huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. sergio 5

    Huyu Mwanamke amenishangaza sana

    Nimekaa nae weekend hii aisee Hajui kabisa kupika vingereza kibao Inawezekanaje mtu Hajui kupika kama Kwa ufundi mkubwa hivi
  2. comrade_kipepe

    Khalifa saidi wa TheChanzo, huyu jamaa ni kichwa hasa

    Naombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma. Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na sio mara ya kwanza huyu jamaa kutema madini bila uoga aisee. RESPECT BRO 🫡
  3. Mshana Jr

    Ni neno gani la mwisho alilosema dereva huyu?

    Kama alipata nafasi lakini ya kunyanyua kinywa🥱
  4. G

    Rais Mwanamke shujaa na shupavu ndio huyu

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  5. U

    PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

    PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026 == Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026. Menejimenti na watumishi wa kituo hicho...
  6. Think2

    Huyu nyoka anaitwa pambe ni mpole sana

    Kabila la wasukuma humuita pambe nimependa kutumia pande kama kichwa cha uzi kinavojieleza Nyoka huyu hana nouma kabisa hua anaaibu sana mara nyingi wasukuma humtumia kwenye michezo yao ngoma za kijadi. Ila ajabu ya nyoka huyu ni kwamba indapo utamchanganya na nyoka wengine basi utakuta wote...
  7. figganigga

    John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Salaam, Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran. Kama alitoa ndege...
  8. Red black

    Leo nilipata time ya kuskilizia Ngoma za Tupac Shakur...one by one aise huyu jamaa alikua machine.

    County down
  9. Lexus SUV

    Chris Mauki ana maneno mixer vitendawili hatari

    Chris mauki special thread 😎😎😎😎😎 Cheka kwenye kikopo afu nuna 📍📍📍
  10. Pascal Mayalla

    Shuhudia Hiki Kinachofanywa na Pastor Huyu wa Jirani Zetu, kisha Compare na Kinachofanywa na ma Pastor Wetu!. Nimeguswa!

    Wanabodi Tanzania tuna ma pastor wengi wakijiita majina mbalimbali kuanzia Mchungaji, Mwinjilisti, Padri, Baba Paroko, Askofu, Mtume, Nabii, Kuhani, Kardinali hadi Papa Mtakatifu, wote hawa ni viongozi wa kiimani, kazi yao kubwa kuhubiri neno la Mungu, wengine wakifanya miujiza ya uponyaji na...
  11. Lycaon pictus

    Huyu Igor Thiago ndiyo atakuwa main striker wa Brazil?

    Jamaa analijua goli? Goli 21 EPL akiwa na Brentford! Brazil wana striker bora zaidi ya huyu?
  12. M

    Britanicca ndio wewe? Unajisikiaje sasa?

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  13. Dr Adam Francis

    Vijana tujifunze kutoka kwa huyu mwenzetu

    https://vt.tiktok.com/ZSH7Bamqd/
  14. M

    Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

    Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi. Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
  15. The ghost writer

    Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  16. Andromeda Galaxy

    Huyu ni Kibo Marreale

    Huyu ni Kibo Marreale.
  17. dr namugari

    Huyu afande amenisikitisha sana kwa kweli kama ndio hivyo tumekwisha

    Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
  18. Mjusi Sharobalo

    Huyu jamaa ni hatari huko upande wa pili

    MUHOOZI ANATAKA BIKRA..😀 Kiongozi wa jeshi la Uganda na mtoto wa Rais wa nchi iyo, ametoa kauli isiyo ya kawaida kwa kuitaka nchi ya Turkish Uturuki itemize masharti yafuatayo haraka. 1) Uturuki itoe kiasi cha U.S Dola billion 1, kwaajili ya maendeleo ya nchi yake. Ikiwa ni pamoja na kuongeza...
  19. Red black

    Iani Dialo from kenya Radio presenter wangu Bora wa muda wote huyu jamaa ana IQ kubwa sana.

    Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira. Jamaa ana madini sana.
  20. mager6

    Nampenda sana huyu dada

    min -me nitafutie huyu mwanadada mwanajeshi kwa jina ephen_
Back
Top Bottom