hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki Kwa MAONI YANGU, Juhudi zilizoelekezwa...
  2. Pakome

    Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  3. Pakome

    Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  4. Etwege

    Mch Peter Msigwa amvaa msema hovyo Paul Chacha

    PAUL CHACHA, CCM ILISHAMFUKUZA NCHIMBI, KWA NINI BADO UNAMFUATAFUATA? Nimemsikia Paul Chacha jana akisema kwamba nilipokuwa CCM, kazi yangu ilikuwa kushika simu za Dkt. Emmanuel Nchimbi. Nataka kuweka mambo mawili wazi. Kwanza, sijawahi kuwa mbeba simu za Dkt. Emmanuel Nchimbi. Huo si ukweli...
  5. Chizi Maarifa

    Hawa Jamaa maisha yao ni ya hovyo sana. Ila utawakuta wanasupport Chama kama Matahira

    https://www.instagram.com/reel/Dfg03xTxDYt/?rpxt=dG9uYW4zbDYyYW0= Inasikitisha sana. Kazi ya watu wa Daraja la Chini sana.
  6. R

    Uhakika ni kuwa Majaji wana maelekezo kutoa hukumu ya hovyo maana nina uhakika wanajua maana halisi ya cognate offence

    A cognate offence is a lesser or related crime that shares several fundamental elements, class, or category with a primary, more serious criminal charge, even if it is not strictly a strict subset of it. Key Characteristics Shared Elements: It overlaps in core facts, intent, or statutory...
  7. Wakusoma 12

    Lissu alijitetea lini kwenye kesi ya uchochezi? Tupo kwenye taifa la hovyo sana

    Unajiita mahakama na unaruhusu huu uhuni? Kwanini lakini? Unaweza vipi kumfunga mtu bila kujitetea?
  8. BICHWA KOMWE -

    Watu wajinga ndio wanaoa na kuzaa: Akili kubwa ni kinga dhidi ya ndoa na uzao wa hovyo

    Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo. Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa...
  9. E

    NYERERE alianzisha TANU na baadae CCM kuepuka ukabila na utanganyika na uzanzibar, mawazo yake yamefeli CCM imekuwa kitu cha hovyo kuliko ukabila

    Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo. CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
  10. Miguel Felix Gallardo

    Kafulila yupo sahihi wabongo tupunguze kuzaa hovyo

    WABONGO MAPOYOYO SANA WAKIAMBIWA UKWELI WANAANZA KUJILINGANISHA NA CHINA NA INDIA😁😁😁 WATU WAJINGA NA WASIO NA VISION WALA MISSION WAPO HAPA DUNIANI KUZURURA TU. MUDA WAO MWINGI WANATUMIA KUNGONOKA.KISHA VITOTO VYAO WANATEGEMEA VILELEWE NA JAMII. HUU NI MTINDO MBOVU WA MAISHA NA TABIA MBAYA YA...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    Hersi acha ubishi, Yanga haina kocha pia umefanya usajili wa ovyo

    Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege. Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima. Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
  12. adriz

    Kwanini watu wa Facebook wanaonekana Low IQ na TikTok ni Vijana wa ovyo? Je, mitandao inaakisi akili ya mtu?

    Moja kwa moja.. Kumekuwa na kasumba bongo ya mitizamo hasi juu watu wa Facebook na TikTok tofauti na mitandao mingine , mfano hapa Jf miaka ya nyuma ukiPost kitu ambacho kinaonekana cha hovyo ua ukiwa dhaifu katika hoja utasikia kauli kama ; 1. Rudi Fesibuku 2. Peleka utotoni wako Fesibuku...
  13. Yoda

    Tafuta pesa / tutafute pesa ndio kauli hovyo zaidi mwaka huu.

    Hii Ni kauli ya hovyo, ya kijinga, ya kipumbavu na kifedhuli zaidi katika mwaka huu iliyojipatia umaarufu mkubwa zaidi nchini.
  14. adriz

    Kipi kimesababisha watu wa Mikoani Dar kutoka kuwa 'dream city ' yao mpaka kuiponda ovyo?

    Moja kwa moja.. Zamani watu wa mikoani Kuja na kuwa na maisha Dar ilikuwa ndoto yao kubwa sana , Dar walikuwa wanaona kama 'New York City' 🌆 , mtu wa Dar ilikuwa ukipangiwa shule za mikaoni basi ukijulikana wa Dar wanakuona bonge la mtu na kuulizwa maswali mengi ya kuhusu Dar kutokana na shauku...
  15. msakhara

    Kero: ABC Bus ya Mbeya bado ni hovyo kabisa

    Wakati ulimwengu ukienda haraka, na watu wengine wakiangalia namna ya kuongeza ufanisi na kupunguza maudhi, Tanzania naona bado sana tunapiga marktime. Yaani gari tumekata ticket, inayoonesha saa 1830 inawasiri ila hadi saa 2015 bado haijaja. Na wahusika wakiulizwa jibu ni rahisi kabisa...
  16. Tunzo

    KUKATIKA HOVYO KWA UMEME TANESCO WACHUNGUZWE NI UHUJUMU UCHUMI

    Sasa hivi kila mtu anajiamulia mambo, wanajiamulia mambo, yani ni kama nyumba haina baba yani nyumba haina kiongozi, serekali na hili shirika lake ijitafakari, haiwezekani kila siku umeme unakatwa, jana na leo maeneo kama Mwenge hakuna umeme, Kipindi cha nyuma walikua wanatoa taarifa kwenye...
  17. G Sam

    Nimesoma kesi ya uhaini ya kina Anko Tom asubuhi hii, Katuga ni mwanasheria wa hovyo kuwahi kumuona duniani!

    Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi. Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la...
  18. Chizi Maarifa

    Sheikh: Wake zetu wa Duniani ni wa Hovyo. Si kama wale wa Mbinguni

    Hawa wa duniani wanakatisha hata nyege sometimes. Peponi tutafaidi sana K. FaizaFoxy Ritz https://www.instagram.com/reel/Ddmbek3umFX/?stkn=NHhsdmN5NnBoZHY0
  19. A

    KERO Bandari kavu zilizopo Kata ya Sandali, Temeke ni kero, malori yanapaki hovyo

    Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na huduma ya usafiri imekuwa changamoto. Yanaharibu barabara yana park mpaka kwenye mitaa imekuwa kero...
  20. simplemind

    Kakistocracy- serikali ya hovyo kabisa.

    Serikali inayotawaliwa na watu wa hovyo zaidi, wasio na sifa, au mafisadi inaitwa Kakistocracy. Sifa Kuu: -Uwezo mdogo na rushwa: Viongozi huteuliwa kutokana na upendeleo (cronyism) badala ya sifa au uwezo. Kupuuzwa kwa wananchi: Serikali hutanguliza maslahi ya watawala wala rushwa...
Back
Top Bottom