jehanamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    Umeme ukikatika ukienda Kariakoo wanakouza nguo ni kama uko jehanamu

    Umeme ukikatika na ukaenda kule wanakouza nguo ni kama jehanamu hali inatisha hewa ni nzito sababu ukienda hata umeme tu upo hewa ni nzito Nawatakia heri wapambanaji wakati huu umeme umekatika na mnategemea umeme kupata chochote kitu kwa ajili yenu na familia zenu
  2. VEN Ken

    Rais Samia anapaswà kujiuzulu na kuomba radhi watanzania

    Matukio yaliyotokea Oktoba 29 tunayajua wote. Amri ilitoka kwake. Watu kupotea, kutekwa, kufungwa kwa mazingira yenye utata na kuuawa, akiwemo Kibao, ni mambo ambayo yanahitaji uwajibikaji. Hivyo, anastahili kuwajibika waziwazi. Pia, wawekezaji waliowapa nafasi nchini humu wanapaswa kutambua...
  3. O

    “Ruto Aliahidi Mbingu, Akawapa Wakenya Jehanamu!” Bennyhinn Walubengo Aikosoa Serikali ya UDA

    Katibu Mkuu wa chama cha People's Party of Kenya (PPK), Bennyhinn Walubengo, amemkosoa vikali Rais William Ruto, akidai kuwa umaarufu wake umeshuka kutokana na kushindwa kutimiza ahadi alizowapa Wakenya wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2022. Akizungumza katika kipindi cha JKLive cha...
  4. R

    Habari za kusadikika za Jehanamu

    https://youtu.be/O_SUcbrMqj8?si=9lV3IW-51-8Qznw2
  5. N'yadikwa

    Kama kweli Pepo na Jehanamu vipo, basi kuna uwezekano Watanzania wengi tusingeingia Peponi

    Najua hii ni hoja nzito, lakini hebu tujitafakari. Tunajivunia kuwa taifa la waumini. Makanisa na misikiti vimejaa. Lakini je, maisha yetu yanaendana na yale tunayoyaamini? Kila siku tunaona na wakati mwingine kushiriki katika: Rushwa. Uongo na ushahidi wa uongo. Wizi wa mali za umma na...
  6. ngara23

    Pori la Mbweni ndo jehanamu mpya?

    Pori la Mbweni na Ununio ambayo ni sehemu Moja kijiogrofia au yanapakana yameukuwa tishio Kwa maisha ya watu Mfano 1. Mzee Ali Kibao alitekwa na baadae mwili wake ukakutwa umetupwa kwenye pori hili 2. Makaburi ya halaiki CNN ilihabarisha ulimwengu kuwepo Kwa makaburi ya halaiki kutokana na...
  7. Eli Cohen

    Aiseee mbona hii ndio huwa miezi ya mvua na kibaridi flani hivi ila Hali NI kama jehanamu duuh

    Hii kit ina kimbia 30+ plus week kama ya tasty hivi
  8. Victor Mlaki

    Kufugwa kwa akili ya binadamu; Kelele ya ukimya Duniani kama Jehanamu.

    Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili ni janga kubwa kuwahi kufikia hatua lilipofikia. Mifumo mikubwa ya kidunia na kijamii (Dini, Elimu...
  9. Damaso

    Jehanamu la Watoto: Hadithi ya shule ya Dozier School for Boys – Gereza la Kikatili kwa Vijana Marekani

    Wapo watakaosema kuwa magereza hatari kwa vijana inaweza kuwa ni Komboinsin Juvenile Prison kutoka Burkina Faso, ama lile gereza la Gitarama ambalo kwa sasa linaitwa gereza la Muhanga kwa Kagame lililopo ndani ya taifa la Rwanda, ama gereza la Nsinda. Lipo kundi la watu wengine watakuja mbele...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    Nikienda Jehanamu CCM iwajibishwe

    Sijaenda kanisani kitambo, makanisa yamefungwa. Nikikosa siti za mbele peponi naomba ccm wawajibike.
  11. Rorscharch

    Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  12. Determinantor

    Kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu

    Wakuu kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu pro Max, inaumiza sana sana pale unapoona kuwa kitu unachotaka kufanya ni kizuri kwa Taifa na kwa taasisi husika lakini unakutana na urasimu ambao sio wa ulimwengu huu. 1. kuna kududu mtu anaitwa NEMC 2. Kuna...
  13. kante mp2025

    Nimegundua kumbe Jehanamu ni pale Gongo La Mboto!!

    Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu jehanamu hasa kujua iko wapi nikitumia google photo map walau kupata direction yake. Asee kumbe hata google map haifui dafu ikanibidi nitumie tu knowlege aliyoitumia Christopher Columbus kuigundua Marekani Imenichukua miaka kumi jana usiku ndio nimekuja...
  14. Bulelaa

    Ni trilion ngapi zinatosha kujenga Hospitali inayokidhi matibabu ya viongozi wetu ili wasiende tena India? India imekuwa Jehanamu inameza viongozi we

    Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India...
  15. Bulelaa

    Siku ya mwisho CCM nisipowakuta Jehanamu, nitaweka pingamizi huko kwa Mungu

    Nitakuwa na maswali haya kwenye pingamizi langu huko akhera Mwizi wa kura hastahili jehanamu? Je mwizi wa kodi za wanachi, hasitahili Jehanamu? Mdanganyaifu wa wananchi kuwa ataletea maendeleo badala yake anawaletea shubiri, hasitahili jehanam? Mwizi wa rasilimali za Tanzania kupitia...
  16. Mcheza Piano

    Aliye tengeneza neti / chandarua moja kwamoja MOTONI / Jehanamu / Hell

    Neti inakera sana hususa ni kwetu wanaume weusi warefu, unakuta inakugusa gusa miguuni na kichwani, inakera sana, raha ya usingizi inatoweka. Halafu kuna mbu wanafanya mashambulizi kutokea nje. Wafupi hamta elewa hii adha ila mkikuwa mtajionea. #UziTayari
  17. Brain Kingdom

    Kwa Wanaume kuoa ni Jehanamu ya Kujitakia . Kataa kuoa uishi kwa amani hapa Duniani

    Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama. Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao. Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao. Hivyo ili...
  18. Intelligent businessman

    Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

    Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke. Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza. Naona ndoa...
  19. Objective football

    Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa. Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes) Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi...
  20. tpaul

    Rais Samia ukijiepusha na hizi dhambi utaingia peponi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa. Ni katika utawala huo kulikuwa na matukio ya watu wengi kupotea katika mazingira ya utata, na hawajawahi...
Back
Top Bottom