huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Jiji lisio na msikiti wala kanisa huwa linaitwaje huko duniani?

    Jiji lisio na msikiti wala kanisa huwa linaitwaje huko duniani?
  2. F

    Ukweli husiofundishwa kanisani,wa israel sio wakristo wana dini yao ambayo haimtambui yesu kristo na wala huwa hawasali Kanisani. Sababu ni sadaka

    Mafundisho ya kanisa yanamtaja sana Mungu wa israel ila hata siku moja huwezi kuta wanaitaja dini ya Waisrael. Judaism religion Na huwezi kuta kanisa linasema ukweli kwamba wa israel wanamkataa yesu kristo sio masihi na wala sio mwana wa Mungu na wala sio Mungu. Pia huwezi kuta kanisa linataja...
  3. Masikini huwa hawaumwi macho? Sio rahisi kuona miwani uswahilini

    Ukiacha mabinti wanaovaa miwani kubwa za urembo na wazee sana sio rahisi sana kuona watu wanaoishi uswazi au maisha ya yasiyo ya kishua wakiwa wamevaa miwani. Ni nadra kukuta watoto wa shule za serikali wamevaa miwani ya matibabu ila shule za binafsi wapo wengi wanaovaa miwani.
  4. J

    Chaguzi zote huwa wanaiba lakini 2025 mauaji yalikithiri. Je, CCM ilikosea wapi?

    ..Ninachojiuliza ni Mama Abduli na Ccm walikosea wapi? ..Mbona miaka yote huwa wanapatia ktk kuiba kura bila kusababisha madhara makubwa? ..Je, Mama Abduli na Ccm walipaswa kufanya nini ili kufanikisha uporaji wa uchaguzi, bila kuleta madhara makubwa kwa jamii?
  5. Ukivunja Sheria za nchi hata Mabeberu huwa yanakaa pembeni yanawaona ni watukutu hamna nidhamu

    Kuna watu wanavunja Sheria za nchi wakidhani mabeberu yatawatetea mnajidanganya, lazima mtanyooshwa na Sheria za nchi bila haya. Hata mabeberu huwa yanaogopa kuvunja Sheria za nchini kwao. Moja ya msingi wa Demokrasia ni "rule of law " all people are equal before the law, no one is above the...
  6. Ma-CEO wakibongo kwanini makampuni yetu huwa yapo legelege sana ukilinganisha na yale ambayo yapo chini ya wageni? TUBADILIKE

    Kwamba sisi wabongo tunashindwa kuwa strict kwenye kuendesha makampuni yetu, kwamba hatuna skills za kuendeleza makampuni yetu na yakakua na kupata promo ya kutosha nchini? SI KWELI, Mbona makampuni ambayo yapo nchini lakini yanaendeshwa na watu wakigeni yapo stable sana why not us. Watu...
  7. Kwa nini watu wote wanazungumza na mungu huwa hawaambiwi majibu ya mambo muhimu ?

    Tofauti na babu wa Loliondo wa kikombe sijawahi kusikia mtu amezungumza na mungu akaambiwa suluhisho la kudumu la magonjwa ya Cancer, kisukari, Ebola, UKIMWI, Homa ya ini ambalo litatibu watu wengi au kumuambia dereva asisafiri siku hiyo atapata ajali (unakuta ni mtu mmoja tu anasema aliambiwa...
  8. Kumbe yale matamko ya kimataifa huwa ni mbwembwe tu

    Mara ooooh Commonwealth sijui wametoa siku ngapi sijui mtu aachiwe huru. ILA HAKUNA KITU CHOCHOTE MTU KALA MVUA NNE VIZURI TU TENA MCHANA KWEUPE. Mara oooooh Bunge la Ulaya sijui limeketi kujadili mwenendo wa kesi ya mchongo na limetoa tamko zito. ILA HAMNA LOLOTE MTU KACHEZEA MVUA VIZURI...
  9. M

    Baba Levo: Hoja zaidi ya Elfu 24 za Ma CAG hazijawahi kufanyiwa kazi, kwa hiyo ni kama huwa tunakuja, tunajadili, watu wanaendelea na shughuli zao

    Na sisi kama wabunge ambao tumepewa mamlaka ya kusimamia pesa za umma. Ni vyema tuyaseme ili wananchiwajue kwamba tuliona tukasema na tunaomba utekelezaji ufanike. Tutayasema hapa ijapokuwa nilikuwa napitiahistoria ya ripoti za maCAG waliopita. Hoja zaidi ya 24000 zilizoletwa bungeni...
  10. K

    Kwanini single Mothers huwa wana mahasira muda wote?

    Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi. Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
  11. Tumesema mara zote, Lema Huwa anaongea na Akina Mafwele , ndio Dalali Kati ya Familia ya Lissu na LISSU.

    Simmemsikia mwenyewe ?. Huyu ndie Huwa napewa habari za uhakika zà nani atakufa ,alafu anakuja kujifanya anatoa utabiri !!!. Simmesikia ,anasema aliongea na Nchimbi.?.
  12. Wangapi huwa mnatetemeka mkiwa na hasira? Mnafanyaje kutuli.!?

    Kawaida sichukuliagi mambo kwa uzito hata mtu akinikera ila kuna muda najikuta napoteza udhibiti wa hasira najikuta naanza kutetemeka kabisa. Hakuna baridi wala uoga. Najikuta nipo mpakani mwa maamuzi: lolote linaweza kutokea ndani ya muda huo. Sitamani hali hii kuendelea. Wengine mnawezaje...
  13. watawala wauaji na wapambe wake huwa mwisho wao ni mbaya

    Watawala wauaji na wapambe zao huwa mwisho wao ni mbaya.Hii ni kwa sababu damu hudai na pia huwa wanaviburi kiasi kwamba wanahalalisha mauaji.huu ndo muelekeo wa utawala huu ovu wa nchi yetu.haiepukiki.
  14. Huwa nakubali sana prof.muhongo!....

    "Tumefanya utafiti duniani kote hakuna nchi iliyokuza uchumi wake kwa kuweka tozo, uchumi wa nchi unakuzwa na uzalishaji kwa wingi ukiangalia china uchumi wake umekua kutokana na uzajishaji mkubwana viwanda vingi ukiangalia saudi na marekani wote wamejikita kwenye uzalishaji mkubwa wa vitu...
  15. A

    KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  16. Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?

    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
  17. Ukigombana na mke au mpenzi wako. Kisha wewe ukaamua kuumaliza ugomvi vipi huwa unafanikiwa?

    Iko hivi kuna wakati ukitokea ugomvi mimi na mke wangu haijalishi ni mm nimekosa au yeye kakosea ila nikisema ninchukie au nisimsemeshe hata wiki yeye naona wala hajali japo anateseka moyoni. Ila nikisema niumalize ugomvi siku hiyo hiyo au hata tumegombana usiku kisha nikasema nataka tupatane...
  18. PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  19. Kwa nini Watanzania wengi huwa wanalazimsha watu waende kwenda kwenye misiba?

    Nimeona mwanafunzi mmoja wa chuo anaitwa Kiriba analalamika CHADEMA hawakwenda kwenye msiba wa Samia. Huwa naona pia Steve Mengele akilalamikia kwa uchungu sana wasanii wakikosa kwenda kwenye msiba. Ni Watanzania wengi huwa naona wana hii tabia ya kulalamikia au kulazimisha watu kwenda kwenye...
  20. Wadada mnapokuwa kwenye mahusiano na wababa wanaojitambua, kuweni wavumilivu. Sisi wababa huwa tunashusha mijengo

    Mchepuko ulivyokosa zawadi kutokana na tamaa za hela za muda mfupi Niliingia kwenye mahusiano na mdada mmoja nikiamini atakuwa tulizo la moyo wangu. Kutokana na uzuri wa nje, ulinishawishi nimpende kweli kweli ikiwa ni pamoja na kuboresha sehemu ya maisha yake. Mdada huyo bado hajajenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…