iran

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Iran wachora mstari, pigeni kote lakini msiguze meli zangu

    Marekani wamepiga kila kinachohusiana na Iran huko nje hadi Iran ameng'aka, kwamba kwa vyote mnavyopiga msiguze hizi meli maana tutapigana sasa......hehehe Haya yetu macho maana Marekani ukimwambia wapi asipige ndio kama umemuelekeza, alikua anapiga akitafuta kuskia wapi Iran atahisi kitu...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria. Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni uwanja wa kujibizana mahasimu na kwamba inataka majeshi ya Marekani yaliyobaki yaondoke haraka nchini...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yalaani mapigo yanayofanyika na US kwa maslahi yake hata baada ya kukana haikuhusika

    Iran ilishakana haikuhusika au hata washirika wake hawakuhusika, sasa haielewi kwanini Marekani anapiga chochote chenye harufu ya Iran huko nje....... Kilichobaki sasa ni Iran kukasirika ifanye kitu tuone mwisho wake maana Marekani wanaendelea kupiga.... Syria and Iraq assail Washington for...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa vifo 40 vimeripotiwa kutokana na mapigo wanayofanya Marekani kwa maslahi ya Iran

    Na hapo movie ndio inaanza tu.... US launches retaliatory strikes in Iraq, Syria; nearly 40 reported killed The strikes hit targets including command and control centers, rockets, missiles, and drone storage facilities, as well as logistics and munition supply chain facilities, the US military...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran imejitetea sana kwamba haikuhusika, na imewakana wote waliofanya mashambulizi dhidi ya USA

    Sasa wameachwa mayatima, Marekani inapiga, na hakuna mwenye uwezo hata wa kujifanya anajikuna, jana wamepiga maslahi 85 ya Iran huko nje......... Si Iran imewatelekeza? Iran denies involvement in drone attack on US in Jordan The Iranian government on Monday distanced itself from the kamikaze...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA. SPECIAL REPORT https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yaanza kurejesha nyumbani makamanda wake walio nje maana wanasakwa na Israel kwa mbinu zote

    Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira.... Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

    Taifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi. Onyo hilo limetolewa na balozi wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha za wanajeshi waliouawa Jordan na drone za magaidi wa Iran

    Mzuka wanajamvi. Hizi ndo picha za vijana wadogo waliouwawa Jordan na suicide drones za magaidi wa Iran. Wote ni watatu ni Black Americans. Picha za Kwanza ni Kennedy Ladon Sanders miaka 24 mwenyeji wa Jimbo la Georgia. Picha zingine hapa chini ni Broenna Moffets 23 Picha ya Tatu ni...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yaua maafisa wengine wa Iran Syria

    Imekua desturi sasa, viongozi na maafisa wa Iran wanawindwa Syria kote kote na kila wakiuawa, Iran inasema italipiza kisasi. ======== Two people were killed and several wounded on Monday in what Iranian and Syrian media said was an Israeli attack on the outskirts...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Meli ya Iran yatekwa na magaidi Somalia na kuokolewa na jeshi la India

    Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa.... Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

    Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio. Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi. Iran successfully launches 3...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hasira za Pakistan na Iran ni kama za wagonjwa wa safura

    Kwa takriban miaka mitano sana makamanda wakubwa wa Iran na vituo muhimu vya kijeshi vya Iran vimekuwa vikishambuliwa na Israel ndani ya Syria na hata ndani ya Iran yenyewe. Mtekelezaji wa mashambulio hayo Iran amekuwa akimtaja bila kificho na mwenyewe (Israel) mara moja moja amekuwa akikiri...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Iran aingiwa na mzuka na kuua wenzake watano, eneo lililoshambuliwa na bomu

    Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports. State TV says the shooting...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kwamba humo kwa waliouawa na Israel, kunaye jenerali wa Iran

    Wanaendelea kuwahishwa kwa mabikira.... Generals among 5 IRGC commanders killed in alleged Israeli strike on Damascus A security source in a network of groups close to Syria's government and its ally Iran told Reuters the multi-story building was used by Iranian advisers supporting President...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania IDF wasambaratisha jengo Damascus na kuua maafisa wa kijeshi wa Iran

    Kama kawa, Israel wanaendelea kuwahisha watu kwenda kwa mabikira.... An Iranian Islamic Revolutionary Guards Corps official was killed in an alleged Israeli airstrike on Damascus, the Reuters news agency reports, citing sources in the regional pro-Syria alliance. The source says the...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Al jazeera ni kituko. Iran na Pakistan wameanza kupigana ila habari zao siku nzima ni kuisakama Israel

    Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas. Double standard sana hawa watetea magaidi.
  18. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Baada ya Pakistani kumfurusha Balozi wa Iran, imeshambulia miji ya Iran iliyoko mpakani

    Security Assistant to the Iranian Governor of Sistan and Baluchestan: Explosions sounded on the outskirts of the city of Saravan, near the border with Pakistan. Pakistani intelligence official: Pakistan launched strikes inside Iran. Source: Al Jazeera, Agence France-Presse Na muda sio mrefu...
  19. Exile

    JamiiForums Tanzania Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

    Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Pakistan yamuita nyumbani balozi wake kutoka Iran na balozi wa Iran Pakistan alieko likizo Iran hatoruhusiwa kurudi kazini

    Pakistan imemuita nyumbani balozi wake alieko nchini Iran na pia imesema haitomruhusu balozi wa Iran alieko nchini Iran kwa likizo kutorudi Pakistan. Uamuzi huo wa serikali ya Pakistani umetolewa baada ya jeshi la mapinduzi la Iran (IRG) kufanya mashambulizi ndani jimbo la Balochistan lililoko...
Back
Top Bottom