Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu
Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
Mbona kama miaka liliyochukua kujengwa na kufikia hapo lilipo ni mingi kuliko MATOKEO , au Kuna mambo ya ziada tupeni Shule na UFAFANUZI. nahisi ni zaidi ya miaka mitatu
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025...
Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi.
Ukienda dirisha la tikiti yupo unayemuambia unakokwenda na muda wa treni unayotaka, kisha anaelekeza kwa mwandika tikiti naye...
Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi.
Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao...
Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
Naomba kueleweshwa,
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview.
Oral...
Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.
Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena.
Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...
Nasikia Iran ina majeshi makubwa mawili. Jeshi la kawaida na jeshi tiifu kwa Ayatollah. Uelewano kati ya majeshi haya ukoje?
Maana ni kawaida majeshi kuwa na mabifu. Jeshi gani lina nguvu zaidi? Na kwa nini Israeli inaua viongozi wa jeshi moja tu?
Wakuu, nimeshtushwa kusikia hii statement leo kutoka kwa kiongozi wa nchi raisi Samia kwamba kuna mbunge wa Taifa na kuna mbunge wa Jimbo.
Mwezi October mwaka huu nchini Tanzania kutafanyika uchaguzi mkuu wa wabunge na pia raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo raisi wa sasa Samia...
Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana,
Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
Je, hawa wanafunzi wanaomaliza form four na kwenda vyuo vya kati, huwa wako entitled kupata mikopo kama vyuo vya elimu ya juu (HESLB)? Au ni mzazi anaendelea kupambana kama sekondari.
GT
Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi.
Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya...
Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake.
Tukianza na nchi ya Marekani
Per Capital Income ya USA kwa mwaka 2023/2024
GDP ya USA: = 25.5 Dola trilioni
Idadi...
Kesi imepelekwa Mahamakani siku ya hukumu Hakimu kapendeza adhabu tatu ,ila kakupa nafasi wewe mlalamikaji kumchagulia Mshtakiwa mojawapo ya adhabu alizotoa,Kila mmoja na adhabu yake.
Adhabu alizotoa ni kama ifuatavyo
1:Faini Milioni mbili
2:Jela miaka miwili
3:Msamaha
Washtakiwa wanakabiliwa...
Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa.
Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi.
Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus.
Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana.
Ila ni kwamba vilevi...
Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani.
1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana.
Kitivo cha biashara hakina...
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.
Lakini pia kumekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.