hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Chadema iliomba live streaming ya hukumu ya Lisu kesho,6,11,2026, kuna majibu yoyote?

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliomba rasmi uongozi wa Mahakama kuruhusu matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake, Tundu Lissu. Hatua hii ilitangazwa mapema ili kutoa fursa kwa Watanzania na wadau wa demokrasia ndani na...
  2. K

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
  3. A

    HOJA Hukumu Kesi ya Tundu Lissu irushwe mubashara kwa maslahi ya umma na kuepusha sintofahamu

    Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya Novemba 6, 2026, siku iliyopangwa kutolewa kwa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hali ya mvutano inaendelea kujitokeza kwa kauli na matamko. Kauli ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuhusu uwepo wa...
  4. Natangaza rasmi kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu Dar

    Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar. Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
  5. Natarajia tarehe 6 nitakuwa Mahakamani kusikiliza hukumu ya kesi ya Lisu.

    Hamjambo wote! Ijumaa tarehe 6. Nitakuwa mmoja wa watu nitakaohudhuria hukumu ya kesi ya Tundu Antipas Lissu. Naamini kila kitu kitaenda sawasawa. Nitakuwa hapo kama Mwakilishi wa Watibeli. Mwenye kujua Venue, na muda sahihi anaweza kunijuza nisijefika hukumu imeshasomwa. Nitakuwepo...
  6. Macho na Masikio Yote ni Mahakama Kuu, Kusubiria Hukumu ya Kesi ya Lissu. Je Haki Itatendeka na Kuonekana Imetendeka?. Jibu ni Keshokutwa Ijumaa!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia jinsi hukumu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu, inavyosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kwa kujiuliza kama je haki itatendeka na kuonekana imetendeka...
  7. Utabiri: Hukumu ya Tundu Lissu kuahirishwa hadi mwakani (2027)

    Hukumu ya Tundu Lissu ilipangwa kutolewa mnamo tarehe 6 Novemba, 2026. Zilikuwa imebaki siku 2 tu hukumu itolewe rasmi. Lakini kuna kitu cha hatari nakiona mbele. Mimi sio mtabiri wala mganga wa jadi lakini nina wasiwasi huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaahirishwa hadi mwakani kwa kisingizio...
  8. R

    Hii ni dalili wanajua Hukumu ya Lisu

    ! Kwa kauli hii wanajua hukumu itakuwaje! Time will tell
  9. K

    Je, tuunganishe doti? Kwa nini Lema ameongea hayo siku Tano kabla ya hukumu ya Lissu?

    Je Lema amepangwa atuandae kisaikolojia? Kwa nini ameongea Baadhi ya mambo yaahakamani siku Tano kabla ya hukumu ya Tundu lisu? Mfano eti kuna mbunge wa ujerumani alisema ni chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji. Hapa lema ni kama anaunga mkono wauaji na kulaumu waandamanaji. Hapa ni kama...
  10. Countdown Zimebaki Siku 7 kuifikia Hukumu ya Tundu Lissu

    Huu uzi ni mahususi kwa kuCountdown siku zilizosalia mpaka kufikia humuku ya Jemedari Tundu Lissu TUTAKUWEPO
  11. Shida unazo pitia leo, sio hukumu ya maisha yako yote,ni sehemu tu ya safari yako!

    Ujumbe wa kutia moyo, kujenga matumaini na kutokata tamaa katika maisha. Katika maisha kuna wakati unaweza kujikuta unapitia kipindi kigumu sana, kiasi kwamba kila unapoangalia mbele huoni matumaini yoyote. Unajaribu jambo hili linashindikana, unajaribu lile nalo halifanikiwi. Wakati mwingine...
  12. J

    Je, Mhimili wa Mahakama ugome kupinga Magereza kukaidi hukumu?

    ..Kitendo cha jeshi la Magereza kukaidi amri ya Mahakama ni kuujaribu Mhimili huo. ..Nadhani ili Mahakama yetu isichezewe chezewe ni vizuri wakakunjua makucha yao. ..Kama hukumu na amri za Mahakama zinapuuzwa kuna umuhimu gani wa Mahakimu na Majaji kuwepo kazini? ..Kwa mtizamo wangu, ni vema...
  13. Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

    CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia. Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili...
  14. Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  15. Majaji wasitishwe wala kushawishiwa katika kufanya hukumu!

    MAJAJI WASITISHWE WALA KUSHAWISHIWA!! Iwapo itathibitika uhaini umefanyika na watu 500+ wakafariki adhabu stahiki itolewe bila woga na bila ushawishi. Kinyume na hapo tutajikuta na maafa mengine wakati mwingine chini ya ushawishi wa wahaini wengine.
  16. Hukumu haipo mnavyodhani

    Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana ! Itakuwa Tofauti kabisa Britanicca
  17. Hukumu kesi ya Lissu inashikilia hatma ya usalama wetu kama nchi. Tutajifunza nini?

    Hukumu ya kesi moja inahukumu kesi nyingine inayofanana nayo. Watanzania, wanasiasa, wazee, wanaume, wanawake, vijana, watoto, waislam, wakristo, diaspora na majirani zetu watajifunza nini kutokana na hukumu ya kessi ya Lissu kwa vyovyote vile itakavyohukumiwa?
  18. R

    Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

    Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
  19. Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

    Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth. Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa...
  20. Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…