jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  2. Eli Cohen

    Ile video kuwa wairan 1.2m waliandamana kuunga mkono serikali ni AI, uthibitisho huu hapa

    👇 Ritz you are a fraud Soma Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao
  3. M

    Upotoshaji ukome tangu leo, Jana Tanzania kule Morocco ilinyimwa Amani au Haki?

    Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani? Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
  4. nzalendo

    Muda kama huu mwaka jana

    Nilipiga bao pahala...nilikuwa na upwiru balaa,,,nashukuru halikwenda bure...leo nina mtoto mdogo kuliko mjukuu wangu wa mwisho. Sema AMINA.
  5. Bawabu wa pili

    Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

    Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Mama Samia jana Umedhalilika huko Morocco, na bado

    Timu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan. Wanaijeria wamempapasa na kumpiga viwili. cc Abduli, Mafwele na Muliro.
  7. stakehigh

    Show ya jana ya Marioo nchini kenya

    https://x.com/Ulimwengu01/status/2003003287298326658?s=20
  8. comrade_kipepe

    Jana nimekula ndizi utumbo for the first time

    Jana kuna dada kanipa utumbo, ama hakika ndizi utumbo ladha yake ni tofauti kabisa na ndizi nyama! Japokua ndizi utumbo bei yake imechangamka kidogo, wataalamu wa mambo wanakwambia utumbo mzuri ni ule ambao haujaoshwa sana.
  9. R

    Mzee Warioba alikuwa na ujasiri wa kumwambia Samia kuwa hapa ulikosea alipokutana naye jana? Fanya moja mbili tatu?

    Jaji Warioba alikutana na Samia jana. Hatukuia walizunhumza nini. But.most likely ni mauaji yaliyotokana na uchaguzi bandia. Najiuliza walizunhumza nini na alikuwa na ujasiri wa kumwambia matakwa ya wananchi na chanzo kikubwa cha machafuki hayo ya 29 1. Katiba mpya 2. Tume huru ya uchaguzi 3...
  10. M

    Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

    Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote. Ndio maana hata huko USA - Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto. Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi. Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni. Lakini ile...
  11. Allen Kilewella

    CHADEMA ya Jana na CCM ya Leo katika picha!!

    Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja. Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni viongozi wakuu na waandamizi Kwa vyama vyao. Kutoka kushoto mstari wa Mbele ni Stephen Wassira, William...
  12. Mafyangula

    PostGE2025 RC Makalla: Wasiotutakia mema jana wameaibika

    Ila huyu baba! =========== "Dunia imeona naWwatanzania wameithibitishia dunia ya kwamba wakiamua kulinda amani wanailinda, wasiotutakia mema jana wameaibika. Watanzania wanapenda amani na hawajazoea mambo ya maandamano na uvunjifu wa amani na wale wote waliokuwa wanataka vurugu leo wamejifungua-...
  13. Troll JF

    Mimi Kama Gen- Z naona aibu kwa kilichotokea jana Tulikurupuka sanaa naomba Samia na Watanzania wote mtusamehe

    Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
  14. Samia atosha tukutane2030

    PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

    Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu. Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale. Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka...
  15. Luca Paguro

    Sikiliza maneno ya mwananchi kuhusu hotuba ya Samia ya jana

    In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%. Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya. Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
  16. Bila bila

    PostGE2025 Wazee mlioshangilia Mauaji kwenye hotuba ya Rais mmelaani vizazi vyenu

    Jana Des 2, 2025 saa 7:11 mchana Watanzania wote wameona na Dunia imeshuhudia mliosilimishwa/kubatizwa na kupewa jina la Wazee wa Dsm mkipiga makofi kushangilia kauli ya mama Samia aliposema nguvu iliyotumika kukabiliana na Vijana Oct 29 ilikuwa ya kutosha. Tumeona mlivyotumia vizuri posho...
  17. RoadLofa

    Niliyoota jana usiku kuelekea 9 Dec

    Kuelekea 9 DEC Nimeota maandamano yatakuwepo na maeneo yatakayoshambuliwa zaidi ni misikiti na makanisaa ila ni ndoto tuu ya kupuuzwa.
  18. Sitakuumiza Kamwe

    PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

    Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa... Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    Babu yetu Tambitambi ameongeza mke wa nne jana

    Kweli ng’ombr hazeeeki maini
  20. DuaZaMama

    PostGE2025 Msanii Davido alisimamisha show yake hapo Jana kuiombea Tanzania kutokana na mauaji yaliyotokea

    "Jana usiku alisimamisha show yake kuwaambia watu waiombee Tanzania sababu ya mauaji yaliyotokea. Meanwhile wasanii wa Tanzania wanapambana kuirudisha nchi kwenye hali ya hali ya kawaida ili waweze kupiga show tena. Kila Davido wanaumia na Tanzajia ila wasanii wa Tanzania wako busy na vibao...
Back
Top Bottom