Kwa tamko la Rais Dornad Trump juzi Iran walitakiwa kupigwa kipigo Cha mbwa koko
Na mashambulizi yake alitangaza kuwa yataelekezwa kwenye miundo mbinu ya kuhifadhi mafuta ,vituo vya umeme nk
Na serikali ya Iran katika kukabiliana na tishio Hilo iliwatangazia wananchi wake na wote waliungana...
Wale wafuasi wa wa Iran a.k.a wazee wa threesome, naomba tujuane ili tufurahie ushindi mkubwa ambao tumeupata Katika mtifuano wa mashariki ya kati.
Ayatollah secretarybird, nawakaribisha kwa raha tele 😎.
adriz.
Pakistani ni mshenzi sana kawapo Iran fake document kuwa America kakubali masharti yake na pia America kawapa fake document kuwa Iran kakubali masharti yake kwa hio kila mmoja akawa na proclaimed kashinda vita
https://youtu.be/vi1DUuCgj9g?si=Mt26d3aatUCTQXVQ
The World Bank has raised fresh concerns over Kenya’s economic outlook, warning that the ongoing Iran conflict could trigger higher inflation and slow economic growth, particularly for oil-importing countries like Kenya.
In its latest assessment, the Bank noted that geopolitical tensions in the...
kumekuwepo na chapisho ambalio limesambazwa na chommbo cha habari cha Mwana habari kikiw na kukuu ya kuwa Israel hajafurahishwa na makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran huku Israel
===
Israel haikujulishwa kuhusu mpango wa Marekani wa kufikia makubaliano ya muda ya kusitisha...
Ndani ya dakika 10 na katika maeneo mengi kwa wakati mmoja, IDF ilikamilisha shambulio kubwa zaidi lililoratibiwa tangu kuanza kwa Operesheni ya Roaring Lion, ikilenga zaidi ya vituo 100 vya amri ya Hezbollah na maeneo ya kijeshi huko Beirut, Beqaa, na kusini mwa Lebanon.
Malengo yaliyopigwa...
Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough country ilo liko wazi ila kupambana na US katika complete war, Iran bado mtoto.
America hajatumia ata...
Wakati wanaenda kwenye wiki mbili za ceasefire.
👉 Nani kashinda vita kati ya USA vs Iran?
Kwa vigezo gani:
Military power (nani kampiga mwenzie zaidi)?
Survival (nani bado yupo hai kiushawishi mpaka sasa)?
Uchumi (nani amemuathiri mwenzie au nani anaiathiri dunia)?
Au nani analazimisha...
Serikali ya Iran na vyombo vya habari vya taifa hilo, vinasema kuwa makubaliano ya kusitisha mashambulizi kwa muda ni ushindi mkubwa kwa utawala wa taifa hilo.
Katika taarifa iliyotolewa na Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, Iran imesema imeyafikia karibu malengo yake yote ya vita hivyo na kuwa...
Israel sio mtu wa Mazungumzo na magaidi. Kama Iran iliua muisrael yoyote hiyo imekula kwao. Mazungumzo ya Marekani na Iran si chochote kwa Israel.
Waziri mkuu kashawapa funguo Wanajeshi wake waue gaidi popote watakapo muona. Yaani Wasisubiri ruhusa. Marekani anakubalije Mazungumzo wakati Israel...
Wanaukumbi.
Iran ilisema mapema Jumatano kwamba Marekani "kimsingi" imekubali pendekezo la pointi 10 linalolenga kukomesha vita, kulingana na ripoti za mtandao wa Utangazaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) unaoendeshwa na serikali.
Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran lilisema katika...
Pamoja na kwamba niko upande wa Israel, na kwamba napenda sana kuona ugaidi wa dini ya muarabu ukiangamizwa, ila kwenye hili Marekani walichotaka kukifanya pale Iran, nilikua siafiki kabisa, kupiga umeme utasababisha maafa makubwa sana ukizingatia majokofu kwenye mahospitali na maeneo mengi...
Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari.
Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi.
Baadhi ya mataifa...
Niaje waungwana
Habari ndio hiyo waungwana. Hii ni baada ya kuona Iran haitishiki na vitisho vyake, wala mikwara yake.
So kaamua bora nusu shari, kuliko shari kamili. Big up Iran.. Kwa sasa Trump ame prove mwenyew kuwa Iran sio Venezuela.
Hakika kuamini kwa Toma ni kujionea. Sasa Trump...
https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20
https://x.com/i/status/2017987125895925982
Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje.
Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
Hamjambo!
Iran amedhihirisha hana plan tena yoyote ya maana ya kulinda taifa lake. Yaani adui anakutishia kukushambulia unatoa mkeo na watoto ati wakae mbele ili kumzuia adui asipige. Kwa kweli hii haikutegemewa kabiss.
Iran amejitahidi kuonyesha uwezo alionao kupinga dhulma ya Mayahudi na...
Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara.
Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele.
Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.