazi kabisa, na kuongezea mifano mingine baada ya hii nitakayokuwa nimeiweka hapa. Lengo ni Nia njema kabisa kurekebisha pale tulipokosea na...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi

    Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Serikali mtafutieni Mandonga kazi yakufanya: vipigo anavyopata tutampoteza

    Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa. Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
  20. JamiiForums Tanzania Nia ya mheshimiwa Rais ni njema, turekebishe mapungufu yaliyoonekana ili DPW aanze kazi haraka hapo bandarini.

    Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH. Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…