jehanamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Binadamu anapokufa roho yake humrudia Mungu au huenda mbinguni au jehanamu?

    Kitabu cha Mhubiri, moja ya vitabu vya biblia, sura ya 12 aya ya 7 inasema baada ya kufa roho ( nguvu/kani ya uzima iliyo ndani ya mwanadamu) humrudia Mungu aliyeitoa. Mafundisho ya roho ya mwanadamu kwenda Mbinguni/paradiso au jehenamu baada ya kufa yametoka wapi?
  2. Watanzania nadhani wengi tumefika Jehanamu hata kidogo tu. Au ndo tumeshafika?

    Maisha ya watanzania wengi ni ya dhiki, adha na mateso. Mchana inzi usiku mbu. Watanzania maskini wanakamuliwa maziwa yameisha sasa wanakamuliwa damu. Maji ni shida ,umeme ni shida, chakula ni tabu, pesa wanapata kundi la watu flani tu. Mnasema tutafika mbinguni tumechoka.... Hamna...hamuwezi...
  3. Jehanamu ya moto ipo na itaifanya kazi yake siku itakapopokea wateja wake

    "Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum", Mt 10:28 SUV. Zipo dhana nyingi juu ya hili, wapo wanakataa kuwa hakuna jehanum, wapo wanakubali kuwa ipo, wapo wanaamini ukishakufa basi, na wengine wanaamini Mungu...
  4. Hivi Jehanamu iliumbwa lini?

    Za jioni jamani, Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu cha mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika. Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini...
  5. R

    Jehanamu ni uhalisia au ni jambo la kupumbaza akili za watu?

    SWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake? Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa...
  6. Udhaifu wa hoja ya uwepo wa Jehanamu

    Miaka elfu Kumi ijayo Dini za ukristo Na uislamu huenda zikawa zimetoweka kabisa Afrika( kwingineko duniani zinatoweka Kwa Kasi ya ajabu ) na watu watarejea kwenye Imani zao ZA asili ZA matambiko . Kwa Sababu ukitafakari Kwa kina utagundua mafundisho mengi ya Dini hizi yapo kinyume Na uhalisia...
  7. Imekuwa jehanamu kwangu lakini sasa niko tayari: Willy Paul ataja sababu za kunyamaza na kuchelewesha albamu yake

    Hatimaye albamu mpya ya mwanamuziki Wilson Radido almaarufu kama Willy Paul itaachiliwa wiki ijayo baada ya kusubiriwa kwa kipindi kirefu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, nyota huyo wa muziki wa kisasa amesema amekuwa akipitia magumu siku za hivi karibuni na ndio maana akachelewesha albamu...
  8. Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

    Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5 Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata kinywa tukafungulie pale na jioni tukifungie pale pale. Waswahili wanasema mtu hakatai wito. Sister ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…