Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke.
Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini? Kwanini wanapenda sana kuweka matajiri hata wanaopingana na itikadi zao mbele? Kwanini wengi wamo...
Katika nchi iliyojawa na kukosa haki nani anayeweza kwenda jukwaani na kusema free Tanzania 🇹🇿
Nani anayeweza kupaza sauti free Lissu, free nchimbi, free pole pole?
Sio kwamba hawapo ila wote ni machawa, wote wako insecure kukosa ugali wao, kutekwa, kuwa wamfano.
It's not that hatuko free...
Nilijawa na furaha sana siku ambapo niliokota elfu nane barabarani,
Na katika utoto wangu nikaenda na kumpa mama,
Tangu hapo nikaanza kupambana sana kuwa makini barabarani ili "niokote hela nyingine 😁"
Lakini mpaka leo sijawahi bahatika kuokota hela kama hiyo,
Sidhan kwa sababu sina bahati...
Hii midahalo ya Wakristo na Waislamu ya tangu enzi za Mkapa huko Mwembechai mpaka siku hizi online huwa myepesi na hoja nyepesi pamoja vituko tu zaidi.
Hata midahalo dhidi ya Wasabato na wanaobishania utatu au nafsi moja kati ya Wakristo nayo ni dhaifu sana iliyopooza.
Sasa hivi inatakiwa...
Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama una uhakika wa kupata mlo kamili wa siku.
HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani
Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo.
Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani.
Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu.
Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
Ukitegeme ndiyo mchezaji mwenye mafanikio kuliko wote Tanzania
Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads/clara-aweka-rekodi-ya-usajili-duniani.2470896/
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.
Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A...
Kuna mkuu au mzito yeyote aliyewahi kumalizia safari yake Muhimbili, Mlonganzila, Lugalo, Sinza Palestina au Benjamin Mkapa ?
Kwa nini walijitengea Mzena mahususi ? Inafika level za Muhimbili? Kwa nini wasingekuwa wanachanganyika tu wapate huduma zote kwa uhakika zaidi?
Kila nikijaribu kwenda mbele ya muda na kuangalia yatakayokuwa yanaendelea huwa nachoka!
Naona, viongozi wa sisiemu wakiburuzwa sana, kupewa kesi za uhaini kwa sana n.k.
Ama kwa hakika kutesana ni kwa zamu!
Embu anza kuangalia kwenye namna unavyojimililisha vitu, utaona ni kama kuna Mimi ambayo iko nyuma ya Kila Mimi.
Ukiulizwa jina, utasema naitwa fulani, utasema mwili wangu, utasema mkono wangu, utasema moyo wangu na kadhalika.
Kwenye Kila umiliki hapo utaona ni kama imekaa hivi… mkono wangu...
Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Huwa najiuliza , kama taasisi ya serikali moja ya nyezo muhimu za kuboresha huduma ni kupokea maoni.
Cha ajabu TRA wakiposti wanafunga maoni, sasa naijuiliza huwa wanampostia nani sasa.
Tafrisi ya haraka ya wanachofanya ni kuonesha kuwa kazi na shughuli zao sio halali.
Eti mtu anakudanganya kuwa aliacha kazi ili achome mahindi kweli?
Kuna mwingine aliwahi kutudanganya eti aliacha kazi world bank ili akalime matikiti.
Hawa jamaa huwa wanapata faida gani kudanganya watu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.