israel

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: awasaidie Watu wa Gaza wakae Mkao wa kuondolewa huko Gaza!!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: Hali ya watu huko Gaza si nzuri. Nataka kuwatoa Gaza. Mimi ni mtu mwenye kujali utu, sawa? Ninawafanyia wema. Ninawatoa huko Kama wataendelea na ugaidi wao!!!!
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana mtu kuacha kumuamini Mungu, dini akiwa katika familia ya Ukristo au Uislamu

    Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini. "Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
  3. F

    JamiiForums Tanzania Saudi arabia ardhi ya Tawhid inaenda kuomba msaada kwa israel wasaidiwe ulinzi wa MECCA na madina. ni aibu kubwa sana kwa Allah na Quran

  4. M

    JamiiForums Tanzania Iran inaiogopa sana Israel.

    Ukifuatilia vizuri Iran ameshika adabu kuigusa Israel, na Netanyahu anatamani sana kuguswa akinukishe. Iran kashambulia Waarabu wote tangu mwezi wa 6 ila hajaigusa Israel, sasa hivi Wahouthi wanaishambulia Saudia kila Siku, ila wamesema hawagusi meli za Israel.
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia ameanza kumuomba Israel msaada wa intel dhidi ya wahuthi, mnajifanyaga kukaza alafu mnaachia wenyewe😁

    Baada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate ya muslim brotherhood. Kwa hio anataka acheze kwa tactics dhidi ya wahuthi, ndio maana amewaangukia...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz: aiambia Iran kuhusu Ali Taher Ridge kuwa hilo ni eneo la usalama!!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz: Ali Taher Ridge ni sehemu ya mstari wa njano na eneo la usalama la Israeli nchini Lebanon - IDF inajiandaa kivitendo kudhibiti ukingo na kuzuia jaribio lolote la Hezbollah au kipengele kingine chochote kurudi na kuanzisha uwepo hapo. Mtu yeyote...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aunguruma tena kuhusu Magaidi wa Iran!!!

    Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu: Rais Trump alitangaza jana kwamba Iran inajaribu kujihami tena kwa silaha za nyuklia. Hiyo ni kweli. Baada ya kuharibu uwezo wake wa moja kwa moja wa kutengeneza mabomu ya nyuklia, wanajaribu tena. Ninawaahidi hapa, kwenye Ukuta wa Magharibi, mbele...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia isipojiunga na Abraham Accord nusu ya Nchi yake itachukuliwa na Israel.

    Aisee Saudia Arabia ni moja ya mataifa ya ovyo na kijinga sana, yaani licha ya kuwa na vifaa vya kisasa imeshindwa kuwadhibiti Wahouthi. Iran na Israel watagawana hiyo Nchi.
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu azidi kuitambia Iran akiwa juu ya mlima wa Hermon nchini Syria

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa juu ya Mlima Hermon nchini Syria amesema Hatutaruhusu jeshi lolote la kigaidi kujiimarisha kwenye mpaka wetu. Tumejitolea kushinda utawala wa kigaidi nchini Iran - na tutafanya hivyo. Ama kweli Netanyahu ni kiboko cha Wafuga Midevu na Majini...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yawakamata Polisi wa Kipalestina kwa uhalifu!!

    Vikosi vya Israeli vimewakamata maafisa 3 wa polisi wa Mamlaka ya Palestina wiki hii kwa kuhusika kwao katika kuanzisha kituo cha ukaguzi kisichoidhinishwa karibu na Beitunia katika Eneo C na kumkamata mwanajeshi wa akiba wa Israeli huko mwezi uliopita. Mwanajeshi huyo wa akiba alikamatwa kwa...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel yafanya kazi nzuri huko Jordan kupopoa makombola ya Iran!!

    Kongole kubwa kwa Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel: Jordan: Jeshi la Jordan linasema ulinzi wa anga ulizuia makombora 18 kati ya 20 ya balestiki yaliyorushwa kuelekea eneo la Jordan. Jeshi lilisema makombora mawili yaliyobaki yalianguka katika maeneo yasiyo na watu, bila vituo vya idadi ya...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Argentina kuishitaki Kampuni ya Navitas ya Israel kuhusu Falkland!!

