ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums The Voices From Within: Japo Wamenyamaza Kama Mazuzu, na Hawaulizi Kitu, Ila wana Macho na Masikio,Wanatamani Wawe Wanaelezwa Ukweli, No Matter What!

    Wanabodi Naendelea na zile mada zangu za "The Voices From Within" ambazo ni mada za kufikirika tuu. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii...
  5. figganigga

    JamiiForums Kufuru ya Samia Suluhu kukopa Hela za El-nino, ila tunaishia kujengewa madaraja ya Miti. Hela anazipeleka wapi?

    Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi? Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino. Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya...
  6. U

    JamiiForums Ila Mahakamani😃😃😃😃

    Rasmi Mahakamani ndiyo sehemu inayotishia zaidi hapa Tanzania😂😂😂
  7. 1995El

    JamiiForums Tangu 2012 napambana ila bado bado

    Tangu 2012 Nimekuwa Nikijaribu Kusimama Tena — Changamoto Niliyonayo Sasa Wakuu, nimeona leo niandike kitu ambacho kwa muda nimekuwa nikikifikiria sana. Mwaka 2012 nilifeli masomo. Tangu wakati huo nimepitia vipindi mbalimbali vya maisha—wakati mwingine nikiwa na matumaini, wakati mwingine...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Kusema kweli hakuna popote tunaenda wana Man Utd ila angalau kwa kikosi hiki tunaweza maliza nafasi ya tano au sita.

    1: Lammens 2: full back mpya atakaye nunuliwa january 3: full back mpya atakayenunuliwa january 4: Yoro 5: de ligt 6: Baleba 8: Mainoo 10: Bruno 7: Mbeumo 11: Cunha 9: Sesko
  9. Beira Boy

    JamiiForums Ilaa man u

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ilaaaa LONDON BOY
  10. Think2

    JamiiForums Ila ngozi nyeusi 😂

    Mtoto anaenda kisoma computer science chuo kikuu baba mkulima wa mkonge kwanini asisome kilimo akamsaidia baba yake kuongeza uzalishaji wa mazao? Nyumbani hakuna hata laptop hata ya kuchomelea tu that is wasteful of time my ninga Baba fundi cherehani mtoto anaenda kusomea family care inamsaidia...
  11. Gospel KTV

    JamiiForums Ipo Siku Kiu yako Ya Anasa itaisha ila Utakua Umechelewa

    IPO SIKU KIU YAKO YA ANASA ITAISHA, ILA UTAKUWA UMECHELEWA Andiko kuu: Luka 15:11–24 Andiko la kutafakari: Mhubiri 12:1 Kuna wakati mwanadamu anaweza kuona maisha kama hayana mwisho. Ana nguvu, ana muda, ana marafiki, ana fedha au ana matumaini ya kupata fedha. Anaweza kutamani starehe, sifa...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana 👇👇👇 Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
  13. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Sijui kwa nini ila lucas mwashambwa akikaa kimya , ID ya haszu nayo inapotea🤨

    Coincedence? Or correlation?
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tuna askari dhaifu sana. Kama huyu Agonza licha ya kuwa afya mgogoro ila kamtandika askari basi tunalindwa na watu dhaifu sana.

    Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Nilikuwa na ndoto ya kuwa polisi ila kwa haya maoni ya wananchi juu ya jeshi la polisi HAPANA SITAKI.

    Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
  16. The Dictator

    JamiiForums Ila nyie, tumetoka mbali...😂🙌

    Hivi yuko wapi siku hizi?😂
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Yote ni ubatili! Ujana ulinifanya niwe wa moto sana kwa wadada wenye makalio makubwa. Nilitumia pesa sana lakini nilipoteza muda ila niling'atuka

    Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tunapenda kulaumu madogo wa Jenzii ila tunasahau wanafanya wanayo fanya kupitia uvumbuzi wa vitu na mambo tulioleta sisi millenials

    Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma? Ooh...
  19. Gospel KTV

    JamiiForums Alijiunga NSSF kwa kutumia Passport, sasa hivi anataka kutoa pesa anaambiwa lazima awe na NIDA. Hii imekaaje kisheria?

    Wakuu salama, Kuna changamoto inamkabili ndugu yangu mmoja hapa naomba mniongezee mwanga au kama kuna mtu amewahi kukutana nayo atupe uzoefu wake. Huyu ndugu yangu wakati anaajiriwa na kusajiliwa NSSF, alitumia Paspoti ya Kusafiria (Passport) kama kitambulisho chake rasmi na akasajiliwa bila...
  20. Diaspora Messenger

    JamiiForums Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
Back
Top Bottom