jamii

  1. ITR

    Hivi ustawi wa jamii ni kutetea wanawake hata wanapokosea, au ni kusimamia haki za kila upande?

    KAMA KICHWA CHA HABARI KINAVYOSEMA, LENGO LA KUANZISHA DAWATI LA JINSIA NI NINI HASA? MAANA MIMI SIELEWI! Kuna mshikaji wangu mmoja ameoa, ana mke na watoto. Hata hivyo, ana mwanamke mwingine pembeni (hawara), ambaye alimpa ujauzito na hivi karibuni amejifungua mtoto wa kike ambaye sasa ana...
  2. ShesRise_1

    Je, Mfanyakazi Ana Haki ya Kukataa au Kuchagua Mfuko wa Hifadhi ya Jamii?

    Hello guys Nina jambo linanifikirisha, jambo lenyewe ni kuhusu mfuko wa hifadhi ya jamii Katika ofisi za umma na makampuni binafsi kuna utaratibu wa kuwasajili wafanyakazi wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na hili lina msingi wa kisheria Lakini mimi nataka kueleweshwa 1. Je kama mimi ni...
  3. H

    Kwa Nini Jamii ya Kimataifa Haiitangazi CCM Kuwa ni Terrorist Party, Sawa na Ilivyo kwa Hamas?

    Jina Terrorist linatokana na neno Terror, ambalo maana yake ni tishio. Na kutokana na neno hili unapata maneno mengine kama TERRORISE (Kutishia) TERRORISM (utishaji)na TERRORIST (mtishaji). Mtishaji (terrorist) anaweza kuwa mtu binafsi, taasisi, kikundi, chama au hata Serikali. Silaha kubwa...
  4. M

    Wanaume tunachangia kuharibu jamii. Tubadilike kunusuru jamii

    Hii inatuhusu wanaume. Wanaume tunajisahau kwamba sisi ndio tunaojenga jamii bora na ndio tunaoandaa kizazi kijacho. Jambo la kusikitisha ni kwamba hatukemei mambo maovu tunayofanya. Sasa ivi kuna wimbi la wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile lakini jamii inawatupia lawama wanaokubali...
  5. Crocodiletooth

    Mungu atuepushie mbali kupata mke jamii ya mke wa lissu

    Ni utaratibu wa kawaida mke na watoto kuwa bega kwa bega pale baba au mwanafamilia mmoja anapopata tatizo lolote iwe maradhi,misiba au hata mashtaka ya kimahakama,tuwe tu wakweli,je mke wa aina hii anafaa kwenye jamii yetu na udugu wetu wa kitanzania? Let be frankly and truly, Maisha ni...
  6. Ndagullachrles

    Utamaduni wa jamii ya Maasai wageuka jukwaa la kuimarisha amani na kupambana na wizi wa mifugo Siha

    Kutoka Dawati la Habari ofisi ya RPC kilimanjaro -7/11/2026 Ushirikiano kati ya jamii na Jeshi la Polisi umetajwa kuwa nyenzo muhimu katika kudumisha amani, kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji pamoja na kukabiliana na vitendo vya wizi wa mifugo, hususan katika maeneo yanayotegemea...
  7. Mlinzi Shujaa_

    Je, hivi mafunzo ya ulinzi na usalama ni muhimu sana kwa jamii?

    Kama ni muhimu naomba maoni yako hapo, nakama sio muhimu nipe comment yako, kwa sababu nahitaji kuanza rasmi kutoa elimu ya ulinzi na usalama hapa. . .Mafunzo yetu yatajikita katika ulinzi wa afya, ulinzi wa maisha, ulinzi wa mali au haki. Ili kila mtu awe nauwezo wa kujilinda yeye mwenyewe ...
  8. TheForgotten Genious

    Viongozi tulio nao ni matokeo ya aina ya watu wengi katika jamii.

    Mzee Alute Lissu Katika mahojianoyake na THE CHANZO,alisema tunapata aina ya viongozi wanoendana na sisi,hivyo hulka na aina ya viongozi tulio nao ni aina ya watu wengi katika jamimi,viongozi type ya Bi msumi,Madilu ndio aina ya watu waiojaa mitaani. Kama ingekuwa tofauti basi tusingekuwa na...
  9. The Dictator

    Vita dhidi ya jamii ya LGBTQ+ nchini, ugumu uko wapi? Tukumbushane....