    Argentina itawasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya kampuni ya nishati ya Israel Navitas Petroleum na makampuni mengine yanayohusika katika uundaji wa hidrokaboni karibu na Visiwa vya Falkland vinavyodhibitiwa na Uingereza, na kuongeza mzozo wake wa uhuru na Uingereza. Waziri wa Mambo ya Nje...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Malaika Jibril achukue nafasi ya Israel mtoa roho

    Kosakosa zimekuwa nyingi sana. Huyu Israel Doumbia atolewe nafasi yake ichukuliwe na Jibril Kalala Mayele. Tunataka goli la mapema.
  14. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Iran Yaendelea Kuwaogopa Israel, Israel Yazidi Kufanya Mashambulizi Lebanon

    Bango kubwa kwa sasa ni Iran wazidi kuiogopa Israel. Wafuasi washabiki wanazi wakunwa wa Iran siku Tano zilizopita waliweka habari kwa mbwembwe na furaha kubwa kuwa Iran imetoa bonge la onyo kwa Israel endapo Israel watashambulia kusini mwa Lebanon eneo la Al Taher. Nikiwa kama mchunguzi wa...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yajiandaa kuingia vitani na Iran ikiwa itashambuliwa na magaidi wa IRGC!!

    Israeli inajiandaa kwa uwezekano wa vita vingine vya kushtukiza, wakati huu katika nyanja nyingi. Mkuu wa jeshi Eyal Zamir alisimamia zoezi la utayari wa kushtukiza lililobuniwa kulingana na masomo ya Oktoba 7. Israel iko tayari kujibu haraka na kwa nguvu shambulio lolote kile kutoka Iran!!
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuwatia adabu magaidi wa Hezbollah huko Lebanon!!

    Israel ilifanya mfululizo wa mashambulizi makali ya anga kusini mwa Lebanon, ikishambulia Nabatieh na Nabatieh al-Fawqa, ikiwa ni pamoja na eneo linalozunguka Mtaa wa Mahmoud Faqih, kwa kutumia mkanda wa moto uliojikita. Risasi za Bunker-buster zilitumika. Zaidi ya magharibi, Al-Mansouri...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katika kusherehekea Mwaka mpya wa kiyahudi Waziri Mkuu wa Israel atembelea Makao MAKUZI ya Mossad!!!

    Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema alitembelea makao makuu ya Mossad na kukutana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhusu usalama wa Israeli. Netanyahu alitoa wito wa sehemu ya Torati ya wiki hii, akitoa wito wa "kuwa hodari na jasiri," na akasema, "Hiki ndicho...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuishambulia Israel Je wataweza?

    Msemaji wa jeshi la Iran, Akrami Nia: Tumebadilisha mafundisho yetu. Tutafanya vitendo vya kuzuia mashambulizi (shambulio la kuzuia mashambulizi) wakati wowote tunapohisi tishio, na hii itakuwa ndani ya mfumo wa sheria za kimataifa.
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz aionya Iran wasicheze na moto!!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz, akiwa katika sherehe ya Mwaka Mpya wa Kiyahudi akiwa na wafanyakazi wa Wizara ya Ulinzi leo, alionya kwamba ikiwa Iran itashambulia Israeli, jeshi litalenga miundombinu yote ya utawala huo, ikiwa ni pamoja na miundombinu ya nishati: Kuna ishara...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi Shupavu ya Israel yateka eneo la Ali al-Taher Ridge huko Lebanon pigo kubwa kwa Iran!!!!

    Wanajeshi wa IDF kutoka Kikosi cha 36 wameweka udhibiti wa operesheni katika eneo la Ali al-Taher Ridge, juu na chini ya ardhi, baada ya wiki kadhaa za operesheni za kusafisha na kutuliza njia 2 za chini ya ardhi. Magaidi waliokuwa wakiendesha shughuli zao kutoka kwenye mtandao huo waliuawa au...
Back
Top Bottom