iran

  1. U

    JamiiForums Tanzania News Alert: Benjamin Netanyahu awaahidi waIran kuwa nchi yao itakombolewa hivi karibuni!

    News alert Netanyau awaahidi watu wa iran kuwa nchi yao itakuwa huru hivi karibuni , asema wataishi nao kwa amani kama ilivyokuwa zamani Waziri Mkuu huyo amewaambia watu wa Iran wasiruhusu kikundi kidogo cha wabakaji kukandamiza matumaini yao na kuua ndoto zako. Ameongeza kuwa Watoto wa...
  2. JamiiForums Tanzania Uchambuzi huu wa Saa 2 na dakika 22 utakupa mwanga wa uwezo wa Israel dhidi ya Iran, Hamas na Hezbollah

    Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
  3. JamiiForums Tanzania IDF inakaribia kuandaa tangazo kwamba Iran haitaweza tena kufadhili ugaidi kwa miaka 200 ijayo

    Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years" Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran. Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya...
  4. JamiiForums Tanzania Mullah wa Iran, Mostafa Karami: "Israel wanatumia majini katika shughuli za kijeshi"

    Hahaha mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za Kivita. Msikilize zaidi katika video.
  5. JamiiForums Tanzania Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

    Ripoti zinaongelea kuhusu ajali ya helikopta magharibi mwa Iran, ikiwa imebeba viongozi wa Iran na Wahouthi. Hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki au kujeruhiwa kwa sasa kwani uchunguzi unaendelea. BREAKING: IRANIAN HELICOPTER CRASH WITH TOP LEADERS ON BOARD Reports are coming in...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran imeshindwa kumlinda mshirika wake Hezbollah na Hamas?

    Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah amepotezwa Kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa (charsmatic leader) ameiongoza Hezbollah kwa miaka 33 yaani kutoka 1992 hadi 2024. Alikuwa nyota kuu ya Hezbollah, Hamas, Iran na vikosi vyote vya kishia duniani. Pia alikuwa ni kipenzi kikubwa cha Ayatollah...
  7. JamiiForums Tanzania Kamanda wa jeshi la Iran auliwa na Israel, kule Beirut

    Naye hakusazwa, alikua kwenye harakati za kuratibu shughuli za magaidi wa Waislamu, Hezbollah. Kawahishwa kwa mabikira. Aise Myahudi namba mbaya. -------++ Iran Revolutionary Guards' deputy commander Abbas Nilforoushan was killed in the Israeli strikes on Beirut on Friday, Iranian media...
  8. JamiiForums Tanzania Ni vyema Israel imuue na Ayatollah wa Iran

    Ili Israel ijihakikishie ushindi dhidi ya maghaidi wa Kiislamu, ni lazima imuue Ayatollah wa Iran. Wamuue Ayatollah, wamuue na Rais wa Iran. Maliza kabisa hao watu. Lipua majengo yao yote. Wawarudishe katika enzi za ujima. Ua mpaka ngamia wao. Hata kondoo wao wakikatiza, tandika risasi. Hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Hasara ya Iran kuishambulia Israel ni kubwa. Kukaa kwao kimya si kwamba hawana akili. Russia, Korea na China...

    Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo. Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gaddafi na Saadam waliokuwa wafadhili wakuu wa ugaidi kuuawa, ni vizuri Iran isambaratishwe ili Ugaidi uishe kabisa duniani

    Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti. Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani. Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote, Baada...
  11. JamiiForums Tanzania Iran yamhamisha Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei

    Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri. Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule. Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
  12. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

    Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake. Hezbollah...
  13. JamiiForums Tanzania Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

    Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika. My take Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea sasa hivi Mashariki ya Kati ni Mapenzi ya Iran

    Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi. Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na serikali ya awali ya Hayati Raisi aliekuwa mfuasi kindakindaki wa Hayatollah na mapinduzi. Anajaribu...
  15. JamiiForums Tanzania Iran imesababisha mauaji ya maelfu ya Wapalestina sasa hivi wamehamia Lebanon kuendeleza harakati zao za kitapeli.

    Ni mtoto labda ndio hajui kuwa hamas na hezbollah ni midori ya Iran. Iran atafanikisha lolote lile liendalo na utapeli wake hata kwa gharama ya damu ya watu wake wenyewe. Nini haswa madhumuni ya Iran, kufanikisha kupatikana haki kwa walebanon na wapalestina?????? Hapana madhumuni ya Iran...
  16. JamiiForums Tanzania Eti Iran anamshutumu Israel kwa kushinikiza machafuko zaidi utafikiri alimuomba hezbollah amchokoze. Yani unachezea moto alafu unalalamika unaangua.

    Hawa radicals wa middle east ni watu wa ajabu sana. Wana sugu ya fujo fujo ndani ya mioyo yao. Ni aina ya watu amabao wana taka uishi kutokana na misingi yao ya fujo fujo. Wakipigana na wewe hata kama unawashinda watataka ushinde wanavyotaka wao. Unasema unapigana na Israel kuitafutia haki...
  17. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Iran yaituhumu Israel kifo cha Rais wao, chopa iliyoanguka ilikuwa na vifaa vya mawasiliano sawa vile vya Hezbollah vilivyolipuka

    Iran yabadili gia angani sababu kifo cha Rais wao Kwa ajali ya helicopter Sasa Serikali ya Iran yaituhumu Israel kuhusika na kifo hicho Yasema ilihusika kwenye ununuzi wa vifaa vya mawasiliano pagers ambayo vilitumiwa na magaidi ya Hezbollah Yasema kuwa hata chopa iliyoanguka ikimbeba Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Iran yakumbwa na mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe

    Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
  20. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Ziwa Urmia Iran limekauka pamoja na juhudi za kulijaza, uhai watu zaidi ya milioni mashakani, wanasayansi Israel hawajatoa maoni

    Wadau hamjamboni nyote? Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli kuwa hali bado ni tete huko Iran Huku hofu dhidi ya Israel ikiendelea kumeibuka tatizo jipya tena zito Ziwa kubwa kabisa huko nchini Iran katika hali isiyo ya kawaida limekauka mazima pamoja na juhudi kubwa za kulijaza maji mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…