katiba mpya

  1. Waufukweni

    Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane kabla ya mwaka 2028

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
  2. Pascal Mayalla

    PostGE2025 The Voices From Within: "Watanzania poleni sana na samahani sana kwa yote, nawajibika". Tusameheane, turidhiane, twendeni pamoja kwenye Katiba Mpya!

    Wanabodi Mimi mwenzenu mzee wa masauti wakati Watanzania na dunia tukiisubiri kwa shauku na hamu kubwa Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, ambayo itaamua mustakabali mpya wa taifa letu la Tanzania. Asubuhi hii, nimeisikia tena ile sauti ya "The Voices From Within", kwenye sauti hiyo...
  3. K

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
  4. K

    CCM imeshazidiwa na dola bila katiba mpya hata CCM itabaki jina tu

    Utekelezaji huu umeanza wakati wa Magufuli. Watendaji wachache wa usalama wa taifa, Polisi na Jeshi walianza kusikilizwa na viongozi na kuambiwa kwamba huko mbele watakuja kushidwa na vyama pinzani na njia pekee ni kutumia dolla. Bila kujua madhara yake Magufuli alijali zaidi madaraka yake...
  5. figganigga

    PostGE2025 Prof. Lipumba ataka Serikali ya Mpito kusimamia Maridhiano na Katiba Mpya. Aikataa tume ya Chande

    Ibrahim Lipumba ataka Serikali ya Mpito kusimamia Maridhiano na Katiba Mpya. Aikataa tume ya Chande. Lipumba amesema Tume ya Chande ilienda kufanya kazi ambayo majibu yashatoka. Amesema Mama Samia alisema watu walipewa fedha, Watu walitaka kupundua Serikali nk. Sasa kama chanzo cha vurugu...
  6. Idugunde

    Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

    Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya? Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa. Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Ester Bulaya: Watanzania watapata Katiba mpya ndani ya miaka mitano

    Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema Watanzania watapata Katiba mpya ndani ya miaka mitano "Katika Ilani ya CCM ndani ya miaka hii mitano ya awamu ya sita Watanzania watapata katiba Mpya na ukimwangalia anavyozungumzia suala la Katiba Mpya Rais Samia amemaanisha ndio maana katika Ilani...
  8. Smartkahn

    Kwa namna hii, Itafika miaka 100 ya uhuru hatutafanikiwa hata tukipata katiba mpya

    Kwa kilichotokea kabla wakati na baada ya uchaguzi ni dhahiri shahiri sisi jamii ya kiafrika tunachangamoto ya kimsingi. Namna hii mifumo ya uongozi ilikosea inakosea na inaendelea kukosea na cha kusikitisha zaidi kama sio kushangaza wanajitetea/jisafisha/jificha katika makosa yao. Katika hali...
  9. tucker carlson

    Mchakato wa Katiba utamkuta Lissu akiwa Gerezani. Watamtoa ikishapatikana "Katiba Mpya"

    Wakuu, Hakuna sababu yoyote kuzidi kumuweka Lissu Gerezani Uchaguzi ushapita, maandamano yashapita na lile joto la kisiasa pia lishapita. The only reason why, Lissu yuko Gerezani ni kuhakikisha kwamba huo mchakato unafanyika lakini yeye ASISHIRIKI. Maana akiwa uraiani Katiba wanayoitaka CCM...
  10. sammosses

    Kwanini Katiba Mpya ni muhimu sasa kuliko wakati wote!

    Mada yangu ya awali nilisema Katiba ya wananchi ndiyo moyo wa nchi unaosukuma mienendo/mwongozo wa sheria mbalimbali kwenye nchi yeyote Ile Duniani. Umuhimu wa Katiba mpya ya wananchi unashinikizwa na wakati uliopo na mwenendo wa serikali yetu katika utawala wake. Viashiri vya ukomavu wa...
  11. K

    Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  12. Mindyou

    Wakili Dickson Matata: Katiba tuliyonayo imepitwa na wakati. Afrika Mashariki nchi ambazo hazina Katiba Mpya ni zile ambazo haziongozwi kidemokrasia

    Wakuu, Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kuwa nchi zote ambazo zina udikteta hazina Katiba Mpya
  13. Masalu Jacob

    Katiba Mpya: Madiwani wawe nao wanateuliwa Uwaziri

    Habari Tanzania !. Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa. NB Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye...
  14. figganigga

    Kifo cha Polycarp Pengo hakijanigusa. Alitakiwa afe miaka ya 90 huko. Sababu alizuia Katiba mpya

    Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana.. Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli kutokuguswa na Watu kupotea wala kutekwa. Tangu amewageuka Maaskofu wenzake wakina Gwajima, Pengo...
  15. T

    Katiba mpya itasaidia kuondoa kudharau sheria, impunity

    Ni vizuri Watanzania tupiganie kwa namna yeyote ile hadi tupate Katiba mpya kabla ya muhula wa rais Samia. Katika katiba hii lazima kipengee cha kiongozi kuweza kushtakiwa kiwemo. Tena kipengee hicho isisitizwe kianze kutumika tangu kufariki kwa Mwalimu Nyerere. Heshima ya kusamehewa ipewe...
  16. H

    Katiba mpya ni nzuri lakini je hata kama ikiandikwa katiba mpya itaheshimika na kufuatwa?

    Mjadala wa katiba mpya umekuwa ukijirudia mara kwa mara, huku wengi wakiamini kuwa suluhisho la changamoto za kisiasa na kijamii ni kuandika katiba mpya. Ni kweli kwamba katiba mpya inaweza kuwa fursa ya kurekebisha mapungufu yaliyopo, kuimarisha uwajibikaji, na kuweka misingi mipya ya utawala...
  17. Pascal Mayalla

    HOJA Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi. Katiba Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  18. K

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  19. mrxtz2026

    Waraka kwa serikali na umma kuhusu mapendekezo ya katiba mpya

    Imetolewa: Dodoma, Tanzania 29 Januari 2026 Kumb. Na: Maoni/JMT/01 Ndugu Mheshimiwa, YAH: MAONI YA WANANCHI KUHUSU PENDEKEZO LA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Napenda kuchukua fursa hii kuwasilisha barua hii kwa heshima na uzito unaostahili, ikiwa ni sauti ya mwananchi na mchango...
  20. Idugunde

    Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
Back
Top Bottom