huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Hawara kisheria ni huyu hapa!

    Mara nyingi kumekuwa na fikra tofauti tofauti kwa watu juu ya 'kuwa hawala' katika mahusiano. Kwahiyo swali linakuja, hawara ni yupi hasa kisheria? Kwanza kabisa kama uko kwenye mahusiano mawili au matatu, wewe ni hawala. Pili, kama unaishi na mwanaume ambae ameoa na hajavunja ndoa yake...
  2. Eli Cohen

    Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  3. Pascal Mayalla

    Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l

    Wanabodi Hii ni PNA ya Makonda Siku hizi ukimsifia kiongozi yeyote, huchelewi kuitwa chawa, hivyo kama mtu utaitwa chawa kwa kuusema ukweli, then let it be it!. Kuna viongozi wengi nimekuwa nikiwazungumzia, mmoja wao ni Paulo Kristiano Makonda, wanga na wasio mpenda wanamuita DAB, hawa...
  4. masopakyindi

    Huyu Chalamila, Mkuu wa Mkoa DSM, akapimwe!

    Mapepo si mapepo! Siyo bure, akapimwe!
  5. Waufukweni

    Mbunge, Cherehani (CCM): Katiba ni Karatasi, haiwezi kubadilisha Maisha, Pambaneni kutafuta Pesa

    Wakuu Mbunge wa Jimbo la Ushetu (CCM), Emmanuel Peter Cherehani, akiwa katika ziara yake Kata ya Chambo Oktoba 7, 2026, aliulizwa na mwananchi kuhusu lini mchakato wa kupata Katiba Mpya yenye demokrasia utaanza. Katika ziara hiyo, pia alizindua Zahanati ya Kijiji cha Nyawishi na kutembelea...
  6. KENZY

    Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

    Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!. Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!.. Jamaa kapagawa hajui...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Je hii, ndiyo taswira kamili ya CCM? Mtu kama huyu hafai kuwa kiongozi

    Aliunga mkono mauaji na utekaji hadharani leo hii anapata teuzi. Hii ndio CCM👇
  8. Dennis Robert Shughuru

    Huyu member huwaga ananshangaza sana

    Kuna huyu member kwenye huu uzi hapa chini analalamikia kwamba TMA kila siku wanakuja na mambo yaleyale uzi huu hapo chinj https://www.jamiiforums.com/threads/utabiri-wa-tma-kila-siku-ni-huu.2481130/ Kuna uzi nilisema tuwe na satellite kama nchi na itasaidia kwenye mambo mengi sana ikiwemo...
  9. aise

    Huyu ni nani?

    Huyu ni nani? Ni binadamu? Kuna historia tangia utoto wake?
  10. mirindimo

    PICHA: ALIYEINGIZA SILAHA ZA MO29 HUYU HAPA

  11. peno hasegawa

    Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

    Maneno ya Askofu "Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki." "Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
  12. MakinikiA

    Zelensky ameambiwa hayuko salama popote alipo hata anakojificha ...

    ZELENSKY FELT THE BLASTS IN HIS BUNKER🚨🚨🚨 Russia launched a massive missile strike on Kyiv overnight. The blasts were so powerful he felt them underground. That is not a military message. That is a personal one. Moscow is telling Zelensky he is not safe. Not in his office. Not in his...
  13. The Dictator

    Natoa pongezi kwa wote wanaompambania huyu binti huko Thailand. Lete ushindi nyumbani.

    Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
  14. Miss_deejjah

    Mpangaji mpya

    Ni hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng...
  15. Jidu La Mabambasi

    Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba. Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi. Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha. UPDATE...
  16. Wakili wa shetani

    Kwa nini huyu jamaa aliitwa mzaramo?

    Niliona tangazo la Konyagi wakizungumzia jinsi ya kutambua feki. Walikuwa wanamwita huyu jamaa mzaramo? Kisa nini kumuita hivyo?
  17. Sifi Leo

    Yule wa kigamboni alivutwa Nyeti(pumbu), na mkewe akamripoti polisi, na polisi walimpuuza, huyu wa Bunju A alitishiwa bastola akaripoti polisi,wakampu

    Jeshi la polisi linaendelea kuingia katika kashifa mbaya dhidi ya matukio ya mauaji yanayoendelea nchini Tanzania. Awamu hiii ukiondoa ile ya kigamboni ambapo, bwana mmoja alivutwagwa pumbu, na mkewe mbele ya Mama yake mzazi, akaenda akaripoti polisi na polisi walimpuuza kwa kumpa maneno ya...
  18. Waufukweni

    Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

    Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 50 na unalenga kuhifadhi kumbukumbu za viongozi wakuu wa nchi pamoja na historia...
  19. Mad Max

    Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

    Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana? Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
  20. M

    Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

    Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
Back
Top Bottom