huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. PICHA: ALIYEINGIZA SILAHA ZA MO29 HUYU HAPA

  2. Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

    Maneno ya Askofu "Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki." "Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
  3. Zelensky ameambiwa hayuko salama popote alipo hata anakojificha ...

    ZELENSKY FELT THE BLASTS IN HIS BUNKER🚨🚨🚨 Russia launched a massive missile strike on Kyiv overnight. The blasts were so powerful he felt them underground. That is not a military message. That is a personal one. Moscow is telling Zelensky he is not safe. Not in his office. Not in his...
  4. Natoa pongezi kwa wote wanaompambania huyu binti huko Thailand. Lete ushindi nyumbani.

    Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
  5. Mpangaji mpya

    Ni hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng...
  6. Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba. Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi. Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha. UPDATE...
  7. Kwa nini huyu jamaa aliitwa mzaramo?

    Niliona tangazo la Konyagi wakizungumzia jinsi ya kutambua feki. Walikuwa wanamwita huyu jamaa mzaramo? Kisa nini kumuita hivyo?
  8. Yule wa kigamboni alivutwa Nyeti(pumbu), na mkewe akamripoti polisi, na polisi walimpuuza, huyu wa Bunju A alitishiwa bastola akaripoti polisi,wakampu

    Jeshi la polisi linaendelea kuingia katika kashifa mbaya dhidi ya matukio ya mauaji yanayoendelea nchini Tanzania. Awamu hiii ukiondoa ile ya kigamboni ambapo, bwana mmoja alivutwagwa pumbu, na mkewe mbele ya Mama yake mzazi, akaenda akaripoti polisi na polisi walimpuuza kwa kumpa maneno ya...
  9. Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

    Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 50 na unalenga kuhifadhi kumbukumbu za viongozi wakuu wa nchi pamoja na historia...
  10. Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

    Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana? Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
  11. M

    Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

    Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
  12. Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

    Nampongeza sana kocha mpya wa Ureno kukataa kupelekeshwa na mtu aliezeeka mda wake umeisha lakini Bado analazimisha kucheza mpira. Wakati mwenzake kule Argentina anaagwa kwa heshima baada ya kuipatia mafanikio makubwa sana timu ya taifa, mwenzake huku anafurushwa. Kwasasa Portugal itakua timu...
  13. Duh ! jina la huyu member siwezi kulisoma wala kuliandika .

    Hii imekaaje mods ? 👇👇
  14. NAMPENDA SANA MALAIKA CUTEE, NAVUTIWA NAE SANA♥️ NIFANYEJE NIMPATE HUYU DADA,

    Wakuu nimeshajaribu kurusha verse insta hollaaaa nipeni mbinu wazee wa town, bajeti yangu laki tatu cash wakuu hata kwa one night stand hata kuoa nipo tayari wakuu
  15. Kuuliza si Ujinga, hivi huyu Yericko anayedandia ubini wa Nyerere wazazi wake na ndugu zake wanajisikiaje?

    Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje? Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
  16. N

    Kigogo, ni nani huyu aliyeuandama utawala wa awamu ya tano na sasa yuko kimya...

    Huyu jamaa ni nani... Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha... Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi... Kwanini yuko kimya katika utawala huu? Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala...
  17. L

    Nawakumbusheni Ya Kuwa Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile. Huyu ni Zaidi ya Alexander The Great. Msimjaribu Mtaumia Vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba hajawahi kupoteza wala kuweka silaha chini katika Uwanja wa Vita . Mwamba hajawahi kurudi nyuma ...
  18. Sheikh ameelezea Peponi kulivyo nimevutiwa sana. Uislamu una raha sana. Huyu mwanamke wa peponi ni balaaah wallah

    Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi. https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
  19. Huyu mtoto ni Full Package. Mpaka naogopa anaweza kuwa jini siyo binadamu

    1. Amefanikiwa kupata makebo ya haja 2. Kiuno yaani laini chepesi 4. Kifuani tanganian zimejaa zimevimba 5. Rangi ya mtume. . Yaani ukimlainisha mpaka unaweza kinga kwenye kibakuli ukaenda kutumia kwa mwingine. Hapa huwezi pata ngoma kabisa. Wa motoooooooooooooo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…