kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ni njia pekee ya kutatua mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani

    China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara. Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kutatengenezwa Multiplanetary rockets hapa Tanzania inayoweza kubeba mzigo kati ya tone laki 5 na tone million 10

    Moja ya njia ya kuweza kufaidika na space economy ni kutengeneza Multiplanetary rockets itakayokuwa na uwezo wa kubeba tone million 1 na zaidi it sound awkward ila lazima iwezekane Hizo rockets zitakuwa za aina nyingi na tofauti na kwa ùchache zitakuwa na sifa zifuatazo Kiwango cha chini cha...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu. Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate. Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hakuna biashara ya silaha za nuclear duniani kati ya nchi?

    Kwa nini nchi zinazotengeneza silaha za nyuklia hawauzi hizo silaha kwa nchi nyingine kama wanavyouza silaha nyingine zote?
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hii mikakati ya chadema kuzuia uchaguzi ni hatari, nashauri wazee waingilie kati

    Naona hawa jamaa wako serious kuzuia uchaguzi, na kwa hizi mbinu wanaweza kufanikiwa kama hatutakuwa makini.
  6. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Njia ipi bora ya kununua viwanja -Arusha?

    Ndugu zangu habari. Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo. 1: Manispaa / ofisi za ardhi 2: Kwa mtu binafsi 3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja. Asanteni
  7. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu tofauti kati Certificate of registration for Taxpayer Identification Number na Service levy

    Natumai mmeamka salama Familia ya wanajf Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba msaada wa kufahamu tofauti kati Certificate of registration for TIN na service levy(BRELA)
  8. F

    JamiiForums Tanzania Yumkini kesi hii ni kati ya Lissu na Rais Samia

    Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo? Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu? Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inaweza kuwa kitovu cha utalii wa kitabibu Afrika Mashariki na Kati?

    Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga inaandaa mechi ya Netball kati ya Team Kouma na Team Mwamnyeto

    Inaonyesha Yanga msimu huu imeamua kuenzi michezo yote iliyopo katika nembo yao. Baada ya pambano la ndondi la kukata na shoka kati ya Kibwana Shomari na Denis Nkane, sasa hivi klabu hiyo inaandaa mechi ya netball itakayowahusisha wachezaji wake. Inasemekana wachezaji wamegawanywa pande mbili...
  11. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya freemason na kanisa katoliki

    June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya...
  12. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho msingi wa mabishano kati ya Godbless Lema na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu bei ya hizi ndege

    Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
  13. Edsheraan

    JamiiForums Tanzania Nichukue simu ipi kati ya hizi

    Redmi 13C. Redmi 14C Aquos sense 7 plus (used) Natanguliza shukrani🙏🙏🙏
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  15. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Mpaka Kati ya Thailand na Cambodia Uendelea kwa Siku ya Tatu

    Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kwanchi hizo kujizuia kulipa mashumbulizi. Cambodia imeitaka Thailand “kusitisha mapigano mara moja”...
  16. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

    Wataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mzee Butiku, Mzee Warioba vs Mzee Kikwete, nani mshauri mzuri?

    Salaam! Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu? Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba, Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.

    Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?. Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku outshine . Kosa alilofanya JPM naona limejirudia tena . Jpm ali offend the wrong enemy , Alimshambulia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

    Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
  20. Jbst

    JamiiForums Tanzania Kati ya haier na hisense ipi bora?

    Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara. Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati kabla sijafika huko chini kwa wachina kina vitron na kina Alitop. Msaada wakuu.
Back
Top Bottom