huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Ni nani huyu?

    Huyu bwana mwenye Suruali nyeusi ni nani? Alikuwa na 'umuhimu' gani kiasi cha 'kuwakusanya' Waziri na RPC?
  2. Huyu ni mama na mwana.... Halafu unategemea siku yuko na gf wake wataacha kujirekodi ka connection?

    Inakuwaje unajitekodi video za namna hii na mwanao wa kiume ambaye ameshabalehe?! Hatukatai kuwa na "Family Memories", lakini ndiyo mshikaneshikane na mwanao wa kiume to this extent! Tena hauishii hapo, unajipost mitandaoni! Hapa uwezekano mkubwa huyu ni single mother, tena alozaa naye atakuwa...
  3. Wadau tustuke, huyu raraa reree ni nani? ana like kila post hasa za siasa?

    Sitaki kuingilia u-member wa mtu hapa JF maana ni kosa kujadili undani wa member na kujua ni nani. raraa reree ana like kila post bila kucomment, hasa za kisiasa. Lakini napata wasiwasi kuwa huyu raraa reree ni program tu ya kudukua kila member. Mwasemaje wadau? Aione : raraa reree jitetee mkuu.
  4. Hivi kwa haya majibu ya huyu mheshimiwa,wakuu wetu wa wilaya wamepikwa kweli kimaadili?

    Mkuu wa wilaya kujibishana na Gen Z kwenye mitandao ya kijamii,basi bora hata majibu yake yawe ni yenye staha,but anatoa majibu ambayo ni sawa na matusi tu. Kuna maadili kweli hapa? Hii tabia hata Gerson msigwa anayo sana.
  5. D

    Sio Siri, Kimtindomtindo na Kimyakimya Wanakubali Kuwa Huyu Mtu Sio Boya Kama Walivyodhani

    Walifikiri itakuwa rahisi mno kumuangusha, yaani kama kumsukuma mlevi tu. Ndo maana kirahisirahisi tu wakaja hivi.......... 1. No vile no hivi. Ikawa vilevile, dadadeki. 2. Waliwafadhili vigen z vya Kenya kumtusi kwa Kila namna, kwa sababu ambazo hata hazieleweki. Wamemaliza matusi, wamemwacha...
  6. Kama hukumpenda Charlie Kirk basi kuna huyu wa sasa anaitwa "Myron Gaines", utamchukia zaidi ya Charlie Kirk

    Kuna watu ambao wana uwezo wa kuibua mijadala mikubwa mitandaoni, lakini Myron Gaines ni mtu ambaye ukianza kufuatilia baadhi ya kauli na mitazamo yake, unaweza kujikuta unajiuliza huyu mtu anaamini kweli anachokisema au anafanya hivyo ili kupata attention. Kumbuka Charlie Kirk hakupendwa na...
  7. Huyu binti kanichosha, zaidi ya masaa mawili anaongea tu....

    Yaani saizi anasema eti.... "ngoja ninyamaze nisije nikaonekana naongea sana" Hivi kwani minakosea wapi?? Haka ndio kale kabinti kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
  8. Bora mkoloni mweupe kuliko huyu mweusi.

    kwenye hizi siasa za nchi yetu nimejifunza bora tungetawaliwa na wakoloni weupe kuliko hawa.hawa wakoloni wa sasa hivi hawana utu,ni wauaji,wabakaji,walawiti na mafisadi NK.Wanaiba hadharani na kwakuwa wameteka vyombo vya usalama na kutengeneza vyombo vya sheria wanajiona hawazuiliki. ubaya ni...
  9. M

    Huyu chawa mwanasheria wa serikali alifaulu kwa madesa.....tazama anavyojiuma kujadili hukumu ya TAL

    wanajamvi jioneeni mwanasheria anavyoahibika,,,,,,,ni bora asingeeenda hapo kwenye majadiliano https://www.youtube.com/live/BFtdAQgPuow?si=EIwzILxl-mKo3ehs
  10. HUYU PAST ALIWAONYA WAZAZI KUITA MTOTO KELVIN MIAKA 7 ILIYOPITA.....KELVIN KELVIN

    https://www.facebook.com/share/r/1BDv6xXLCu/ SIMAANISHI WEWE KELVIN AJAYE
  11. Azam tv, Utv Channel mna deal gani na huyu Godfrey Mchungu? Mbona mtupu kabisa kichwani?

