kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Tanga

    Ni mhitumu wa chuo, kama kuna Kazi mkoa wa Tanga naomba connection. Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Titus Amigu: Kazi ya mwanaume ni kutafuta

    KAZI YA WANAUME – KUTAFUTA: Sehemu ya I Wanasayansi wanasema na ndivyo ilivyokusudiwa na Mungu. Mwanaume Adamu aliwekwa bustanini Edeni ailime na kuitunza (Mwa 2:15). Hata yeye na mkewe Hawa walipochafua uhusiano wao na Mungu aliadhibiwa katika mstari huo huo wa kazi akiambiwa atakula kwa jasho...
  3. JamiiForums Tanzania Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

    Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa Taasisi au Mawakala wa uhakika wa kuunganisha kazi nje ya nchi (Ulaya/ Marekani/ Kanada)

    Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA, Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kama una kitu na unahitaji kikue hakikisha unakitoa kwa njia postive (Chanya) na hii ndo siri ya kutoboa katika career yako au Kazi.

    Kama upo na talanta au karama hakikisha unaitoa kwa njia chanya Kwa WATU baada ya hapo karama yako itakuzwa Mara-dufu. Hii ndo siri huwa wanaitumia watu Kama Robert Heriel Mtibeli na wengine katika kupata Mafunuo ya kuandika na kufatiliwa na WATU Mungu aliwapa karama na wakaitumia positive na...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi jeshi la zimamoto na uokoaji

    Tangazo linaajieleza
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

    Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani. Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

    Nimeukuta umejiotea pembeni ya nyumba... Je ni dawa!?... Inatumika kuponya nini!? 👇
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  10. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
  11. JamiiForums Tanzania Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

    Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi. Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia...
  12. JamiiForums Tanzania Kama umejiajiri unapaswa kufanya kazi kwa bidii, ukiajiriwa acha sifa fanya jukumu lako tu

    Hello! Ndio hivyo wazee, kama umejiajiri fanya kazi kwa bidii maana biashara ikifilisika na wewe umefilisika automatically bila kipingamizi. Ila kama umeajiriwa neno bidii halikuhusu, kumbuka kuwa kama ulijaza mkataba wa kuanza kazi ni vyema ujue kuna mkataba wa kumaliza kazi. Watu wengi...
  13. JamiiForums Tanzania Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba: 1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii. 2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii. Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya IT, Dereva, Data Clerk na Graphic Designer

    Tayar
  16. JamiiForums Tanzania Abiria tunaovuka Kivuko cha Kigamboni leo ni kero tupu, kivuko kimoja tu ndio kinafanya kazi

    Leo Novemba 28, 2023 sisi Wakazi hasa wa Kigamboni tumepata changamoto ya Kivuko. Yaani leo kivuko kinachofanya kazi ni MV Kazi tu, kingine wanasema ni kibovu, watu wanachelewa makazini, Azam ameleta kivuko kidogo kimoja nacho ni kama kinazidiwa kutokana na idadi ya watu wanaohitaji kuvuka...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

    Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time. Nilikuwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Trafiki Kigamboni wanalalamika uzembe wa Tanroad/Tarura Kigamboni unavyowapa kazi ya ziada

    Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad! Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo! Hadi sasa eneo hilo...
  19. JamiiForums Tanzania Komredi Shemsa Mohammed: Wakandarasi Wanaokwamisha Mradi Wasipewe Kazi

    Komredi Shemsa Mohammed: Wakandarasi Wanaokwamisha Mradi Wasipewe Kazi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimeitaka serikali kutowapa tenda za ujenzi wa miradi ya maendeleo Wakandarasi weazembe na wanaokwamisha utekelezaji wa miradi. Aidha, CCM imewataka watendaji wa serikali na...
  20. JamiiForums Tanzania Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

    Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua. UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA? Unachota mchanga wa hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…