The Jerusalem post Agosti 30, 2026.
Shirika la Africa Intelligence Report liliripoti kwamba wakati wa vita, viongozi waandamizi wa RSF walidumisha mawasiliano ya siri na Israeli huku wakikutana na maafisa kutoka Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli na wafanyakazi wa ujasusi wa...
Huu ndiyo uhuru wa kuabudu, kubusu western wall au kubusu al Kaaba yote ni sawa tu.
-----------------
Na baada ya Kenya kuweka ukaribu na Israel, na kuwa juu sana hapa Africa Mashariki na kati. Basi Jamhuri ya ki demokrasia ya Kongo nayo haikukaa mbali.
Siku ya jana Raisi wa Kongo Félix...
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:
Utawala wa Iran utaanguka. Tutauangusha. Tayari uko katika hatua zake za mwisho.
Mifumo yetu yote, chini ya mwongozo wangu, inachukua hatua ya kupindua utawala huu.
Huyu bwana ni mauti yanayotembea
Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani.
Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd
Sasa anataka akawaue na wa israel
Israeli ni mojawapo ya nchi zinazojitegemea kijeshi zaidi katika Mashariki ya Kati.
Lakini madai mawili maarufu yote ni ya uongo:
"Israel haiwezi kupigana bila Amerika."
"Israel haihitaji Amerika."
Ukweli uko katikati. 🧵
1. Kampeni za mashambulizi za Israeli zimepangwa na kutekelezwa na...
Uturuki ni Taifa la Kiislam chini ya Edogan, ila wasichojua watu wengi ni kuwa majority ya Waturuki ni Waislamu wa Sufii. Baada ya Utawala wa Kiislamu wa Iran kushika hatamu huko iran na kujiimarisha Kijeshi, Wahafidhina hao wa Kiislamu wakajiona wao ndiyo wamekuwa Wasimamizi wa Kuinua Dola ya...
Ndege za kivita za Israeli zilifanya takriban mashambulizi 10 ya anga usiku kucha kwenye Mlima Ali al-Taher na kijiji cha karibu cha Kfar Roumanne kusini mwa Lebanon, ikiambatana na milipuko ya mizinga iliyoendelea hadi Alhamisi asubuhi. Ukali wa milipuko na mitetemeko ya ardhi iliyosababishwa...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba Israeli haitavumilia uvamizi wa kijeshi wa Uturuki nchini Syria unaotishia nchi ya Israel
Netanyahu alisema Israeli tayari ilikuwa imetoka ONYO Kali kwa Uturuki: "wasipeleke vifaa vyao vya kijeshi huko Syria."
"Inavyoonekana wali dharau ONYO Hilo,"...
Nchini Israeli inaripotiwa kwamba Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, alimkosoa Jared Kushner kwa mkutano wake na uongozi wa Hamas, na akafafanua kwamba mauaji yaliyolengwa huko Gaza yataendelea.
Mwishoni mwa mkutano huo, Mjumbe Maalum wa Marekani Jared Kushner na Mwakilishi Mkuu wa...
Timu ya wanaume ya Israel imetwaa medali ya dhahabu katika marathon ya timu kwenye Mashindano ya Riadha ya Ulaya 2026 yanayoendelea Birmingham, England, baada ya kuwazidi wapinzani wake wa karibu Ujerumani kwa tofauti ya sekunde 34 katika jumla ya muda wa wakimbiaji wake.
Ushindi huo...
Mapigano yalizidi kupamba moto kusini mwa Lebanon usiku kucha na Jumamosi baada ya magaidi wa Hezbollah kushambulia vikosi vya Israeli vilivyokuwa vikizunguka ukingo wa Ali al-Taher, na kuwajeruhi wanajeshi 3 wa Israeli kutoka kitengo maalum cha uhandisi cha Yahalom - 1 akiwa katika hali mbaya...
Israel iliionya Marekani kuhusu mipango ya Iran ya kumuua Trump kwenye Air Force One, ilisaidia kutoroka kwake.
Kulingana na ripoti hiyo, kufuatia tishio hilo, Trump awali alipanda, mbele ya vyombo vya habari, ndege ambayo hapo awali ilikuwa Air Force One...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alitoa maoni katika ufunguzi wa mkutano wa serikali leo. Maelezo Muhimu:
Hakika umegundua jambo la kuvutia: Iran inashambulia nchi zote katika eneo hilo, na hata nje ya eneo hilo, lakini kuna nchi moja ambayo haishambulii - Nchi ya Israeli Kwa sababu...
Inaripotiwa kwamba Israeli imeifahamisha Marekani kwamba iko tayari kuishambulia Iran yenyewe ikiwa ni lazima maana nia wanayo,Uwezo pia wanao wa kuitia adabu Iran
Taifa la Israel lina haki na uwezo wa kujilinda kutokana na uchokozi wa Iran.
Wakati wowote Magaidi wa Iran wataanza kupigika...
Utawala wa Samia una damu kubwa sana ya watanganyika Kuanzia waliotekwa mpaka waliouwawa 29octoba2025 hivyo utawala wake utakumbukwa kama utawala wa mwanamke muovu kuwahi kutokea katika taifa letu. Na pengine mwanamke muovu zaidi afrika.
Mama ka ya silaha za magaidi wa Hezbollah zimekamatwa na Majeshi hodari ya Israel ndani kabisa ya Lebanon baada ya msako makali unaoendeshwa huko na IDF!!!!!
Adiosamigo na Mzee wa UHARO Ritz wanajifanya hawaoni hii Post!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.