    Kuna maswali najiuliza majibu sipati, ila JF siku zote ndipo yalipo majawabu. Kuna huyu kijana kila nikichungulia Morning trumpet ndio muda wangu wa kuangalia tv ni asubuhi nakuta mchambuzi mwaliko ni huyu Godfrey Mchungu. Shida yangu ni moja, kuna wachambuzi manguli kama Abdulkarim Atiki...
  12. Huyu jamaa kosa lake lilikuwa tu kuongeza mke wa pili mpaka akauliwa kinyama hivi?

    Ni jambo gani hasa alilofanya jamaa huyu hadi kustahili kuuawa? Anaitwa Nashon Ouma Opiyo, mkazi wa Ongoro, Kamreri, eneo la Suba huko Kenya, alifanya nini mpaka mke wake mwenyewe na watoto wake, kwa madai yanayoelezwa, wageuke dhidi yake, wampige ndani ya nyumba yake na hata kumchomeka...
  13. K

    Jamani huyu ndugu yetu yupo wapi?

    Picha: Watanzania kwa Upendo walitoa kikombe chenye ujumbe "NIOE TESHA" Mnamo Oktoba 2025, kiongozi mzalendo Kapteni John Charles Tesha alijitambulisha na kutoa video iliyosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Alifanya hivyo wakati wataalamu wa CCM katika medani za sinema wakiwa hawajamaliza...
  14. Huyu kiongozi bado anatuona watanzania wote ni wapumbavu kama hiyo mikatuni iliyomzunguka?yaani maccm?hizo barua Lissu alikuwa alimwandikia baba yake?

    Nachukia sana ninapo ona jitu kama kiongosi limezungukwa na misitu,iliyojifunika minguo ya ccm wakisubiri uongo. Yaani leo hio kiongosi unawadanganya hayo maccm yakuwa Tundu Lissu aliandika barua za kuomba msamaha kabisa?ili jitu likoJe na mikengeza hiyo litakuwa pia ni kiziwi? halisikiii wala...
  15. Ujinga zingine ziko kwa DNA 😄 🤣 😂 😆 ni ngumu kuwatoa wafuasi wa huyu kwa huyu .......apeli najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣

    UJINGA ZINGINE ZIKO KWA DNA 😄 🤣 😂 😆 NI NGUMU KUWATOA WAFUASI WA HUYU KWA HUYU .......APELI Najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣
  16. Kwanni huyu mama yangu hayaoni mema yoyote ninayomfanyia?

    Hana shukrani hata Kwa kidogo ninachompa , Leo ananitamkia kuwa Mimi sitofanikiwa Kwa chochote anatishia kunilaani..Ni mwezi Sasa yupo amelala ndani Kwa changamoto ya blood pressure.na Mimi ndie ninaemuhudumia Kwa chakula siku zote, ninayo mengi Sana ya kusema humu lakini nashindwa..wiki mbili...
  17. K

    Nimjibu nini huyu wakuu?

    Ivi ni waoaji tumepungua au ni nini? How comes mwanamke ananiuliza swali kama hili? Nimjibu nini?
  18. M

    Rahby ni Mchambuzi bora wa kisiasa kuwahi kutokea Tanzania kwa sasa

    Jamaa amechambua siasa za marekani na uchaguzi wa Isreal na Marekani mwaka kabla ya uchaguzi. Yale yale alioyachambua ndio yametokea. Jamaa yupo vizuri sana kichwani
  19. Mama yetu kwa video hii tunaomba turudishie huyu myu mambo ya ndani

    Sitaongea mengi maana video inajieleza https://youtube.com/shorts/hfQqDQmlbPg?is=Ygc4h9-7jNlpQXhc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…