DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na majeruhi wanaokadiriwa kufikia 10,000
Vlad ameandika kupitia X "Je, kuna mtu yeyote aliyeona...
Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi kwenye mafichoni, kawaanika tu kizembe, haya wamewahishwa mbele za haki.
Israeli wanaendelea...
Raisi Isaac Hezrog wa Israel amethibitisha kuwa nchi hiyo haijawahi kupata kipigo na madhara tangu vita vya Yom Kipur isipokuwa mwaka huu wakati wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu.
Katika kumfafanua waziri mkuu huyo, Hezrog amesema Netanyahu ameweza kuhimili misukosuko mingi katika kipindi chake...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nimalize kunywa Supu!
Kuna ka-kikundi kameibuka hapa Tanzania hasahasa kwenye Mitandao ya Kijamii ambako bila kupepesa macho kameamua kuwatetea Hamas kwa mauaji waliyofanya huko Israel, ila hako hako Ka-Kikundi kameendelea kulaani mauaji yaliyofanywa na Israel kwa...
Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu.
Israel bado haijaanza kulipiza kisasi.
=========
PHOTO: GETTY IMAGES
Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for...
Maafisa wa Tanzania wanaendelea kuwatafuta Watanzania hao waliokuwa Kusini mwa Israel ambapo kuna vita inayoendelea kati ya Taifa hilo na wapiganaji wa Kundi la Hamas kutoka Palestina.
Balozi wa Tanzania Nchini Israel, Alex Kallua amezungumza na BBC na kueleza kuwa Wanafunzi hao wamekuwa katika...
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini.
Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas.
VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel...
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa.
Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda...
Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama.
Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii.
Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement
The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and...
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.
Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio.
Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha...
Kuna wale waliodanganywa na wachonga hadithi kwamba Wayahudi hawakuwepo pale ila walikusanywa kutoka Ulaya na Mwaka 1947 wakapelekwa pale baada ya kukataa kupelekwa Uganda huu ndiyo wakati wa kuyaondoa matongotongo akilini.
Nimewatufutieni clip hii kwa makusudi. Hii vielelezo vyake vyote vipo...
Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi?
ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui.
Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Al Jazeera na Reuters wakiwemo Watoto zaidi ya 100. Pia, watu zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 123,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi hayo kati ya kundi la HAMAS na Jeshi la Israel.
Aidha, takwimu zinaonesha kwa kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.