Mauaji ya Oktoba 7: Kosa Kubwa la Kijeshi
1. Mkakati wa Mhimili wa Upinzani
Mashambulizi yalipangwa kulazimisha Israel kuingia Gaza kwa uvamizi wa ardhini.
Lengo lilikuwa kuchochea hasira za Waarabu na kuanzisha mashambulizi ya pande nyingi kutoka washirika wa Iran.
Iran iliwekeza zaidi ya...
The Government of Uganda has successfully evacuated 43 students from Tehran in Iran to Turkey following the continued instabilities in the Middle East.
Vincent Bagiira Waiswa, permanent secretary at the ministry of foreign affairs stated that the embassy too the students by road to the Turkish...
Hii hapa video ikionyeshanamna Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei na Makamanda wake 24 walivyoshambuliwa na Majeshi ya ushirika ya Israel na Mareani
Mashariki ya Kati yawaka moto
Tulijadili suala la vita mashariki katika nyuzi tofauti. Kwa umuhimu wa tukio linaloendelea uzi huu utajadili kwa kina nini kimetokea, kinatokea na kitakachotokea siku za usoni
Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kwa makusudi au kutoelewa au kuelewa nusu...
Katika saa za mapema za Jumamosi asubuhi wakati wa mfungo wa Ramadhani, huku sehemu kubwa ya Tehran ikiwa bado kimya, makombora ya Israeli na Amerika yalikuwa tayari yamerushwa angani. Ndani ya dakika moja, mashambulizi matatu yaligonga maeneo matatu tofauti katika mji mkuu wa Iran. Kufikia...
Naomba niongee, kistarabu kwa heshima ya mwezi mtukufu wa ramadhani, nimejikuta nikichukia baada ya kupita insta, ninekutana na huyu jamaa ambaye sijui anacheo gani hapo klabuni yanga labda kwa vile sio mfuatiliaji sana wa soka la bongo.
Huyu kijana kaonesha kusikitishwa na kile kilichotokea...
Toka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.
-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran...
Najua ndani ya week hii EWURA hamtaniangusha
Irani Kuna vita, Iran imeshbuliwa na Israel na USA, uchumi wa Dunia unayumba
EWURA mna sababu za msingi za kupandisha bei ya petroleum na diesel fuel ⛽
Nitafurahi mno
Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel.
During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
Hizo fighter jets za USA mnaona ziki paa Kwa kasi huko Iran kumbe zinaendeshwa na madame,uneeza fikiria zinaendeshwa na majamaa wazito wenye nguvu, kumbe ni these young ladies ambao wako na very high skills!
Maduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa...
Following the recent attacks and instabilities between USA, Israel and Iran, Uganda has urged its Citizens to keep safe and leave the country through any possible means since its nolonger safe to stay in the country.
Permanent Secretary to the ministry of Foreign affairs Vincent Bagiire warned...
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai...
Falme za Kiarabu (UAE) na Kuwait zimesema kuwa watu wanne wameuawa na wengine 90 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran, kufuatia shambulio la Marekani na Israeli dhidi ya Iran.
Wizara ya Ulinzi ya UAE imesema katika taarifa yake kuwa mifumo...
Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao
Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine.
Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa...
Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI.
Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa:
1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran.
2. Wananchi...
Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel.
Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni.
Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
Israel imedai kuwa “idadi kubwa” ya viongozi wakuu wa kijeshi wa Iran waliuawa katika wimbi la kwanza la mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.
Jeshi la Israel (IDF) limesema limewaua makamanda 40 wa ngazi ya juu, likieleza kuwa ni “shambulio la kihistoria”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.