Habari za Jumapili zinaendaje wakuu, natumaini wengine mpo kanisani, basi Jana bwana Yas Tanzania walikuwa wanatimiza Mwaka mmoja Toka watambulishe jina jipya basi bwana wakawa wana zawadi zao kutoka kwao kuwapa sisi wateja wao.
Kuna challenge wakasema Kuna maswali ya kujibu kwa usahihi watu...