Mara tu baada ya mashambulizi kutekelezwa katika kambi mbili za kijeshi zinazotumika na majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais wa Marekani, Donald Trump alikuwa alihutubie taifa la Marekani kwa mujibu wa taarifa rasmi lakini mara baada ya kikao maalumu na maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya...
LONDON - Uingereza imelaani shambulio la kombora la Iran kwenye kambi za kijeshi nchini Iraq zilizokuwa zikikaribisha vikosi vya muungano vinavyoongozwa na Marekani pamoja na wafanyakazi wa Uingereza.
"Tunalaani shambulio hili kwa misingi ya jeshi la Iraqi inayoshikilia Ushirikiano - pamoja na...
Ndege ya Ukraine iliyokuwa imebeba watu 180 pamoja na Wafanyakazi wake imeanguka karibu na Mji Mkuu wa Iran, Tehran dakika tatu baada ya kuruka ikitokea katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Khomeini.
Katika video ambayo haijadhibitishwa iliyowekwa na Shirika la Habari la BBC inaonesha ndege...
Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani
Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi kutokana na mauaji ya jenerali wa kikosi maalum cha Iran, Qassem Suleiman aliyeuawa na Marekani wiki...
The German Chancellor will travel to Russia to meet President Vladimir Putin this coming Saturday. The pair plan to discuss the Iran escalation as well as the conflicts in Ukraine, Libya and Syria.
Russian President Vladimir Putin on Monday invited German Chancellor Angela Merkel to Russia...
Yes, kwa nchi zenye utulivu na ukosefu wa ajira kama Tanzania vijana wengi hupenda kuwa wanajeshi. Changamoto wanazokutana nazo ni matumizi mabaya ya ofisi na madaraka, hivyo basi mpaka ndugu wa Maafisa waishe, mpaka ndugu wa wenye fedha waishe ndipo utazamwe mtoto wa maskini.
Vyombo vya ulinzi...
Waandamanaji wengi sana!
An imaginary situation, USA akidondosha ka bomu kamoja katka utitiri huo, ataua wangapi! Kitatokea nini?
Trump amesema " I will hit back severely if Iran retaliates".
Tuombe, let each party restraint from acting as per his wishes.
Katika hali isiyo ya kawaida na isiyotarajiwa Iran imepandisha bendera nyekundu ikiashiria ishara ya vita kuu.
Kikosi cha mapinduzi ya kiislam kimeapa kulipa kisasi na kutoa jibu kali kwa Marekani. Tujiandae kushuhudia moto ukiwaka.
Taarifa zaidi;
Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran imepandisha...
Rais Trump amesema ameorodhesha maeneo 52 ya Iran watakayoyashambulia kwa nguvu na haraka iwapo ataguswa Mmarekani au eneo lolote la Marekani kama kulipa kisasi
Jana, Iran yenyewe ilibainisha kuwa imeorodhesha maeneo 35 ya Marekani watakayoshambulia kulipa kisasi cha kifo cha aliyekuwa Kamanda...
Juhudi za kimataifa zinaanza huku Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye binafsi aliagiza mauaji hayo ya Jenerali Soleimani, akiitishia Iran kwamba nchi yake itavishambulia vituo muhimu 52 kwa Iran endapo Jamhuri hiyo ya Kiislamu itaamuwa kulipiza kisasi.
Akitumia jukwaa lake maarufu la mtandao...
On Iranian TV, @JZarif says assassination of Qassem Soleimani, "was clearly a terrorist action" and #Iran "will launch various legal measures at the international level to hold America to account." Steve Herman on Twitter
Nashangaa mbona tumeambiwa atalipiza Kisasi, lakini kinachoongelewa ni...
USA ni mwisho wa safari they own internet .Trump amesema tukitoa internet tutawamaliza. Obama alikata internet siku moja kuwaadhibu North Korea.walitapatapa in a day.
Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya kikurdi vinavyoungwa mkono na Iran, ameuawa na vikosi vya Marekani nchini Iraq. Pentagon imethibitisha kuwa aliuawa kufuatia "amri ya rais".
Hayo yamejiri kufuatia ripoti ya mashambulio katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Baghdad, ambayo ilisema...
Shirika la utetezi wa haki za binaadamu la Amnesty International limesema takribani watu 304 waliuawa katika siku tatu za ukandamizaji dhidi ya waandamanaji nchini Iran mwezi Novemba.
Awali shirika hilo lilikadiria watu 208, wakiwemo watoto wawili wa umri wa miaka 15 na 17. Lakini Iran...
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua nchini Iran.
Naibu Waziri wa Afya wa Iran Ali Riza Reisi, ameliambia shirika rasmi la habari la Iran wiki iliyopita, kuwa watu elfu 8 333 wamefika mahospitalini wakilalamika kandamwa na...
A Russian state company suspended a research project with Iran because of its decision to resume enriching uranium, a move a senior official said Thursday was necessary after the U.S. canceled a waiver to allow the joint venture.
The TVEL company said in a statement that Iran’s decision to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.