    Inaonekana ni ruksa kulingana na hotuba ya boss kipindi fulani huko nyuma. Lakini kwa nini? Labda mikataba inayosainiwa na viongozi wetu huko juu? Ila wanakaa kama hawajui chanzo kiko wapi🤔. Wanasema ustaharabu mpya, wafanyane wakubwa kwa wakubwa. #Haki za binadamu
  10. Zee la madawa

    Japo kwao kuna vita na majanga kila aina Wasomali wanabaki kuwa jamii inayojielewa wanataka miongoni mwa jamii za kiafrika

    Unapo Zungumzia Jamii ya Wasomali Unazungumizia Harakati, Huezi Shindana na Jamii hii Zaidi utaumia Bure kwasababu jamii hii sio Taifa na Dini Pekee jamii hii ni Harakati ya Kiuchumi, Siasa na Elimu. Jamii hii Ipo Ndani ya kila Serikali Yenye Ushawishi, Jamii hii ipo katika kila Nchi kiuchumi...
  11. mcTobby

    Je tunaishi maisha yetu au tunatimiza matarajio ya Jamii?

    Moja ya mambo yanayovutia katika jamii yetu ni jinsi tunavyoutazama ndoa na maisha ya mtu asiyeoa au kuolewa. Mwanaume anaweza kuwa ameoa, ana watoto, ana nyumba na kwa nje akaonekana kuwa amefanikiwa kila kitu. Jamii humpongeza na kumwona kuwa ni mtu aliyefanikiwa, anayewajibika na...
  12. Financial Analyst

    Waafrika tunajidharay sana ila duniani kote hakuna jamii yenye watu wakatili, wasiokuwa na utu na poor reasoning kama waarabu

    Kila sehemu hawa jamaa walipogusa lazima paache alama za ukatili. Ni aina ya watu wasiokumbatia facts bali mihemuko. Wanapenda kuona damu sana kuliko amani ndio maana wako radhi waue muyahudu na mkristo kama sifa hivi Hata baada ya miaka mingi kupita wamebaki kuwa namba moja katika jamii...
  13. N

    Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya Mkoa husika. Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  14. K

    Tuongelee Jamii; matokeo ya "you better watch your back", mwitikio wa serikali na wanajamii

    Wakati Msanii Dudubaya ana "trend" na msemo wake waarufu wa kulinda migongo, baadhi ya watu walibeza, wengine waliona kama ni kauli za kilevi levi na wengine waliona kama mtu anayetafuta kiki Baadae kauli ikapokelewa na baadhi ya watu wanaojua ukubwa wa tatizo alilokuwa ameligusa Dudubaya...
  15. Roving Journalist

    Polisi: Tunachunguza Vijana Jamii ya Kimasai kuvamia wenzao wa Jamii ya Kimasai eneo la Kimnyaki - Arumeru

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio lililotokea tarehe 03.11.2026 muda wa asubuhi baada ya kundi la vijana jamii ya Kimasai kudaiwa kuvamia maboma ya jamii nyingine ya Kimasai na kuchukua mifugo huko katika Kijiji cha Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru...
  16. D

    Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  17. M

    Mimi ni member mpya humu. Naendesha Non Profit Oganiation, naomba mnikaribishe

    Habari ,Mimi ni mpya hapa jamii forums,naendesha non profit organization ,ambayo ni charity hapa Tanzania na imesajiliwa. Napenda kuina mawazo yenu,je taasisi zinazohusika na fundraiser ndani ya nchi, kwanini hazioni taasisi changa na kuzipa misaada ,hali inayopelekea taasisi hizi ziombe...
  18. Eli Cohen

    Nafikiri huu ni mwaka ambao visa na visasi vya issues za kimapenzi vimetia doa kubwa katika jamii. What is next tena baada ya hili tukio la arusha?

  19. N

    Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  20. Allen Kilewella

    Mahakama mnaisikia jamii inavyosema juu yenu?

    Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo. Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
Back
Top Bottom