kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Tunatafuta Kampuni za Habari au Waandishi wa Habari Huru kwa Ushirikiano wa Kimkakati (Strategic Partnership).

    wakuu kwema, tunatafuta kampuni za habari au waandishi wa habari huru wenye nia ya kushirikiana nasi kimkakati katika kuendeleza teknolojia, habari na usambazaji wa maudhui ya kidijitali. Tunakaribisha wenye nia ya kuchunguza fursa za ushirikiano. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
  2. Muonekano wa sura ya mke wa CEO wa kampuni ya Dell yazua gumzo Marekani

    CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa...
  3. KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  4. Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  5. kusajiri kampuni yenye huduma mchanganyiko

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  6. A

    KERO Kampuni ya SprinyTZ inakataa kutulipa ikidai hatujafanya kazi, mikataba hatujarudishiwa na NSSF hawalipi

    Habari, Kuna kampuni inaitwa SprinyTz, iliyopo Makumbusho, Derm House, ghorofa ya tano. Kampuni hiyo inajihusisha na usambazaji wa huduma za fiber. Ilitangaza nafasi za kazi, tukatuma maombi na tarehe 1 Septemba tukaanza kazi. Kampuni ilituajiri na kutuahidi kwenye mikataba kwamba ingetulipa...
  7. Simba yadaiwa kugomea Kampuni mpya ya Uuzaji Tiketi za Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Simba SC imegomea kampuni mpya iliyopitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya uuzaji wa tiketi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026. Simba SC imechukua hatua hiyo kwa kuandika barua rasmi kwenda Bodi ya Ligi...
  8. Msaada kuhusu kupata leseni ya kampuni

    Habari ndugu zangu, naomba msaada kidogo. Nimesajili kampuni na sasa nataka kupata leseni ya biashara kwa jina la kampuni. Tatizo ni kwamba nikitumia portal ya TAUSI, naona option ya kuomba leseni ya biashara kwa jina langu binafsi, lakini sioni sehemu ya kuomba leseni kwa jina la kampuni...
  9. O

    Msajili afuta Kampuni 440 katika Sekta mbalimbali nchini

    Msajili wa Kampuni nchini Kenya amefuta kampuni 440 kutoka kwenye rejista rasmi ya kampuni, hatua iliyogusa biashara katika sekta mbalimbali za uchumi. Kwa mujibu wa Gazette Notice ya Oktoba 4, 2026, kampuni hizo zilivunjwa rasmi na majina yao kuondolewa kwenye Register of Companies chini ya...
  10. Kampuni zenye mabasi ya Scania kutoka kiwanda cha kuunda mabodi Gemilang

    Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi huwekwa kwenye chasis za Scania. Kampuni maarufu za usafiri nchini zilizowahi au zinazoendelea kutumia...
  11. A

    KERO Kampuni ya Kambele Investment ya Arusha inauza kiwanja kimoja kwa wateja wawili

    Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata suluhisho wala stahiki zake. Tunaomba Wizara ya Ardhi na mamlaka husika kulifanyia uchunguzi suala hili...
  12. Kampuni ya betting 50pick na mtindo mpya wa kubeti

    Wakuu mimi nimezoea kuona kampuni za betting tunaweka mkeka kwa kufuata odds Sasa hawa www.50pick.tz kwanza mnabeti ninyi kwa ninyi kwa kujibu maswali ya ndio au hapana. Mfano wanauliza ligi kuu ya nbc kutatoka adhabu ile kamati ya saa 72 ndani ya mwezi huu ,, halafu kunakuwa na ndioa au hapa...
  13. K

    Hizi ndio Taasisi zinazoongoza kwa wafanyakazi kuwa na maringo na masifa hapa Tanzania

    1.TRA 2.NSSF 3.PSSSF 4.BOT 5.UDSM 6.DAWASA 7.TANESCO 8.MUHIMBILI HOSPITAL 9.IKULU 10.CRDB BANK 11.TISS 12.Police 13.PSRS 14.NHIF 15.CCM 16.NIDA 17.Wasafi media 18.clouds media Staff wa hizo taasisi huwa wanajiona kama wanafanya kazi mbinguni vile yani.
  14. Pamoja na kampuni ya sandaland kuwa na mkataba wa jezi,kwa wakati huu tulistahili kuwa na jezi za kiwango cha juu!...

    Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
  15. N

    Changamoto ya Kutambulika kwa Kampuni za Tanzania katika Soko la Kimataifa

    Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi. Kwa...
  16. Nitakupatia domain name na kukutengenezea email ya kampuni au biashara yako kwa 50,000 tu

    OFFA YA LEO TU. Sasa unaweza kuiipatia email ya kampuni yako au biashara tako rasmi kwa Tsh.50,000 tu. achana na gmail.com bali utapata domain kama biasharayako.co.tz na email tako rasmi yaani info@biasharayako.co.tz. wahi sasa offa hii ni kwa wateja 5 tu. Email yako utaipata ndani ya masaa...
  17. Kampuni ya "Life Tanzania" ina uhusiano gani na TTCL?

    Kwa muda mrefu sana nimegundua nikiweka SIM Card ya TTCL, ukaenda kwenye SIM Manager, badala ya kuonekana TTCL kama ilivyokuwa inaonyesha zamani, kwa sasa inaonyesha ni mtandao wa "Life Tanzania". Ningependa kujua hii "Life Tanzania" ni nini na uhusiano wake na TTCL. Nimeambatanisha kielelezo.
  18. M

    Msaada: Napataje mafao yangu ya NSSF kama sina Certificate of Service na Kampuni niliyokuwa nafanyia kazi imefungwa?

    Habari wakuu, Naomba msaada na ushauri kutoka kwa mtu mwenye uzoefu na NSSF au aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani na nilikuwa nachangiwa NSSF. Kwa sasa kampuni hiyo imefungwa, hivyo siwezi kupata Certificate of Service kutoka kwa mwajiri wangu...
  19. Argentina kuishitaki Kampuni ya Navitas ya Israel kuhusu Falkland!!

    Argentina itawasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya kampuni ya nishati ya Israel Navitas Petroleum na makampuni mengine yanayohusika katika uundaji wa hidrokaboni karibu na Visiwa vya Falkland vinavyodhibitiwa na Uingereza, na kuongeza mzozo wake wa uhuru na Uingereza. Waziri wa Mambo ya Nje...
  20. Basi la Abood lagongana na IST wakati dereva 'aki-overtake', Watu wanne wafariki Dunia

    TAARIFA KWA UMMA AJALI YA BASI KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUSABIBISHA VIFO VYA WATU 04 NA UHARIBIFU WA MAGARI Tarehe 07 Septemba, 2026 saa 07:40 usiku katika barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju Sokoni Kinondoni Dar es Salaam basi lenye namba T 235 EMJ aina ya Yutong mali ya Kampuni ya Abood...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…