jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aleesha

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kuihudumia Nissan March

    Habari zenu wana jukwaa? Mimi kwa sasa ni Mkaazi wa Zanzibar, niliporudi nyumbani nilivitiwa na Muonekano wa Nissan March nikaamua niinunue, ila Marafiki zangu wa karibu wamekua wananilaumu sana kwa nini nimenunua Nissan March na nisinunue gari za Toyota kama IST? Hivo wana jukwaa nawaombeni...
  2. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kupika machoba chakula cha asili kusini

    Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu). Jinsi ya kupika. Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama makopa ni mazima lakini kama ambayo yameliwa na wadudu yanaenda kuoza kidogo huwa ni matamu zaidi na...
  3. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
  4. Salahan

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

    Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko. Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Magufuli, Nyerere alielewa mataifa tajiri yanatuonea, kutuingilia na alijua jinsi ya kubabiliana nayo kwa busara bila nguvu na umwamba!

    Kuna kitu kimoja ambacho Magufuli anapaswa kutafakari sana - jinsi ya kukabiliana na mataifa tajiri pale ambapo anaona kama yanatukandamiza au kutuingilia. Nasema hivi kwa kuwa ni wazi sana Magufuli anapewa ushauri usiofaa na Kabudi - kujaribu kuyakabili haya mataifa kama vile tuko sawa nayo -...
  6. Superpower

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma maandishi na vitabu vya lugha yoyote ile

    Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa. Sasa mm Leo ningependa kushare na nyinyi habari hizi. Kwa kuwatumia video mbili ambazo ni part 1 inahusu kutafsiri hardcopy...
  7. emanuel joseph

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Ku Unlock Router Vodafone r207-z

    Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tazama kila kina muundo na jinsi ya kustajabisha

    Vitazame vitu vyote: hai na visivyo hai, muundo wao na jinsi yao ni ya kustajabia. Ni kwa namna gani vitu hivi vimepangwa katika mpangilio huo, ni jambo pia la kustajabia. Hakuna kitu kilicho hai au kisicho hai ambacho kinaonekana kwamba hakina na hakipo katika mpangilio mahsusi. Kila kitu...
  9. IamMrLiverpool

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Command Line Interface

    Habari wataalamu Natumia windows desktop Windows Ten pro. Sasa naomba mnielekeze namna ya kutumia au ku enable CLI (Command Line Interface) Na pia jinsi ya ku disable GUI (Graphical User Interface) Maana lengo langu ni kutumia CLI peke yake. Natanguliza Shukrani.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongea unaposhinda Uchaguzi, au unaposhindwa. Chama Tawala na Wapinzani wanapaswa kujifunza

    Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi. Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria. Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ripoti ya BBI ya Kenya jinsi ya kumaliza ukabila naiweka Watanzania tusome Tuwashauri hapa

    Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
  12. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutambua kuwa unamultiple selections

    Niliomba vyuo viwili Must na Marian unversity,Marian wamenchagua ila Must wako kimya!!! Mwenye uelewa aniambie jins ya kutambua kama nna multiple selection ili nijue. karibun
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
  14. Nico1

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri jinsi ya kuishi maisha ya ghetto chuo

    Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki. Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume. Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana...
  16. Bill

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

    Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi. Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  17. maarlioo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudownload Turrent kwa kutumia ADM

    Anayejua jinsi ya kudownload kitu chochote kutoka kwenye torrent sites kwa kutumia Internet Download Manager anisaidie jamani. Sitaki kudownlod kwa kutumia Utorrent au Bitorrent.
  18. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania AFYA: Jinsi ya kumsaidia mtoto wako aweze kutambaa

    Jinsi ya kumsaidia mtoto aweze kutambaa, haswa kwa wale watoto ambao wameshafikisha umri wa kutambaa lakini hawataki kutambaa wala kusimamia vitu. Namna ya kumsaidia unatakiwa kumpa mtoto muda mwingi wa kulalia tumbo (Tummy time), unamlaza mtoto kwa tumbo akiwa macho na chini ya usimamizi, hii...
  19. The Master pizo

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza pesa kutumia Mobile App

    Habari za leo wandugu! napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu. kwa kipindi hiki cha sasa kumekuwa na wimbi kubwa la kukosa ajira na hivyo kupelekea mai9sha kuwa duni kwa baadhi ya watu...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku connect Simu Android kudisplay kwenye Laptop (Hasa Azam TV)

    Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam. Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
Back
Top Bottom