huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. instinct desire

    Ma-CEO wakibongo kwanini makampuni yetu huwa yapo legelege sana ukilinganisha na yale ambayo yapo chini ya wageni? TUBADILIKE

    Kwamba sisi wabongo tunashindwa kuwa strict kwenye kuendesha makampuni yetu, kwamba hatuna skills za kuendeleza makampuni yetu na yakakua na kupata promo ya kutosha nchini? SI KWELI, Mbona makampuni ambayo yapo nchini lakini yanaendeshwa na watu wakigeni yapo stable sana why not us. Watu...
  2. Yoda

    Kwa nini watu wote wanazungumza na mungu huwa hawaambiwi majibu ya mambo muhimu ?

    Tofauti na babu wa Loliondo wa kikombe sijawahi kusikia mtu amezungumza na mungu akaambiwa suluhisho la kudumu la magonjwa ya Cancer, kisukari, Ebola, UKIMWI, Homa ya ini ambalo litatibu watu wengi au kumuambia dereva asisafiri siku hiyo atapata ajali (unakuta ni mtu mmoja tu anasema aliambiwa...
  3. GRAMAA

    Kumbe yale matamko ya kimataifa huwa ni mbwembwe tu

    Mara ooooh Commonwealth sijui wametoa siku ngapi sijui mtu aachiwe huru. ILA HAKUNA KITU CHOCHOTE MTU KALA MVUA NNE VIZURI TU TENA MCHANA KWEUPE. Mara oooooh Bunge la Ulaya sijui limeketi kujadili mwenendo wa kesi ya mchongo na limetoa tamko zito. ILA HAMNA LOLOTE MTU KACHEZEA MVUA VIZURI...
  4. M

    Baba Levo: Hoja zaidi ya Elfu 24 za Ma CAG hazijawahi kufanyiwa kazi, kwa hiyo ni kama huwa tunakuja, tunajadili, watu wanaendelea na shughuli zao

    Na sisi kama wabunge ambao tumepewa mamlaka ya kusimamia pesa za umma. Ni vyema tuyaseme ili wananchiwajue kwamba tuliona tukasema na tunaomba utekelezaji ufanike. Tutayasema hapa ijapokuwa nilikuwa napitiahistoria ya ripoti za maCAG waliopita. Hoja zaidi ya 24000 zilizoletwa bungeni...
  5. K

    Kwanini single Mothers huwa wana mahasira muda wote?

    Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi. Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
  6. Carlos The Jackal

    Tumesema mara zote, Lema Huwa anaongea na Akina Mafwele , ndio Dalali Kati ya Familia ya Lissu na LISSU.

    Simmemsikia mwenyewe ?. Huyu ndie Huwa napewa habari za uhakika zà nani atakufa ,alafu anakuja kujifanya anatoa utabiri !!!. Simmesikia ,anasema aliongea na Nchimbi.?.
  7. The Dictator

    Wangapi huwa mnatetemeka mkiwa na hasira? Mnafanyaje kutuli.!?

    Kawaida sichukuliagi mambo kwa uzito hata mtu akinikera ila kuna muda najikuta napoteza udhibiti wa hasira najikuta naanza kutetemeka kabisa. Hakuna baridi wala uoga. Najikuta nipo mpakani mwa maamuzi: lolote linaweza kutokea ndani ya muda huo. Sitamani hali hii kuendelea. Wengine mnawezaje...
  8. passioner255

    watawala wauaji na wapambe wake huwa mwisho wao ni mbaya

    Watawala wauaji na wapambe zao huwa mwisho wao ni mbaya.Hii ni kwa sababu damu hudai na pia huwa wanaviburi kiasi kwamba wanahalalisha mauaji.huu ndo muelekeo wa utawala huu ovu wa nchi yetu.haiepukiki.
  9. Crocodiletooth

    Huwa nakubali sana prof.muhongo!....

    "Tumefanya utafiti duniani kote hakuna nchi iliyokuza uchumi wake kwa kuweka tozo, uchumi wa nchi unakuzwa na uzalishaji kwa wingi ukiangalia china uchumi wake umekua kutokana na uzajishaji mkubwana viwanda vingi ukiangalia saudi na marekani wote wamejikita kwenye uzalishaji mkubwa wa vitu...
  10. A

    KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  11. Manyanza

    Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?

    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
  12. Desierto

    Ukigombana na mke au mpenzi wako. Kisha wewe ukaamua kuumaliza ugomvi vipi huwa unafanikiwa?

    Iko hivi kuna wakati ukitokea ugomvi mimi na mke wangu haijalishi ni mm nimekosa au yeye kakosea ila nikisema ninchukie au nisimsemeshe hata wiki yeye naona wala hajali japo anateseka moyoni. Ila nikisema niumalize ugomvi siku hiyo hiyo au hata tumegombana usiku kisha nikasema nataka tupatane...
  13. instinct desire

    PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  14. Yoda

    Kwa nini Watanzania wengi huwa wanalazimsha watu waende kwenda kwenye misiba?

    Nimeona mwanafunzi mmoja wa chuo anaitwa Kiriba analalamika CHADEMA hawakwenda kwenye msiba wa Samia. Huwa naona pia Steve Mengele akilalamikia kwa uchungu sana wasanii wakikosa kwenda kwenye msiba. Ni Watanzania wengi huwa naona wana hii tabia ya kulalamikia au kulazimisha watu kwenda kwenye...
  15. Equation x

    Wadada mnapokuwa kwenye mahusiano na wababa wanaojitambua, kuweni wavumilivu. Sisi wababa huwa tunashusha mijengo

    Mchepuko ulivyokosa zawadi kutokana na tamaa za hela za muda mfupi Niliingia kwenye mahusiano na mdada mmoja nikiamini atakuwa tulizo la moyo wangu. Kutokana na uzuri wa nje, ulinishawishi nimpende kweli kweli ikiwa ni pamoja na kuboresha sehemu ya maisha yake. Mdada huyo bado hajajenga...
  16. B

    Mikakati ya kulipa deni la taifa huwa ikoje? maana tunakopa sana ,tunasema miradi ya maendeleo.trillion 114 siyo mchezo wazee

    Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni. Deni la nje: Sh75.89 trilioni Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97. Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
  17. T

    Pole kwa mapambano ya dunia! Uwapambaniao huwa wanafanya hivi wakijua.

    Key facts More than 720 000 people die due to suicide every year. Suicide is the third leading cause of death among 15–29-year-olds. Seventy-three per cent of global suicides occur in low- and middle-income countries. The reasons for suicide are multi-faceted, influenced by social, cultural...
  18. Lycaon pictus

    Madikteta na wafalme huwa na sera nzuri sana za kiuchumi.

    Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili na nguvu zao zote wanaelekeza huko. Mfano kama sehemu kunatoa dhahabu zinazowapa utajiri basi...
  19. 1995El

    Kuna jambo moja la ajabu kuhusu maisha ambalo sijawahi kulielewa vizuri… 🤐

    Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐 Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu. Fikiria hivi… Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
  20. Yoda

    Kwanini wanawake huwa wanapaka makeup?

    Kwa nini wanawake huwa wanajipaka/wanajichapia make-up (vipodozi) ?
Back
Top Bottom