hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. Baraza la kata /na hukumu fake

    Wakuu kuna jamaa ananiadisia hapa kuna dada yake ana mume wake wamezaa watoto watatu! Mke kafukuzwa nyumbani,kesi imeenda baraza la kata la Salasala hukumu imetoka kuwa huyo mke aondoke kwenye nyumba , wakati wamejenga nyumba wote na mumewe! Jamaa kurudi nyumbani kamtupia nguo mwanamke na vitu...
  2. Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
  3. R

    Naona baada ya kelele nyingi Hukumu ya Lisu imewekwa! Je mliokuwa mahakamani mlichokisikia ndicho kilichoaandikwa kwenye hukumu?

    someni ni hiyo hapo
  4. K

    Maoni binafsi; Katika hukumu ya Lisu sio kosa la Katuga ila Ndunguru na wenzake nafsi zitawasuta milele

    Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026 Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
  5. R

    Inatia hasira kubwa, masikini Lisu na makabrasha yote kujitetea kumbe hukumu ni ya mchongo! Preditermined!

    Nimelifikiria, nikatokwa na machozi! Masikini alibeba makabrasha, mabooks na madictionary kumbe hukumu ni predetermined! Mungu anawaona na atamlipia
  6. Mjadala kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa

    Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa. Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki. Lakini swali linabaki: Je...
  7. Hukumu ya Lissu ni kaa la moto

    TUNASIKITIKA KUWATANGAZIA KUAHIRISHWA KWA MJADALA ULIOPASWA KURUSHWA LEO TAREHE 14 NOVEMBA, 2026 KUHUSU HUKUMU YA KESI YA MHE. LISSU BAADA YA KUPEWA TAARIFA NA MAMLAKA KUWA HUKUMU HIYO IMEKATIWA RUFAA NA HIVYO HAIRUHUSIWI KUJADILIWA, KWA KUFANYA HIVYO NI KUINGILIA MWENENDO WA KESI HIYO. POLENI...
  8. R

    Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe mbele ya kiti cha hukumu

    Chukua mzigo wako mwenyewe
  9. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  10. R

    Leo katika kumbukumbu: Toeni hukumu ambayo mnayo, ambayo mmeagizwa kuitoa.” Tundu Lissu 6.11.2026

    Waheshimiwa Majaji, naomba nimalizie. Uamuzi wa kunitia hatiani kwa kosa ambalo sikushitakiwa nalo, na ambalo sikupata fursa ya kujitetea dhidi yake, kwa lengo la kubalansisha tu, una athari kubwa. Athari yake ni kwamba mmewapa kinga wale waliohusika na mauaji, kwa sababu watasema kwamba wale...
  11. R

    Jaji Mkuu, Mh Masaju, kwanini hukumu ya Tundu Lisu haiko mtandaoni, TANZLII? Mnaficha nini?

    1. Means mnajua ukora mlioufanya,.mnaficha aibu yenu 2. Mnajua ile siyo hukumu, ni hotuba ya Ndunguru 3. Mnajua dunia inataka kuisoma maana AI will translate it in all languages 4. .....ongeza
  12. R

    Mwabukusi: Hukumu haihitaji kutetewa, inapaswa kujieleza yenyewe

    Kufuatia majibu ya Serikali ya Tanzania dhidi ya Uingereza kuhusu hukumu ya kifungo cha miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kupitia ukurasa wake wa...
  13. Mapendekezo ya LHRC juu ya Hukumu ya Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu

    Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu 1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
  14. Hukumu ya zinaa katika dini

    Tunapokuwa tunazungumza Sheria katika dini, tunamaanisha miongozo iliyonyooka, (haibadilishwi). Katika dini (uislamu) hukumu ya zinaa imetajwa katika mafungu mawili • wazinifu walio kwenye ndoa • wazinifu ambao hawajaoa Katika kila kundi lina adhabu yake kutokana na athari...
  15. M

    Huyu chawa mwanasheria wa serikali alifaulu kwa madesa.....tazama anavyojiuma kujadili hukumu ya TAL

    wanajamvi jioneeni mwanasheria anavyoahibika,,,,,,,ni bora asingeeenda hapo kwenye majadiliano https://www.youtube.com/live/BFtdAQgPuow?si=EIwzILxl-mKo3ehs
  16. R

    Let us propose Justices of Appeal ambao at least wana rekodi ya kutoa hukumu za haki ie BOLD JUDGES OF THE COURT OF APPEAL

    Majaji wa mahakama ya Rufaa ambao bado wanatenda haki, na hivyo wakipewa kesi ya Lisu watatenda haki 1. .........................................
  17. Uingereza yahoji hukumu ya Lissu

    Uingereza yavunja ukimya kuhusu hukumu ya Tundu Lissu, yataka haki na maridhiano Kwako Wakili Msimi🤣 ==== Serikali ya Uingereza imeelezea wasiwasi wake kuhusu kuhukumiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka Tanzania kuzingatia haki ya kupata usikilizwaji wa kesi kwa haki...
  18. M

    UTATA HUKUMU YA KESI YA LISU

    Baada ya watu kujadili hukumu ya kesi ya jamuhuri dhidi Mh. Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Mendeleo nimeona nami niiangalie kesi kwa jicho la mtu wa kawaida, ambaye si mwanasheria na namna hukumu inavyoathiri twasira ya mahakama kwa jamii. 1 .Iwapo kosa alilokutwa nalo mh. Lissu...
  19. Kuna jambo la msingi sana hatulizungumzii lililofanywa na Majaji kuhusiana na hukumu ya Lissu ya walichoita kosa la uchochezi

    Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini. Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
  20. R

    Mwenye hukumu ya Lisu tunaomba atuwekee hapa.

    Jamani hukumu hii imetoka? Mwenye nayo atuwekee hapa please
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…