ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Watanzania haawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja,kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania hawana msimamo mmoja?

    Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?

    Tujitafakari, Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji? Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi uchumi wake utegemea kuuza passport na kenya kuna kashifa wanayo ila sio hiyo nchi.

    Kwa jina hiyo nchi imenitoka ila ni kakisiwa ambacho hakana rasilimali yoyote ila kanategemea zamana ya pesa utakayoweka kwao wakupe passport. Ukipata passport yao unaweza kwenda nchi nyingi free ambazo kwa passport yetu free utapata sudani ,somalia na zilizomo hata uwezi kufika na wala hakuna...
  4. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini bongo hakuna organized youtubers ila tuna wapiga kelele na watingisha makalio huko tik tok na insta

    Ni kwamba sisi consumers ndio tunapenda mambo ya uchawa, kelele kelele na watingisha matako au basi hatujaamua kufanya content zilizo concious na wakapata umaarufu Au basi tu watengeneza maudhui na sisi watumiaji wote akili moja 😁
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nafikri Geita na Tarime ndio wilaya zenye ardhi yenye dhahabu ya kutosha ila nashangaa Tarime ukuaji upo slow. Kimbieni kule muwekeze vita hakuna tena

    Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani😁
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma. Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa...
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Wadada wazuri ni wengi ila wakaka wazuri tupo wachache sana

    Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa. Wanaume wengi ni average...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kongo Kuna utajiri ila barabara ni changamoto kubwa, Tazama video hiyo kwa majirani zetu

    HEKAYA FUPI YA HALI YA MTANDAO WA BARABARA KATIKA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGOJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina mtandao mkubwa wa barabara wenye takribani kilometa 152,000, lakini sehemu ndogo sana ndiyo iliyowekwa lami na kupitika kwa uhakika mwaka mzima. Barabara nyingi za kitaifa...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tulipofikia ni kama aibu. Tunaweza kununua V8 ila inakuwaje mpaka mnapewa vifaa vya tehema tena laptop?

    Hii nchi sijui tunaelekea wapi.Vifaa vya tehama mpaka mnasaidiwa au maigizo. ---------------- Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea vifaa vya kisasa vya Chumba cha Kanzi Data, vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na miundombinu iliyoboreshwa ya...
  10. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Ila uongo nao kazi kweli kweli

    Yani unasema uongo ili kuulinda uongo unongezea uongo mwingine juu yake. Ukiulizwa kwanini ulidanganya unaongezea sababu za uongo tena.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima karibu wote wana msiba wa bei za mazoa yao, ila wakulima wa kahawa wana furaha sana

    Mimi ni mkulima wa Muda mrefu kidogo nalima viazi kama zao la urithi, parachichi na sasa nimeanza kulima kahawa( sijafanikiwa kulima kahawa kwenye kiwango kizuri) nadili na nafaka kwa kununua na kuuza. Nimejaribu kufuatilia trend ya Bei ya mazao kwa Miaka kadhaa hadi nikamua kuanza kulima...
  12. min -me

    JamiiForums Tanzania Ila wanawake ni shida sana

    Leo bi mkubwa kanicheki , kakuta naongea kilevi levi kazingua kinouma, nikafanya kumtumia 200k kimya kimya, baada ya muda , akaandika yaani ungekua hapa mwanangu , tungefurahi mno, leo tumechinja kuku mkubwa hatari 🤣
  13. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  14. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Chupa ya kipa wa England ilikuwa na majina ya wapiga Penati wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina waliiotea chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, ambayo ilikuwa na maelekezo yaliyoonyesha upande ambao kila mchezaji wa Argentina alitarajiwa kupiga penati iwapo wakifika katika hatua hizo. Baada ya kuiona, wachezaji wote wa Argentina walikusanyika kuisoma...
  15. Koloko

    JamiiForums Tanzania Nitasahau vyote ila sio tukio hili

    Habari zenu wakubwa Nimetoka zangu job nimechk narudi home kupumzisha fuvu ili kuwaza kesho mambo yanaendaje Nimepitia dukan kuchkua baadh ya vitu,kunadogo wakati me nafika dukani nilikuta anapimiwa unga muuzaji alipo maliza akampatia unga then akawa anani hudumia mimi sasa vitu vyangu...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu naweza kusema kipo ila kitakuwa kigumu ila kipo kuthibitisha kwa biashara viungo vya binadamu.

    Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo. Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio bidhaa ambayo naogopa kuingiza mada hapa. Je wale ambao wamenusurika au kuomba uchunguzi wa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Uturuki na waliyokumbuka na sheria zikabadilishwa ila hapa Tanzania mnaogopa nini?

    Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa. uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona mpo kama hivi
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya wa Feb 2025 - Bumbuli (Tanga) tumelipwa robo ila wale wa Januari 2026 wamelipwa

    Mtumishi ajira mpya ya Februari 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, tangu tumejiriwa tumepewa pesa robo tu ya kujikimu kila tukiulizia pesa yetu iliyobakia tunaambiwa kwamba serikali haijatoa fungu letu bado, hivyo hata hiyo robo tumepewa kutoka kwenye vyanzo vya ndani vya...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania China imeongeza sheria ya PHD ila tanzania PHD hata wasio soma na waliopata F wanazo hapa.

    Elimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti. Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa kubuni kitu ambacho hakitakuwepo na kinaweza kusaidia nchi mpaka dunia ndio unapewa PHD. Huyu masuya na...
Back
Top Bottom