huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Kabla ya sasa hivi tulishwahi na Waziri wa Fedha Mzanzibari kwenye muungano?

    Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj. Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT? Imekuwaje Samuya...
  2. HUYU MBUNGE ASIRUDI JIMBONI MAANA HAJUI KIJANA NI YUPI

    Wana jamvi naomba tumsikikize Mbunge wetu kupitia chama tawala. Inanipa shida kuamini kama anajua maana ya vijana au wazee. Kwangu mimi ningemshauri arudi darasani badala ya kurudi jimboni Kwale maana vijana hakuwatendea haki.
  3. Je unahisi huyu Waziri ni nani ???

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali iko tayari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kiongozi au mtumishi yeyote wa umma atakayebainika kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za taifa, lakini amesisitiza kuwa hatua hizo haziwezi kuchukuliwa kwa msingi wa tuhuma zisizo na...
  4. Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  5. Turudi nyuma huyu Okello inaonyesha Historia ya Africa mashariki mbona ina mkwepa

    Ili swala lipo uganda,lipo kenya na visiwani na sijajua tanzania. Ila mimi sio muelezaji mzuri kuandika ila naleta mafail ambayo tuanze kuulizana kwanza. Ina wezekana kuna nguvu kubwa ambayo hata walifikisha haya walifutwa nchi hizi zote tatu Africa mashariki na kwa nini waliuungana kwa uwoga
  6. Huyu dada ajengewe sanamu lake

    Zamaradi.. Katika chapisho lake leo huko Instagram.. Kaongelea namna safari ya mwanaume inakuwa ngumu. Kaelezea how society na mifumo yake haimfavor mwanaume.. Kaelezea how majeraha yetu hayasikilizwi, how tunapaswa kushow up hata kama nafsi zetu zinaumia Katika jamii ambayo wanawake wamekua...
  7. Video: Huyu jamaa amewashangaza wengi

    Wakuu hakuna haja na maneno mengi tazama mwenyewe: https://vm.tiktok.com/ZSCM2hCSL/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
  8. Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

    Kwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield Huyo jamaa anajua sana. Nikianza kukubali mwanzoni kabisa alipo chukua initiative za kwenda kumwokoa bro wake Lincoln Burrows how alivyo plan, alivyo...
  9. Huyu anayemfatilia Heche na ndiye aliyehusika October 29.

    Teknolojia ni kali.Saa yake na kofia .
  10. Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  11. Huyu haogopi kupotea?

    Mchekeshaji Andrew Ngonyani maarufu Braza K, amelikosoa Bunge akilitaja kuongoza kwa utoaji wa taarifa pasipo mpangilio wala utaratibu kuliko bunge zote ambazo amewahi kuzishudia akiomba mabadiliko, zaidi wampe mualiko ili awasilishe hoja hiyo Bungeni. "Tokea nimeanza kuona Mabunge, hili...
  12. Msaada wa kimalezi na kisaikolojia kwa mtoto huyu anayezunguka na Mama yake anayetembea kwa miguu na mikono barabara ya Uhuru Kariakoo.

    Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi labda yeye ni kiumbe kingine,mtoto mdogo lakini kichwani kwake inaweza kuwa anawaza mambo mengi akiwa...
  13. Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

    maamuzi mengine kumpa mtu magumu.... Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia.. BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni ( kwanini azime )red flag sign 2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu...
  14. Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

    maamuzi mengine kumpa mtu magumu.... Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia.. BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni ( kwanini azime )red flag sign 2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu...
  15. Huyu referee siyo Mmoroko kweli? Anyway Senegal nanyi mtumie na akili si nguvu peke yake

    1. Referee sijajua ana tatizo gani na Senegal. Wakiangushwa ni kama haoni kabisa anasonga mbele tu.au anataka mpaka mtu avunjwe shingo ndo iwe foul? 2. Senegal nanyi mpira ni pamoja na akili siyo nguvu tu. Tulieni muwafunge wafaransa hao.
  16. Huyu mrembo kusema ukweli nampenda sana . Sema ndio hivyo

    Hata mimi ni binadamu na nna moyo wa nyama nyama. 😫😫 Kusema ukweli ndiye mrembo niliyewahi kumuelewa baada ya kuicheki filamu moja inaitwa DOA(Dead or Alive) ya mwaka 2006. Nadhani Kuna filamu ya jet li nimesahau jina yumo huyu mrembo...dah sema ndio hivyo🥹🥹💔💔💔. Binti wa zamani utatia neno...
  17. S

    Huyu Binti naoa wiki hii hii sitaki nimeshindwa vumilia

    IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi. Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika. Mimi...
  18. R

    Huyu si Mwandambo Clemence, mbona kakengeuka! Jela imemkegeula au alikuwa "agent". Kumbe ni minyama tu!

    Huyu si alikuwa mtetezi wa haki za binadamu! Jela imemnyioosha. Kumbe likuwa ni minyama tu, kichwani ni funza! Labda ni AI😳😳😳
  19. M

    Utamjua vipi kama huyu mzanzibar upande wa Tanganyika?

    1. Kuongea? 2. Kuvaa? 3. Rangi? Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi Au waislam ndio watakuwa walengwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…