iphone

  1. masai dada

    JamiiForums Tanzania naombeni duka linalouza iphone og

    plz msiwataje hawa bei zao ni kubwa sana
  2. B

    JamiiForums Tanzania Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Imeniuma sana. Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe.. Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi. Leo ndio nagundua...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗣𝗣𝗟𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗛𝗜𝗕𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗜𝗠𝗘𝗣𝗜𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗜𝗣𝗛𝗢𝗡𝗘 𝗔𝗨 𝗔𝗜 😀😀

    Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa “Apple Reference Image” ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. 🤯 Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
  4. Poker

    JamiiForums Tanzania iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa Sept 9

    Kampuni ya apple imeamua kuja na iphone 18 promax. iPhonee 18 Pro Maxx ndiyo simu ya kisasa zaidi ya Apple, naam ya kisasa haswa inayotarajiwa kutangazwa rasmi kwenye Apple Event mnamo Tarehe 8 au 9 Septemba, 2026, na kuanza kuuzwa madukani katikati au mwishoni mwa mwezi huo wa Septemba...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Programu ya Mwendokasi haipatikani kwenye App Store na upatikaji wa kadi bado ni shida

    Abiria wa Mwendokasi ni wengi, lakini upatikanaji wa kadi za usafiri ni changamoto. Hali hii inalazimu baadhi ya abiria kusubiri mtu mwenye kadi na kumuomba awasaidie kuweka fedha ili waweze kutumia huduma. Pia, watumiaji wa iPhone wanakabiliwa na changamoto ya kutopatikana kwa programu ya...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 🔓🔥 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗪𝗔 𝗨𝗟𝗜𝗡𝗭𝗜? 𝗶𝗢𝗦 𝟮𝟲 𝗦𝗮𝘀𝗮 𝗜𝗻𝗮 𝗝𝗮𝗶𝗹𝗯𝗿𝗲𝗮𝗸!

    🍎 Apple alisema “iOS 26 ni salama kabisa…” 😏 haitaweza kuwa na jailbreak 👀 😈Jailbreak community: “Hold my iPhone!” 😂🔥 Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone. Dopamine 3.0 imeleta jailbreak...
  7. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania IPhone, SmartTV, AI... na vifaa vingi 'smart' vinakuangalia na kukufuatilia maisha yako

    IPhone ni EYEPhone = inakuangalia SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia * kuwa mtu wa kucheki...
  8. Amour_9

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 8 Plain

    Nauza iphone 8 used, iko kwenye hali nzuri haina tatizo lolote - 64gb memory Bei 350,000 tzs Location-mbagala mission 0656970469
  9. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Iphone Xs Max

    Nauza iPhone Xs Max gb 256, battery 100, no face, bei Tsh 320,000/= Imenyooka sana kam mpya Tuwasiliane 0672901144 Ipo moshi KCMC
  10. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Usinunue Tena Iphone Kwenye Box Bila Kujua Siri Hii , Utashangaa….

    Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used…. Je, Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo. ……naona unabisha pengine wewe mwenyewe au rafiki au ndugu ulisha wahi muona amenunua simu mpya kabisa na amefungua kwenye box …sasa...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania iPhone 17 Pro Max tusiichukulie poa likija swala la camera!

    Christina Koch akipiga selfie na Dunia kutoka space. Nasa wameconfirm iPhone 17 Pro Max imehusika.
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania iPhone Fold itagharimu hadi Million 6 hivi za Kitanzania!

    Wakati wa kuzindua iPhone 18 series itatoka na iPhone Fold. Ni iPhone ya kukunja ya kwanza kutoka Apple. Base model ya 256 GB itakua $1,999 wakati ya juu ya 1TB itakua $2,400. Hapo bado ushuru, na faida za wenye maduka. Kazi ipo.
  13. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

    Moja kwa moja . Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano . Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo. Lengo...
  14. Youngstunna

    JamiiForums Tanzania iPhone 14 promax bei 1 M

    Battery health 86% , Box lake na chaji unapata , Clean and Good condition Location Magomeni mapipa contact 0744 53 59 51
  15. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Ofa!! Ofa!! Nauza iPhone 12, charger yake na earbuds vyote kwa pamoja laki 4 tu (400,000). Mali ipo Dodoma

    Nauza iPhone 12 Plain 128GB. Simu haina mchubuko wala mkwaruzo. Network: 5G Waterproof: Ina kiwango cha IP68 (dust na water resistance). Hailingizi maji, unaweza hata kupiga video call ukiwa ndani ya maji. Display: Super Retina XDR OLED, HDR10 na Dolby Vision. Kioo kina ubora wa hali ya juu...
  16. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 12 plain 128gb,charger,earpods na cover

    Nauza iPhone 12 plain simu haina shida yoyote ile iko pilu namba 0768073471 simu ipo dodoma.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Iphone 17 pro max vs Samsung S25 ultra. Ipi ninunue?

    Maoni yenu wakuu. Zote ziwe 512GB. ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia. Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja. Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia. Asanteni.
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  19. Bullshit

    JamiiForums Tanzania N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

    Ebu jaribu kunielezea ili nielewe.
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: iPhone 18 kuja bila Dynamic Island, Watumiaji waanza kulalamika

    Toleo jipya la iPhone 28 Pro na iPhone 18 Pro Max halitakuwa na Dynamic Island na Face ID itakuwa chini ya kioo. Ikumbukwe, Dynamic Island ilianza kutumika kwenye iPhone 14 Pro na kuendelea. Baadhi ya wadau wameanza kulalamika kuwa iPhone zinarudi kwenye muundo wa simu za android...
Back
Top Bottom