Ni nani huyu?

Ni nani huyu?

That_Big_MAN

Member
Joined
Oct 28, 2026
Posts
57
Reaction score
103
68299.jpg

Huyu bwana mwenye Suruali nyeusi ni nani? Alikuwa na 'umuhimu' gani kiasi cha 'kuwakusanya' Waziri na RPC?
 
😅. Mapapaa enzi za kikwete ndio walikuwa wanasikika. Utawala wa JPM uliwazimisha.

kuna papaa mmoja alikuwa anakopesha hela unaweka nyumba kama.dhamana, kwenye mkataba anaweka kipendele usipolipa tarehe fulani nyumba au.chochote ulichoweka dhamana kinakuwa chake.

Basi siku moja kabla ya deadline ya kulipa deni anazima simu...kila ukimpigia hapatikani...atakuja kuifungua simu wiki moja baadaye wakati huo mali uliyoweka dhamana ishakuwa yake kwa kuchelewesha malipo!
 
Aise huu umafia wa hatari. Alikuwa nani huyu? Bado yupo kweli, maana mali za hivi sio. Cc: mrangi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom