jamii

  1. N

    Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  2. Mahakama mnaisikia jamii inavyosema juu yenu?

    Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo. Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
  3. K

    Melodi Moja, Dunia Mbili: Jinsi Kilwa Jazz walivyogeuza Ukosoaji wa Jamii wa Franco kuwa Wimbo wa Mapenzi

    Wakuu, Katika historia ya muziki wa dansi barani Afrika, miaka ya 1960 ilikuwa ndiyo enzi ya mageuzi makubwa ya kiutamaduni na kiubunifu. Moja ya mifano hai ya ushirikiano wa kiasili na kiakili katika muziki ni uhusiano uliopo kati ya wimbo "Est-ce que oyebi?" uliorekodiwa na miamba wa rumba la...
  4. Wanafunzi Babati watakiwa kuelimisha jamii kuhusu uhifadhi, mabadiliko ya tabianchi

    Babati. Wanafunzi 40 wa shule za sekondari zilizopo katika eneo la Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge (Burunge WMA), wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia elimu waliyoipata kuhusu uhifadhi na mabadiliko ya tabianchi kuelimisha jamii za vijijini. Wanafunzi hao wametakiwa...
  5. Jamii hali ni mbayaa katika malezi ya watoto

    Naandika Barua ndefu yenye mawanda mapana kwetu wanajamii. ________________________ MWANAJAMII JAMII S.L.P TANZANIA 26-10-2026 Ndg. YAH: SALAMU KWA WANAJAMII WENZANGU Natumaini wote wazima wa afya. Pia kwa wenye changamoto ya afya...
  6. Hivi kwa kinachoonekana kwa jamii kuna haja ya kuoa kweli?

    Kumekuwa na wimbi la mauaji, matukio, ndoa kuvunjika bila mpangilio... Imagine mtoto yuko shule tayari anlmeshaingia kwenye kudanganya, au masponsor, Juzi tu hapa, nimekutana na kitoto cha sekondary kina mama yake mgahawa I, tayari yeye na mamaye wananipigia mahesabu mimi. Kwa wanaume...
  7. R

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  8. HIVI JAMII FORUM INA OPTION YA KUFUTA "UZI" WA NYUMA?

    Nisaidieni kwa hili maana app sio user friendly Maxence Melo uliapa kulinda freedom of speech, hii imekaaje?
  9. M

    Mtutsi ni mtu ambae hapendi kuongozwa na Mbantu, Pamoja na kuwa wachache atafanya lolote apate uongozi au usawa kwenye uongozi sehemu yenye wabantu

    Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23. Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
  10. M

    Hope T. Godfrey ni Nani? Mwanamke Kijana Mtanzania Anayeunganisha Ujasiriamali, Afya ya Jamii na Athari Chanya kwa Jamii

    Kuna vijana ambao hawasubiri kila kitu kiwe tayari ndipo waanze kufikiria namna ya kuleta mabadiliko. Badala yake, huanza na wazo, hutafuta fursa za kujifunza, hujenga mahusiano na kujaribu kubadilisha maono yao kuwa kitu chenye manufaa kwa jamii. Miongoni mwa vijana wanaovutia kuangaliwa...
  11. L

    Naomba kuuliza uhusiano kati ya jamii hizi,je wana uhusiano wa damu?

    Kuna uhusiano gani kati ya haya makabila ya kaskazini Wachagga na wairaqw Wachagga na wamasai?
  12. R

    Tetesi: Anguko la JAMII /Taifa huanza lini?

    Mwanafalsafa aliyaona haya zaidi ya miaka 2400 iliyopita!! Udhalimu haukuanza leo Ni wa tangu enzi na enzi. Bahati mbaya Socrates haku suggest namna ya kuuondoa
  13. Udalali umekuwa crucial kwenye jamii yetu hadi umetengenezewa verb yake ya kipekee iitwayo "KUDALALIA"

    "Sio kwamba nakudalalia kaka, milioni 2 ndio bei yake" Anyway, Udalalali, uwinga na utapeli ndio vimebaki njia pekee za kula pesa katika nchi hii, hakuna namna.
  14. Huenda tatizo la jamii yetu si kwamba watu wamekuwa wabaya, bali tumetengeneza mazingira yanayowazawadia watu wenye tabia mbaya.

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu. Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili. Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
  15. M

    Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  16. UTALII WA MIKUTANO ARUSHA: Chachu Mpya ya Ukuaji wa Uchumi wa Jamii

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Ukuaji huu unathibitishwa na ujio wa wajumbe zaidi ya 3,000 wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma...
  17. Jinsi Mafundisho ya Kidini Yanavyopandikiza Chuki, Utengano, na Roho Mbaya Kwenye Jamii

    Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza chuki, na kuvunja hata mahusiano ya familia Ukiacha maneno matamu jukwaani apa na ukaenda kwenye...
  18. Ili kupambana na ukata huu mkali ilibidi vijana wa-normalize uhalifu na tabia mbovu na kuupamba majina ili tu wasiwe pressured na jamii

    1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa connection 3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
  19. Ni very fascinating hapa duniani kila jamii ina idea ya Mungu wake na kila jamii hio ndio inasema Mungu wake ndie sahihi

    ■India ■Thailand ■China ■Vatican ■Saudi Arabia ■Jamii zilizomo msitu wa Amazon Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio. Kabla ya muarabu na Mzungu kuja...
  20. Siku netanyahu akifa basi jamii ya waarabu wa asia na hawa wa yombo dovya watafurahi sana kupindukia

    Nafikiri jamaa ukimtoa shetani yeye ndio adui namba mbili kwao😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…