israel

  1. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Iran threatens war with Israel as mysterious explosions rock Iranian nuke sites

    Iranian military leaders on Friday issued fresh threats against Israel amid a series of mysterious explosions at Iranian nuclear and military sites that many believe were conducted by the Jewish state. Brigadier General Abolfazl Shekarchi, spokesman for Iran's armed forces, lashed out at Israel...
  2. Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel huenda yahusika na ulipuaji wa vinu vya Nyuklia vya Natanz-Iran

    An expert on Iran’s military nuclear program says the mysterious explosion last week that hit the top-secret Natanz nuclear facility destroyed nearly three-quarters of Iran’s main centrifuge assembly hall, The Jerusalem Post reported Thursday David Albright of the Institute for Science and...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 3: Lazaro Nyalandu achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, asema watahakikisha mechi wanaipeleka sawasawa

    Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT. Maendeleo hayana vyama! ======= Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na amekuwa muaminifu kwa chama hiki. Amekuwa ni kiongozi ambae ni mfano wa kuigwa na historia itamkumbuka...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yatupia chombo angani chenye uwezo mkubwa wa kufuatilia mambo ya maadui

    Maadui wa Israel kama vile Iran wako taabani maana wanazidi kuanikwa na vyombo vinavyotupwa angani, hii ni satellite ya kipekee yenye uwezo mkubwa. ====== Israel on Monday launched a new spy satellite that it said would provide high-quality surveillance for its military intelligence. Israel...
  5. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Waziri Mkuu wa zamani wa Israel bwana Ariel Sharon aliyelazwa kwenye Coma kwa miaka 8

    Alikuwa Waziri Mkuu wa Israel mwaka 2001. Amekuwa mahututi tangu mwaka 2006 kufuatia mfululizo wa matatizo ya kiharusi. Ariel Sharon alikuwa askari wa vita na baadae kuwa kiongozi wa nchi. Alipokuwa mwanajeshi, alijulikana kwa ushujaa wake katika uwanja wa mapambano kwa miongo kadhaa kufuatia...
  6. 100 others

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

    Hii ni vita iliyojulikana kama July War au 2006 Lebanon war unakuwa hujakosea kabisa, vita hii ilichukua takribani siku 34 tu, ni muda mchache tu, lakini kuna mengi ya kufahamu juu ya hii vita, naomba uketi usome kwa makini mwanzo mwisho. CHANZO CHA VITA Israel ilikuwa na wafungwa(Lebanese...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Msafara wa kuilaani Israel ambao hufanywa kila mwaka Iran, wasitishwa kisa corona

    Kila mwaka maelfu ya wa-Iran hujitokeza kwenye msafara na kupandisha mzuka huku wakifoka dhidi ya Israel, hutembea kwenye msafara wakijipiga vifua, ila mwaka huu imekua balaa, kirusi cha corona kimetuliza mizuka yote duniani. ============== Virus Lockdown Forces Iran Into Its First Virtual...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Israel :COVID-19 treatment proves to be 100% effective after being tested in US ..

    JERUSALEM, Israel – An Israeli coronavirus drug that claims to have a 100% success rate among severely ill patients is being tested in the United States for the first time. The trial comes after Pluristem Therapeutics Inc., a biotech company based in Haifa, reported last week that seven patients...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Israel: Visa vya corona vyafikia zaidi ya 10,800, vifo zaidi ya 100; Uhaba wa vifaa vya kupimia watawala

    Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103. Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Israel: Mahakama yaamuru Bunge lifanye uchaguzi wa Spika mpya bila kisingizio cha Corona

    Mahakama ya juu nchini Israel imeamuru spika wa bunge aandae uchaguzi wa mrithi wake kufikia Jumatano ijayo, amri inayoongeza mkwamo uliopo kati ya wapinzani na wanaomuunga mkono waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Spika wa sasa Yuli Edelstein wa chama cha Likud cha Netanyahu alikuwa amepuuzilia...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Israel: Hatma ya Waziri Mkuu Netanyahu kujulikana leo

    Wananchi wa Israeli wanapiga kura leo Jumatatu katika uchaguzi usio wa kawaida na wa tatu nchini humo katika kipindi cha mwaka mmoja. Uchaguzi huu ndio utaamua kujulikana hatma ya Waziri Mkuu wa Benjamin Netanyahu ambaye anakabiliwa na kesi ya mashitaka ya ufisadi. Vituo vya kupigia kura...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Israel announces Corona Virus Break through

    Israel announces Coronavirus breakthrough. Doctors in Israel home of medical research just announced to the authority 3 hrs ago that they have come to a breakthrough solution with vaccine for corona virus. They did it in the laboratory Via the wisdom of God. not just with prayers alone. Shalom...
  13. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

    Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia. Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine. Mungu awabariki...
  14. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel yafanya mashambulizi ya anga Damascus nchini Syria

    Shirika la habari la serikali ya Syria, SANA, limeripoti mapema Alhamisi kuwa Israel imeshambulia maeneo kadhaa karibu na mji mkuu Damascus huku shirika hilo likidai kuwa mifumo ya ulinzi wa makombora ya nchi hiyo iliangusha idadi kadhaa ya makombora. Taarifa kutoka SANA ilieleza kuwa...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Palestina yasitisha mahusino yote baina yake na Israel na Marekani

    Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amesitisha mahusiano yote na Marekani na Israel, yakiwemo yanayohusiana na usalama, baada ya kuupinga mpango wa amani ya Mashariki ya Kati uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump. Abbas alikuwa mjini Cairo kuuhutubia mkutano wa dharura wa...
  16. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel: Viongozi wa dunia wakutana mjini Jerusalem

    Viongozi mbalimbali duniani wako mjini Jerusalem, Israel kuhudhuria kumbukumbu ya miaka 75 tangu kambi ya mauaji ya Auschwitz ilipokombolewa. Kumbukumbu hiyo inakwenda sambamba na kumbukumbu ya mauaji ya Wayahudi. Viongozi na wawakilishi kutoka nchi zipatazo 50 watakusanyika katika kituo cha...
  17. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel: Ujenzi wa mfumo mpya wa ulinzi wa chini ya ardhi

    Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo. Luteni kanali Jonathan Conrius amesema kwenye mfumo huo kutafungwa vifaa vya kutambua shughuli zozote za uchokozi. Amesema...
  18. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia vituo vya Hamas huko Gaza

    Jeshi la Israel (IDF) limethibitisha kushambulia maeneo kadhaa ya Hamas katika ukanda wa Gaza Jumatano jioni. Saa chache kabla, makombora kadhaa yalifyatuliwa kuelekea ndani ya mipaka ya nchi hiyo kutokea ukanda wa gaza. Kwa mujibu wa IDF, makombora mawili yaliangukia eneo la wazi na mengine...
  19. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Video of Al-Mohandes wishing to die after ‘Saudi Arabia destroyed’ resurfaces

    A video of slain Iraqi militia leader Abu Mahdi al-Mohandes in which he expresses his wish of dying only after seeing Saudi Arabia “destroyed” has resurfaced and gone viral after being shown on Iranian state television. The video is a short, behind-the-scenes clip from a more than...
  20. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Tukio la kutia hamasa waandamanaji Iran walivyokwepa kukanyaga bendera ya Marekani na Israel

    Mzuqa, Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu. Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
Back
Top Bottom