Kuna Kampuni Moja ya Mtu Binafsi, ni Kampuni kubwa sana kwa bahati mbaya Mwenye Kampuni alifariki, kipindi cha uhai wa mwenye Kampuni kama wafanyakazi na wageni walikuwa wakipatiwa bure Kahawa, Maji, Chai, Soda na vitu vidogovidogo vya Jikoni vilikuwepo ni Kampuni ilikuwa inatoa Hela hivyo vitu...