huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukigombana na mke au mpenzi wako. Kisha wewe ukaamua kuumaliza ugomvi vipi huwa unafanikiwa?

    Iko hivi kuna wakati ukitokea ugomvi mimi na mke wangu haijalishi ni mm nimekosa au yeye kakosea ila nikisema ninchukie au nisimsemeshe hata wiki yeye naona wala hajali japo anateseka moyoni. Ila nikisema niumalize ugomvi siku hiyo hiyo au hata tumegombana usiku kisha nikasema nataka tupatane...
  2. PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  3. Kwa nini Watanzania wengi huwa wanalazimsha watu waende kwenda kwenye misiba?

    Nimeona mwanafunzi mmoja wa chuo anaitwa Kiriba analalamika CHADEMA hawakwenda kwenye msiba wa Samia. Huwa naona pia Steve Mengele akilalamikia kwa uchungu sana wasanii wakikosa kwenda kwenye msiba. Ni Watanzania wengi huwa naona wana hii tabia ya kulalamikia au kulazimisha watu kwenda kwenye...
  4. Wadada mnapokuwa kwenye mahusiano na wababa wanaojitambua, kuweni wavumilivu. Sisi wababa huwa tunashusha mijengo

    Mchepuko ulivyokosa zawadi kutokana na tamaa za hela za muda mfupi Niliingia kwenye mahusiano na mdada mmoja nikiamini atakuwa tulizo la moyo wangu. Kutokana na uzuri wa nje, ulinishawishi nimpende kweli kweli ikiwa ni pamoja na kuboresha sehemu ya maisha yake. Mdada huyo bado hajajenga...
  5. B

    Mikakati ya kulipa deni la taifa huwa ikoje? maana tunakopa sana ,tunasema miradi ya maendeleo.trillion 114 siyo mchezo wazee

    Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni. Deni la nje: Sh75.89 trilioni Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97. Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
  6. T

    Pole kwa mapambano ya dunia! Uwapambaniao huwa wanafanya hivi wakijua.

    Key facts More than 720 000 people die due to suicide every year. Suicide is the third leading cause of death among 15–29-year-olds. Seventy-three per cent of global suicides occur in low- and middle-income countries. The reasons for suicide are multi-faceted, influenced by social, cultural...
  7. Madikteta na wafalme huwa na sera nzuri sana za kiuchumi.

    Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili na nguvu zao zote wanaelekeza huko. Mfano kama sehemu kunatoa dhahabu zinazowapa utajiri basi...
  8. Kuna jambo moja la ajabu kuhusu maisha ambalo sijawahi kulielewa vizuri… 🤐

    Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐 Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu. Fikiria hivi… Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
  9. Kwanini wanawake huwa wanapaka makeup?

    Kwa nini wanawake huwa wanajipaka/wanajichapia make-up (vipodozi) ?
  10. M

    Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  11. M

    Huwa nasikia wanawake wakianza kufuatilia talaka wapate mali wanawamwagia waume zao maji, ni vitimbi gani vingine huvifanya ?

    Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious. Ni vitimbi gani vingine hufanywa
  12. Kuna mambo watu wa dini huwa wanaamini na kuyatetea mtu mwenye fikra huru unabaki kushangaa tu.

    Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa 1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao. 2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa. 3. Kuteua...
  13. Human Nature

    Hello Great thinkers 🫡 Mwanadamu ana baadhi ya mambo ambayo huwa yanatokea ndani yake bila yeye kuyapanga au kuyachagua kwa makusudi(Unakubaliana na mimi?) Hayo tunaweza kuyaita Human Nature asili ya mwanadamu Mfano: Kupenda : binadamu anaweza kujikuta anampenda mtu au kitu bila hata...
  14. M

    Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  15. Unadiliki kulia mbele ya mwanamke kisa mapenzi alafu mwanamke mwenyewe anakuchukua video anakupost mitandaoni. Hivi huwa mnayapendea nini magube gube?

    Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa? Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
  16. Huwa natumia dollar 200 sawa na 460k za kitanzania kulipia internet kwa mwezi.

  17. JK huwa ni muongo,au CCM ndio waongo!

    Msikilize hadi mwisho!
  18. Ukizaliwa Mwanaume: Maisha huwa ni 5-0 , lakini una nafasi ya kupindua matokeo

    Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0. Umezaliwa Afrika? 2–0. Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0. Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0. Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0. Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba...
  19. Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  20. Kwa nini wauza Chips hutumia tomato sauce nyepesi ya majimaji tu na huwa hawana ile nzito (ketchup)?

    Kwa nini wauza Chips karibia wote mtaani na haya kwenye hotel kubwa huwa wanatumia tomato sauce ile nyepesi ya majimaji tu? Ketchup ni kwa ajili ya matajiri? Mbona Tanzania nyanya nyingi sana hadi zinaoza kiholela! Inakuaje wauza Chips wanaona tomato ketchup ni anasa?!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…