iphone

  1. Candela

    JamiiForums Tanzania Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung

    Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung. Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone. Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili kuboresha ubora wa picha zao. Tunakoelekea kununua iPhone itakuwa sawa na kununua Lamborghini Urus...
  2. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Samsung na iPhone nani mkali?

    Salamu. Simu zote ni nzuri ila najua kuna mahala zinazidiana ubora na gharama.Kwa ujuzi wako kati ya hizo kampuni nani bora sana?
  3. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Delivery report On Iphone

    Wakuu nimeletewa zawadi ya Iphone sasa natafuta pa kuweka delivery report sipaoni hata Kuset zile call forwding kama Unreachable au Busy call iwe forwaded pengine sipaoni pia msaada please
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    Kiufupi nataka kununua simu sasahivi lakini niko njia panda. Ninunue iPhone au zingine hizi maana iPhone watu wanasema ni nzuri lakini mimi sijui. Naombeni uzoefu wenu jamani.
  6. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ni iPhon Xs Max, inashindwa kuinstall hii new update

    Simu yangu ni IPHONE Xs Max Storage 64 Lakini nashindwa kuinstall hii new update New update ni IOS 17.5.1 Uki install inaleta Error Shida ni nini?
  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania We are not men if we get defeated by country ruled by women ~Balotel

    Hii ilikua ni kauli ya balotel nchini Ujeruman
  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania AI /CHAT GPT gani ni free kwene IOS /iphone?

    Wakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free? Hii ninayoijua ni ya kulipia ila ni free kwene browser ZINGINEZO 1.https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-artificial-intelligence-whatsapp-chat-bot.2180158/
  9. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone 13 Pro

    Iphone 13 pro . Used Uk. In very good condition Gb 128 Bh 84. TT✅ 1.5ml only. Comes with a box. Ukinunua mbili Utapata moja kwa 1.450ml only. 0752850081 0783869998 Nipo DSM Ubungo.
  10. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Apple event ujio wa IOS 18 na iPhone 16

    Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18 IOS 18 is out now
  11. The bump

    JamiiForums Tanzania INAUZWA iPhone 13 PRO inauzwa 128 GB

    SOLD OUT SOLD OUT SOLD OUT
  12. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  13. biznes_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza iPhone 6, GB 64

    Hii simu nitaiuza hapa kwa bei ya kutupa ya Tshs 200,000 tu. Mikoa yote ya Tanzania tunatuma. Piga 0742786967
  14. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Iphone 7 plain i cloud lock

    Wadau nilinunua hii simu kwa mtu ambaye aliuziwa na mtu na yeye alisema usiirestore itajifunga Mimi mbishi nikatumia itunes nika iupdate kisha nikairestore hapo ndo kasheshe simu ikajifunga Nikafanikiwa kuibypass ila shida network haisomi na pia ukiizima ikiwaka inalock tena Wadau mwenye...
  15. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya simu za iphone yashuka duniani

    Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024. Hayo yamebainishwa na utafiti uliofanywa na kampuni hiyo ya mawasiliano, ambao umebaini mahitaji ya wanunuaji yameshuka katika sehemu zote duniani...
  17. municaster

    JamiiForums Tanzania KU BYPASS IPHONE 13

    Wakuu uwezekano wa ku bypass iphone 13 upo? Inawezekana na kama inawezekana ni kama vile tunavyofanya zile nyingine?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS inafanya kazi gani kama Wafanyabiashara wanaingiza 'Bidhaa Fake' na kutangaza waziwazi, iPhone 15 Tsh. 380,000?

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza Bidhaa Feki kila mahali na wanauza kwa uhuru kabisa. Imagine mtu anatangaza kabisa iPhone 15 Pro ni Tsh...
  19. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania INAUZWA IPhone Original Chargers

    IPhone Original Chargers 25W Adapter USB C lighting cable 35,000/= Rejareja 16,000/= Jumla Free delivery ndani ya Dar es Salaam Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911
  20. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania INAUZWA iPhone Complete Fast Charger

    Fursa ya ajira Hata kama huna mtaji leta mteja kwa bei yako, cha juu ni cha kwako iPhone Original Chargers 25W Adapter USB C lighting cable Zipo pis 100 tu 16,000/= Rejareja 14,000/= Jumla (Kuanzia pis 10) Tabata Aroma 0653776099
Back
Top Bottom