Wadau wa sports,kiukweli kinachoendelea kwenye timu ya simba kinasikitisha,kwa maoni tatizo lipo kwa mwenyekiti wa simba bwana murtaza mangungu.
Kama alikuwa naona kuna mambo hayapo sawa,
Kwanini hakuwaambia wanachama,sasa hivi mda wake umeisha anakuja na ngojera kibao,binafsi namuona kama mtu...
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani
Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani
Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
PAUL CHACHA, CCM ILISHAMFUKUZA NCHIMBI, KWA NINI BADO UNAMFUATAFUATA?
Nimemsikia Paul Chacha jana akisema kwamba nilipokuwa CCM, kazi yangu ilikuwa kushika simu za Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Nataka kuweka mambo mawili wazi.
Kwanza, sijawahi kuwa mbeba simu za Dkt. Emmanuel Nchimbi. Huo si ukweli...
A cognate offence is a lesser or related crime that shares several fundamental elements, class, or category with a primary, more serious criminal charge, even if it is not strictly a strict subset of it.
Key Characteristics
Shared Elements: It overlaps in core facts, intent, or statutory...
Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa...
Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo.
CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
WABONGO MAPOYOYO SANA WAKIAMBIWA UKWELI WANAANZA KUJILINGANISHA NA CHINA NA INDIA😁😁😁
WATU WAJINGA NA WASIO NA VISION WALA MISSION WAPO HAPA DUNIANI KUZURURA TU. MUDA WAO MWINGI WANATUMIA KUNGONOKA.KISHA VITOTO VYAO WANATEGEMEA VILELEWE NA JAMII.
HUU NI MTINDO MBOVU WA MAISHA NA TABIA MBAYA YA...
Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege.
Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima.
Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
Moja kwa moja..
Kumekuwa na kasumba bongo ya mitizamo hasi juu watu wa Facebook na TikTok tofauti na mitandao mingine , mfano hapa Jf miaka ya nyuma ukiPost kitu ambacho kinaonekana cha hovyo ua ukiwa dhaifu katika hoja utasikia kauli kama ;
1. Rudi Fesibuku
2. Peleka utotoni wako Fesibuku...
Moja kwa moja..
Zamani watu wa mikoani Kuja na kuwa na maisha Dar ilikuwa ndoto yao kubwa sana , Dar walikuwa wanaona kama 'New York City' 🌆 , mtu wa Dar ilikuwa ukipangiwa shule za mikaoni basi ukijulikana wa Dar wanakuona bonge la mtu na kuulizwa maswali mengi ya kuhusu Dar kutokana na shauku...
Wakati ulimwengu ukienda haraka, na watu wengine wakiangalia namna ya kuongeza ufanisi na kupunguza maudhi, Tanzania naona bado sana tunapiga marktime.
Yaani gari tumekata ticket, inayoonesha saa 1830 inawasiri ila hadi saa 2015 bado haijaja.
Na wahusika wakiulizwa jibu ni rahisi kabisa...
Sasa hivi kila mtu anajiamulia mambo, wanajiamulia mambo, yani ni kama nyumba haina baba yani nyumba haina kiongozi, serekali na hili shirika lake ijitafakari, haiwezekani kila siku umeme unakatwa, jana na leo maeneo kama Mwenge hakuna umeme,
Kipindi cha nyuma walikua wanatoa taarifa kwenye...
Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi.
Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la...
Hawa wa duniani wanakatisha hata nyege sometimes. Peponi tutafaidi sana K.
FaizaFoxy Ritz
https://www.instagram.com/reel/Ddmbek3umFX/?stkn=NHhsdmN5NnBoZHY0
Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na huduma ya usafiri imekuwa changamoto.
Yanaharibu barabara yana park mpaka kwenye mitaa imekuwa kero...