Baada ya Mazungumzo Kati ya waziri mkuu, wa Israeli, Netanyahu na raisi wa marekani Biden, kuhusu Israeli kulipiza kisasi cha mashambulizi ya makombora ya Iran , Israeli haijatoa Uhakika wa Kutokushambulia Vinu Vya nyuklia Vya Iran 🤔...
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.
Israel amemtwaa mchezesha ngoma na...
Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel.
shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi.
Vyombo mbalimbali vya...
Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu.
- Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani...
Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni
1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael.
2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni.
Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi...
Tangazo kwa lugha za kichina ,mandarini, korea na kiajemi limewataka watu walio na sifa na walio na siri za yale wanayoyatafuta watume maombi ya kazi ili wafikie msimbo wa website yao.
Hii inamaa kuwa CIA sasa inapanua kufikia nchi hizo kama ilivyofanikiwa kwa urusi na hilo ni sera ya kipekee...
Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi.
Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
Shambulio la Iran dhidi ya Israel hapo majuzi lilikuwa la kushangaza. Usikose. Shambulio linalokuja la Israel dhidi ya Iran litakuwa mshangao mkubwa kwa ulimwengu pia.
Baraza la mawaziri la usalama la Israeli na wakuu wa ulinzi wanajadili chaguzi kadhaa za kulipiza kisasi dhidi ya Iran 🇮🇷 kwani...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Iranian Jews compelled to mourn Nasrallah's death amid oppressive climate
Oct 1, 2024, 16:43 GMT+1
Updated Oct 2, 2024, 08:01 GMT+1
Jews in Iran are being pressured by the authorities to publicly mourn the death of Hezbollah...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran
Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======
Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback
Remains of a ballistic missile...
Mara baada ya madhara kutokea huko Israel kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran,wataalamu wa makombora kutoka magharibi wanatoa sababu mbalimbali.
Miongoni mwa sababu hizo ni kutumika kwa makombora ya Hypersonic ambayo mpaka sasa hakuna teknolojia inayoweza kuyatungua! Walikuwa...
Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo
Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na...
Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya magharibi kudai kua 90% ya makombora yalidunguliwa.
Tutazame dakika 5 za maeneo yaliyopigwa,yakijumuisha...
Baada ya Iran kutuma makombora ya Ballisctic jana kaskazini mwa Israeli na kuharibu baadhi ya miundombinu ikiwemo majengo ya idara ya ujasusi ya Mossad, Israeli imekuwa kimya ikifanya vikao vya kupanga namna ya kujibu mapigo.
Kwa mujibu wa wachambuzi kadhaa wa masuala ya vita, Iran ilifanikiwa...
Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu kidogo in case huu uhasimu ukizaa vita kubwa tegemea kuona kishindo kikubwa sana mashariki ya kati...
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji mafuta,nyuklia ,kambi za jeshi au makazi ya viongozi, kutakuwa na machungu makali na vilio.
Waziri huyo anayeona...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amezionya nchi za kiarabu zitakazojitia kiherehere kuisiaidia Israel kufanya ugaidi dhidi yake.
Bila kuzitaja majina bila shaka Waziri huyo anamaanisha nchi kama Jordan ambazo hata kwenye shambulio la jana ilijifanya kimbelembele kujaribu kutungua makomora ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.