Uhusiano wa Iran na Tanzania ya kisasa ni wa miaka arobaini hivi, tangu kufanikiwa kwa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979.
Lakini Waajemi walikuwa wanakuja pwani zetu tangu miaka elfu nyingi. Ni vizuri kuona Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Iran, Abdullahian, akizuru Tanzania hivi sasa...