Habari wanajamvi,
Kichwa tajwa hapo juu. Kwa kifupi:
Niliingia ubia na jamaa
nikatoa hela zangu
akamwomba jamaa mwingine aagize mzigo
mzigo (wa nafaka) ukaja umechanganya rangi. Badala ya tani moja ikaja kilo 490, na kati ya hayo 200 tu ndo ilikuwa nzima. hata hivyo, yalikuwa size ndogo sana...
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Kunywa maji mengi ni jambo muhimu sana katika kuzuia mawe kwenye figo. Kunywa kati ya glasi 12-14 (zaidi ya lita tatu) kila siku
Usile chumvi nyingi, chumvi nyingi katika chakula inaweza kufanya kalsiumu zaidi itoke mwilini kwa njia ya mkojo na hivyo kuongeza hatari ya mawe kutokea
Punguza...
Wajuvi natumia Oppo A9 2020 yenye RAM 8gb na ROM 128gb Mimi ni mgeni kwenye hizi simu yeyoye anayejua Jinsi ya ku-update Android kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nawasilisha.
Habari wakuu. Kwa uzoefu wangu wa kufanya interviews zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita, moja ya swali ambalo nimekutana nalo mara nyingi ni, "WHY SHOULD WE HIRE YOU?". Kwanza, niwe wazi kuwa hili ni kati ya swali ambalo kiukweli binafsi silipendi kabisa. Kwa nini silipendi? Kwa...
Habari zenu wanabodi!
Hebu tujadili leo jinsi gani unaweza ukapata kazi kwenye miradi mikubwa niliyoitaja hapo juu na mengineyo.
Kwanza tumuombe Mungu aujalie uzi huu uwe na wachangiaji ambao sio wabinafsi, ambao watashare experience zao mbinu gani wanazotumia au walizotumia kupata kazi kwenye...
Habari ya humu ndani.
Mimi siyo HR wala mtaalam sana wa mambo ya HR ila ninataka kutoa mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu.
Katika mitandao bora kabisa ambayo inaweza kubadili maisha yako ni Linkedin hasa kwa wanaotafuta kazi au hata wenye kazi ambao wanatafuta kazi ya ziada au kazi bora...
Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza.
Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo.
Uliza mrejesho kutoka kwa watu...
Habari wana JF!
Mimi ni Muhanga wa hali hii nimevumilia sana lakini nimeshindwa. Juzi kuna jamaa yangu amekuja hapa kunihadithia kisa kilichomkuta maishani mwake ameshindwa kabisa kusamehe na kuachilia inagawaje anadai hana shida na watu waliomuumiza na kumpiga majungu.
Baada ya kunieleza...
Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to skin contact/ kangaroo mother care). Hapa mama anashauriwa kumbeba mtoto kwa kumgusisha katk ngozi ya mama uda mwingi ili kumkinga mtoto kupoteza joto.
Ii/Kumfunika mtoto kwa nguo nzito iliasipoteze joto. Nguo hizo lazima...
Habari za wakti huu;
Kwa muda sasa nimekuwa nikizungumza na watu juu ya kuzalisha na kutumia Pesa. Jambo ambalo nimgundua ni kwamba imani yako kuhusu Pesa inaweza kathiri uwezo na kiwango cha PEsa ambacho unaweza kuzalisha. Wengi wetu tuna imani potofu kuhusu Pesa.Baadhi yet tunefikia hatua...
Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu
Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni
Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana mikono, kukumbatiana na kubusu
Ni lazima kuzingatia usafi wa mazingira, kunawa mikono kwa maji na...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine.
Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
Katika ulimwengu wa Teknolojia wa sasa watoto wanalazimika kuwa na vifaa kama simu, laptops nk ili kuwezesha mawasiliano ya mzazi na mtoto.
Kwa kiasi kikubwa wazazi wanadhana kwamba vifaa hivi vinaweza kumuharibu mtoto hivyo wengine huwanyima watoto vifaa hivyo ambapo wanakuwa wamewanyima haki...
Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini.
Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika.
Shukran.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.