joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    Namna ya kufanya kukabiliana na joto kali la El nino.

    Joto ni kali sasa kuliko tulivyozoea. Athali za joto la jua kali mwilini: 1. mwili Kupoteza maji mengi kwa njia ya jasho: Hii ni mbaya kwasabu mafigo yatapitisha maji kidogo sana kuliko kawaida, hivyo kupata mkojo kidogo sana. hali hii inayaponza mafigo kuharibika kirahisi. 2. damu kuwa nzito...
  2. dodoma king

    Hivi hili joto Ni Dodoma tu au?

    Leo nipo Huku maeneo ya mpwapwa Huku mbori (matomondo) nimekuja kumsalimia Babu na Bibi yangu Picha linaanza nimeshuka kwenye gari nafika home joto ni Kali sana jua linawaka vibaya mno Tena ukizingatia nyumba za Huku Ni za asili Yani za tembe Basi Watu hawana Budi kukaa nje Watu wametandika...
  3. C

    Ufaransa yaishutumu Iran kuhusika na shambulizi la mtandao lililoathiri majokofu ya vyakula

    Ufaransa imeishutumu iran, kupitia kikosi cha walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (IRGC), kuhusika na mashambulizi ya kimtandao yaliyosababisha ongezeko la joto katika majokofu na friza za maduka makubwa ya vyakula nchini humo mwezi uliopita. Waziri wa mambo ya nje wa ufaransa, Jean-Noël Barrot...
  4. Mad Max

    Dar es Salaam na Pwani Kuna Joto Kali Sana. Tujitahidi kunywa Maji

    Ili joto ni Kali sana. Maji bafuni ya moto ova una heater. Imagine dehydration mwilini, aisee tunywe maji angalau 2L.
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Serikali ya CCM ilijua kwamba El Nino ya mwaka huu ni ya joto, kwanini walipunguza muda wa watoto kuwepo mashuleni na kuamuru warudi nyumbani fast?

    Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema? Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame? Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
  6. DodomaTZ

    Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaosema hakutakuwa na mvua. Subiri mwandamo wa mwezi. Kwa hilo joto sijui kwa kweli.

    Hamjambo! Kwa sisi wataalamu wa hali ya hewa tunaona mambo hayako sawa. Nikuomba tuu Mungu na kujiandaa. Mwezi utakapoanza kuandama mwezi huu tutatafutana hapa kuanzia tarehe 7 November kuendelea. Hili joto lililoanza wiki hii ni kiashiria tosha. Wekeni chakula. Debe la mahindi sasa ni elfu...
  8. Tlaatlaah

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
  9. Eli Cohen

    Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  10. M

    Ai ina mapungufu na haiwezi kuchukua nafasi ya kila mtaalamu, lakini tayari imeanza kuwakosesha pesa Graphic designers, waandishi, programmers. n.k

    Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k. Watu wenye picha zilizofifia waliwatafuta graphics designers kuongeza ubora, waliohitaji picha zao...
  11. Yoyo Zhou

    Viyoyozi vya China vyakaribishwa na watu wa Ulaya kutokana na joto kali

    Bara la Ulaya hivi karibuni limekumbwa na mawimbi ya joto kali. Inakadiriwa kuwa halijoto ya juu imesababisha vifo vya takriban watu 15,000, wengi wao wakiwa wazee wanaoishi katika nyumba zisizo na viyoyozi. Takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2025, mauzo ya viyoyozi vya China barani Ulaya...
  12. Dalton Elijah

    POTOSHI Je, ni kweli kuwa baadhi ya mataa nchini Ujerumani yameanza kuyeyuka kutokana na joto?

    Kumekuwepo na video iliyochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook ikidai kuwa kutokana na wimbi kali la joto linaloendelea kulikumba bara la Ulaya, hususan nchini Ujerumani, baadhi ya mataa ya kuongozea magari yaliyowekwa kandokando ya barabara yameanza kuyeyuka kutokana na kiwango...
  13. E

    Kwanini joto Malalamiko ya Muungano linapanda sasa?

    Katika kipindi cha wiki za hivi karibuni, mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano wa Tanzania umeibuka kwa nguvu ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, huku masuala ya uhuru wa kifedha, ajira kwa wazawa na upatikanaji wa huduma za kijamii yakichochea mijadala mipya kuhusu uhusiano kati ya...
  14. Mkalukungone Mwamba

    World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani

    Jiandaeni kwa El Niño. Taarifa za hivi karibuni kutoka World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani, jambo ambalo linaongeza hatari ya matukio makubwa ya hali ya hewa katika miezi ijayo. Ingawa...
  15. X

    China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  16. Chizi Maarifa

    Aliponiambia yeye na mimi basi. Nikamwambia sawa haina shida. Nlichomfanya hatonisahau kamwe

    Mimi kusema kweli sina roho ya kitajiri. Halafu sikopeshi kabisa ni mambo taslimu. Huyu binti alikuja toka mkoani kusoma chuo. Tukapendana. Basi nikawa sababu mimi mzazi alikuwa anauwezo nikawa nachukua mkwanja home. Huku na serikali inanilipia. Mzee anajua ananisomesha. Basi najibana...
  17. Etwege

    Waliomsaliti Humphrey Polepole waanza kuonja joto ya jiwe

    Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake. MZEE JOSEPH...
  18. Brayan_Jk

    Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  19. Mkanaani

    Usiteseke na joto, njoo upate AC kwa kulipia kidogo kidogo, kukodisha au kununua cash.

    Habari zenu wapendwa, tukiwa msimu wa joto naomba kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa AC kutoka Baridi Baridi ili kupambana na joto nyumbani, ofisini, hotelini, supermarkets n.k AC zetu unaweza kupata kwa; KULIPIA KIDOGO KIDOGO, hapa unakua unafungiwa AC na unakua unalipia kidogo kidogo kila...
  20. mirindimo

    Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
Back
Top Bottom