Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".
Pengine Wewe si mnyenyekevu, ni vile unakabiliana na mtu mwenye nguvu kuliko wewe
Wewe si mkarimu, unataka tu kununua kukubalika na kuthaminiwa na watu wengine
Wewe si mvumilivu, huna tu namna nyingine ya kufanya
Wewe hujajitenga na tamaa za vitu vya kimwili, huna tu uwezo wa kuvinunua
Wewe...
Mtoto wa kiume wa miez 8 anahangaika sana hata hela ya matibabu ya mtoto ni shida, binti amejikatia tamaa ya maisha anaishia kulalamika umemharibia maisha
Ile ana walk along white carpet to the altar , au Kuna nini Nyuma , au wazazi wote hawapo ?
ITS A PROOF REMINDER THAT IF YOU ARE BORN A MAN , YOU NEED TO LIVE AS A MAN , NO MATTER WHAT HAPPEN.....
Sote tunafahamu kuwa lissu alishtakiwa kwa uhaini ambapo mafuas na machawa ya samia humu jf na kwingineko yakaanza kuimba wimbo mhaini dawa yake ni kunyongwa tu, "of course machawa haya wakati yalipokuwa yakiimba wimbo kuwa dawa ya lissu ni kunyongwa tu mimi binafsi niliyaona mehu maana nikiwa...
Yaani nimemshukur Mungu sana kwamba mwanangu Innocent bado ana miaka miwili na hivyo nilivyoanza kumwita Innocent tangu jana na kuliacha jina la Dunstan tayari ameshalipokea na wanafamilia wote wamepokea kwa asilimia 100 uamuzi wangu. Dunstan litabaki kuwa jina baya sana kwangu mimi. Akina...
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi.
Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi...
Mimi ni Mtanzania ambaye niliomba kujiunga na programu ya uzamili (Master’s) katika Chuo cha COSS, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mwaka 2025, na nikapata nafasi ya kujiunga.
Baadaye, nilielezwa kuwa wanafunzi waliochaguliwa katika programu hiyo walikuwa wachache, hivyo masomo yasingeweza...
Hapa job mimi ni mfanya usafi, sasa kuna hii GenZ inapita kwa koridoo kila wakati wakuu namimi sipo nyuma sana kwenye moja na mbili nikalianzisha.....
Mimi: Habari binti, haujambo?
Yeye: Sijambo, nambie
Mimi: Nimekua nikikuona hapa tangia jana na nimejikuta unanivutia
Yeye: Naomba unikome...
Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
Hivi hawa Wamasai tunaowajua sisi kwamba wengi wao bado wanaamini Nyerere ndio Rais wa Tanzania, ndio wakusanyane kwa wingi hivi airport kumpokea Miss Jihan? 😳😂
Hii mbona ni kama na 'state-sponsored activity' au mpango ulioratibiwa na mamlaka fulani ili watu wajae hapo airport?
Msikilizeni...
Watanganyika kama tutaendelea kukubali kutumiwa kila uchaguzi kwenye ujinga wa MaCCM basi yataendelea kubaki madarakani kwa mda mrefu. Tuyakatae maCCM na mambo yake yote na Hongo zake zote shetani CCM hana rafiki
Muigizaji Mkongwe Nyota Kwenye Kiwanda Cha Filamu Tanzania Aunty Ezekiel amezua taharuki leo kwa muonekano mpya akiwa amevaa mavazi ya Magereza na amenyoa kipara. Siku ya jana Oktoba 6, 2026 kuna video pia ilisambaa mtandaoni akionekana anakamatwa na Polisi lakini hekaheka zake zote leo...
Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
Anonymous
Thread
buza
eneo
hii
jana
jiji
katika
kufanya
mama yangu
mke
mke wangu
mzazi
sheria
simu
taarifa
wangu
yangu
Je,
ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi?
Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
Kuna kozi ya Higher Diploma in Mental Health Nursing iliyoanzishwa mwaka 2025, lakini hadi sasa haijafahamika wazi kama iko chini ya usimamizi wa NACTE au Wizara husika.
Tumejaribu kupata ufafanuzi kutoka kwa wahadhiri wa kozi hiyo, lakini nao hawajatoa majibu ya uhakika kuhusu hatma na...
Anonymous
Thread
course
diploma
health
hii
jamii forum.com
jana
mental
mental health
mwaka
mwaka jana
nacte
nactvet
nursing
wizara
wizara ya afya
Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147 zilizohitajika zimejazwa.Je tutegemee zitaendelea? Sawa kama uko kwenye database (kanzi data) kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.