katiba mpya

  1. O

    PostGE2025 Heche na Mnyika, Mazungumzo ya kisiasa na serikali kutatua mkwamo wa kisiasa na suala la Lissu kuwa huru kamwe isitafsiriwe kama ni kupiga magoti

    Wadogo zangu HECHE na MNYIKA,ninapenda kuwapa ushauri kama kaka yenu na kama mtu niliyegombea UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA,nafasi ambayo kama mambo yangeenda vizuri basi ninyi mngekuwa wasaidizi wangu wa karibu kabisa. Kwa kutumia uzoefu wangu wa kisiasa na umri wa kuishi hapa duniani...
  2. Msanii

    Hitaji la Katiba Mpya

    Kuna Watu wamejitwisha jukumu la kupinga sauti za wananchi kutaka Katiba mpya. Piga kura kuunga mkono au kupinga kusudio la kupata Katiba ya wananchi
  3. L

    Sioni Sababu ya Kuharakisha Na Kufikiria Suala la Katiba Mpya kwa sasa. Kipaumbele cha Watanzania ni Maisha yao na Ustawi Wao Pekee

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza tuseme wazi kuwa suala la katiba mpya siyo Muarobaini Wa Matatizo na Kero za Wananchi. Kenya walisifiwa Sana kuwa na Katiba nzuri. lakini sote ni Mashahidi na Mashuhuda namna kenya Ambavyo Wananchi wanaendelea kuteseka na hali zao mbaya za Maisha hadi wanafikia...
  4. A

    Ado Shaibu amembana Waziri Mkuu kuhusu katiba mpya

    Leo katika kikao cha Bunge la 13 mheshmiwa Ado Shaibu ameuliza kwa ukaribu kwa Waziri Mkuu kuhusu katiba mpya. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amejibu kuhusu swali la Ado Shaibu na kusema “hoja ya Ado Shaibu sio hoja mpya, serikali imetoa tamko mara kadhaaa na ni hoja ambayo ina uzito na umuhimu...
  5. R

    Mwigulu: Mwongozo wa Katiba mpya umeshatolewa. Serikali ya Rais Samia inatambua Katiba ni msingi wa upatikanaji wa haki

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amehoji Bungeni leo kuhusu utekelezaji wa ahadi ya serikali ya kufufua mchakato wa Katiba mpya, akitaka kujua ni lini mchakato huo utaanza rasmi na utakuwa na sura gani. Ameongeza kuwa bunge linakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu lizinduliwe, huku...
  6. B

    Serikali kazi yake ni kuwahukumu waovu ,dini kazi yake ni kuwaonya na kuwakemea waovu waache dhambi zao

    Serikali kazi yake ni kuwahukumu waovu ,dini kazi yake ni kuwaonya na kuwakemea waovu waache dhambi zao. WE ELEWA HIVYO
  7. Q

    Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Kauli mbiu kuu ya CHADEMA ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani. Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema...
  8. mrxtz2026

    Wakili Maduhu: Kwa Hali hii Je, Muundo wa Kikatiba wa Baraza la Mawaziri umebadilika Bila Mabadiriko ya Katiba.?

    Ameandika Wakili Maduhu William katika Kurasa wake wa Instagram kama ifuatavyo: Hii page ya @ikulu_mawasiliano Nani anaeiendesha.? Nimeona picha walizopost Mhe Rais akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri na wao wameandika ni kikao cha baraza la mawaziri. Katika kuperuzi zile picha nikamuona...
  9. C

    Dkt.Ayoub Rioba : Katiba Mpya Isaidie Kukabili Mifumo ya Unyonyaji wa iliyoachwa na wakoloni

    Mtoa hoja huyo amesema anaunga mkono upatikanaji wa Katiba Mpya, akisisitiza kuwa haungi mkono chama chochote cha siasa kwa upendeleo, bali hutathmini vyama vya CCM, CHADEMA na vingine kwa kuzingatia hoja na utendaji wake. Ameeleza kuwa, ingawa Katiba Mpya ni muhimu katika kujenga taifa lenye...
  10. ShesRise_1

    Katiba Mpya au Chama Kipya? Je, Tunataka Kubadili Mfumo au Viongozi?

    Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
  11. M

    Watanzania wakati umefika wa kuamka na kumpambania Lissu na katiba mpya

    Ni dhahiri hawa wauaji wamepanga kumfunga Tundu Lissu na hawana mpango wa katiba mpya ambayo itawaondoa madarakani. Sasa kwa umoja wetu tuamke na tuingie barabarani kuhakikisha haki inapatikana Tanzania. Tundu Lissu ameonyesha dhamira ya kweli na kutupigania watanzania, tunapaswa...
  12. C

    Godbless Lema amesema Katiba mpya haitsaidia bila mabadiliko ya fikra

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amewataka Watanzania na vijana wanaoikimbilia Katiba Mpya kutambua kuwa mabadiliko ya sheria mama hayatakuwa na tija kama jamii haitabadilika kiutendaji, kiimani na katika kulinda utu wa binadamu. Akihutubia...
  13. R

    Minyonyaji haiwezi kukubali change, ndiyo maana haitaki Katiba MPYA na mfumo mzuri wa uchaguzi

    Hili ni kweli. Minyonyaji iliyoshiba ndiyo michawa inaogopa Katiba moya. Msikilize Mwalimu Nyerere
  14. Mtu mbalimbali

    Rasimu ya Katiba Mpya: Mapendekezo ya Watanzania

    Good day Great thinkers! Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake na nini matarajio ya waTanzania. Nimeona ni vyema nikawasogezea Pdf ya Rasimu ya Katiba ya Jahmuri...
  15. T

    Ni nani alichomeka kipengele cha Katiba Mpya kwenye ilani ya CCM wakati ni wazi kwamba hawaitaki Wala hawana mpango nayo!?

    Hili jambo linatafakarisha sana, kwa kawaida CCM wana kila kitu kwa namna ambayo kitu chochote toka kwa yeyote ila kutimiza wanachokitaka. Inavyoonekana sio shida wala haja ya ccm kama chama kuruhusu wananchi wajitungie katiba Sasa kwa nn kusumbuka kuiweka kwenye kitu kinaitwa rasimu? Ni kwa...
  16. and 998 others

    Gen Z wa Kenya waliyeyushwa kama Mvuke pamoja na kuwa na KATIBA MPYA!

    Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni. Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo...
  17. ChoiceVariable

    Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  18. McLaren

    Aliyeandika "Free Lissu" "Free Nchimbi" "Free Polepole" "Tunataka Katiba Mpya" kwenye ukuta wa Makao Makuu ya CCM adaiwa kukamatwa na Polisi

    Wakuu, Anaandika kada wa CHADEMA na mwanaharakati wa haki za binadamu, Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram ========== Muda huu Makao makuu ya CCM Dodoma mwananchi amefika katika ukuta huo na KUANDIKA maneno ya HAKI Tunataka Katiba Mpya Free Polepole, Free Nchimbi na Mateka...
  19. R

    Buruan: Kuna Mwananchi anakula katiba hapa?, Unataka Madaraka ya Rais yawe madogo ili ugundue nini?

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruan, amewajia juu wanasiasa wanaopigania mabadiliko ya Katiba Mpya, akidai kuwa ajenda hiyo haina tija kwa wananchi wa kawaida. Akizungumza mbele ya wananchi, Buruan amesema kuwa wananchi wengi hata hawaijui...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Buruani: CHADEMA kila wakizunguka wanataka Katiba Mpya, Kuna mwananchi anakula Katiba hapa?

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amekataa hoja ya Katiba Mpya inayosisitizwa na baadhi ya vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, akisema wananchi hawahitaji Katiba Mpya. Aidha, Faris amekosoa baadhi ya kauli zinazotolewa na CHADEMA katika ziara zake...
Back
Top Bottom