hospitali

Stenoma hospitalis is a moth of the family Depressariidae. It is found in Rio de Janeiro, Brazil.The wingspan is about 29 mm. The forewings are whitish ochreous with the costal edge dark fuscous towards the base. The plical and first discal stigmata are small and ferruginous brown, the plical obliquely posterior. There are two small dark fuscous dots transversely placed on the end of the cell and there is a triangular ferruginous-brown spot on the costa somewhat beyond the middle, and a more elongate one towards the apex. A series of small ferruginous-brown dots is found from the first costal spot strongly curved around beyond the cell, then to two-thirds of the dorsum, and a curved series from the second costal spot to the dorsum before the tornus. There are also some minute marginal dots around the apex and termen. The hindwings are ochreous whitish.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Dkt. Rugambwa: Zaidi ya Wagonjwa 500+ hutibiwa Saratani Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH)

    Hayo yamebainishwa na Dkt Tibera Rugambwa, Kaimu kitengo cha saratani Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya inayohudumia mkikoa saba ya Mbeya,Iringa, Njombe,Songwe,Ruvuma,Rukwa na Katavi wakati wa kupokea msaada wa vifaa tiba na dawa kutoka kwa Jema Baruani Mkurugenzi wa Taasisi ya Jema Foundation...
  2. O

    Mtoto Aachwa na Ulemavu Baada ya Matibabu katika Hospitali ya Kory Family ya Dkt. Susan Murumba

    Familia moja ya Kimilili, Bungoma County, inataka majibu baada ya kudai kuwa kipande cha cannula kilivunjika na kubaki ndani ya shingo ya mtoto wao wakati akipokea matibabu katika Kory Family Hospital. Cannula ni bomba dogo, jembamba na laini linalowekwa kwenye mshipa ili kuruhusu dawa, maji ya...
  3. Zack Abdul

    Rais Samia Azindua Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

    15 Septemba 2023 — Mtwara Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, iliyopo Mikindani, Mkoani Mtwara. Hospitali hiyo ililenga kuongeza upatikanaji wa huduma za matibabu ya kibingwa kwa wananchi wa Mtwara, Lindi na Ruvuma. Katika hafla hiyo, Rais Samia...
  4. MulegiJr

    KERO Changamoto ya Huduma katika Hospitali ya Bugando, kitengo cha macho

    Imekuwa ni kawaida Watanzania especially wenye mishe mishe mjini kutafuta Huduma za kibingwa siku ya Jumamosi, ila Kitengo cha Macho cha Bugando ni moja ya kitengo chenye Huduma mbovu kuliko kitengo chochote. Leo ni wiki ya pili nampeleka ndugu yangu ila Dkt. Anatakiwa kuingia Saa mbili imagine...
  5. M

    ND7GU YANGU WA DAMI AMESHAPOTEZA KUMBUKUMBU HANIKUMBUKI TENA. HOSPITALI WANASEMA NI TATIZO LA UBONGO; WHITE MATTER. Nifanye nini mwenzenu,

    1. Nina mgonjwa wangu hivi karibuni amepoteza kumbukumbu, hanitambui kabisa, na ni ndugu wa damu, nakaa nae nyumbani kwangu. 2. Kuna muda anapata nguvu za ajabu anataka kupiga vijana wake, hata dada yake 3. Kuna muda haongei kabisa 4. Kuna muda anaongea, maneno yake kwanini wanataka kumuua. Hapo...
  6. Chancel Mbemba

    Hospitali nzuri ya private ambayo mzazi anaweza kujifungulia chanika Dar

    Nauliza kwa wenyeji wa Chanika, kuacha hospital ya Nguvukazi, hospital Gani Bora ambayo mama mjamzito anaweza akajifungua, sehemu ambayo wanatoa huduma hizo za uhakika na clinic ya wajawazito.
  7. A

    KERO Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni - Arusha hakuna maji, Hospitali, Shule wala duka la dawa

    Kwetu ni Arusha sehemu wanaita Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni, tangu enzi za bibi zetu hakuna maji hakina shule hakuna hospitali hakuna chochote miaka na miaka naomba tupazie sauti tupate hata maji tu tunanunua maji kwa pikipiki dumu moja mia tano hata barabara hatuna. Viongozi wana trekta...
  8. A

    KERO Malipo yaliyokwama kwa Yas kwa zaidi ya saa 24 yananiongezea gharama zisizo za lazima

    Nimelipia huduma za Serikali kupitia Lipa Namba kwa miamala miwili ili kumtoa mgonjwa wangu hospitalini. Nimeelezwa kuwa malipo hayo hushughulikiwa ndani ya saa 24, lakini hadi sasa zaidi ya saa 24 zimepita na bado sijafanikiwa kumtoa mgonjwa kwa sababu malipo hayajaonekana. Sina fedha...
  9. H

    Kishindo cha ziara ya kushtukiza ya Dkt. Mwigulu yaacha neema kwa wagonjwa Hospitali ya Mwananyamala

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, ambapo alitembelea baadhi ya wodi za mama na mtoto. Siku kadhaa baadae timu ya ufuatiliaji na tathmini ikapita katika hospitali hiyo ili kuangalia mapokeo na furaha waliyo nayo wananchi...
  10. Roving Journalist

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga: Tunamtafuta ndugu wa Mtoto ambaye Mama na Kaka yake walifariki katika ajali ya basi

    TAARIFA KWA UMMA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake. Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
  11. A

    KERO Kero za Huduma Hospitali ya Misungwi Wilaya Misungwi Mkoa Mwanza

    Huduma katika hopstali hii ni mbaya sana ingawa hosptali ina majengo mazuri ya kisasa vifaa vya kisasa, lakini kila tukienda Wanasema mtandao hakuna. Na pia Serikali iweke wazi kama haiwalipi mishahara wauguzi tujue ili sisi wenye wagonjwa tulipe pesa zetu maana nilipeleka mgojwa mpaka masaa 24...
  12. A

    KERO Responded Mwenzetu Warioba yupo ICU - Hospitali ya Kwangwa, Watumishi wanatubambikia bili zenye harufu ya Rushwa

    Rafiki yangu anaitwa Warioba Josephat Butiku, sote ni Wakazi wa Butiama, Mkoani Mara, juzi alishambuliwa na watu kadhaa kutokana na masuala ya mifugo, alienda kuchukua mifugo sehemu fulani akapishana kauli na hao watu ambao walianza kumshambulia na kumuumiza vibaya. Kwa sasa anapigania maisha...
  13. Fbn

    Familia ya Muigizaji wa wakanda, Chadwick Boseman Yadaiwa Kukabiliwa na Bili ya Hospitali ya Karibu Dola 900,000 Baada ya Kifo Chake

    Kifo cha mwigizaji maarufu Chadwick Boseman mwaka 2020 kiliwashtua mamilioni ya mashabiki duniani kote. Boseman, aliyefahamika zaidi kwa nafasi yake ya T'Challa katika filamu ya Black Panther, alikuwa akipambana kwa siri na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) huku akiendelea kufanya kazi...
  14. The Dictator

    Mwanamume akamatwa baada ya kuvaa kama 'Grim Reaper' (Malaika wa Mauti) na kusimama juu ya paa la hospitali na kuwakodolea macho wagonjwa

    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Leon Gillespie alikamatwa kwa kuvaa vazi la 'Grim Reaper' na kusimama kwenye paa la Hospitali ya Ysbyty Glan Clwyd huko Wales. Baada ya mahojiano likubali mashtaka mahakamani na kupigwa faini ya pauni 200 (£200) na mahakama ya Llandudno. Tukio hilo...
  15. ndege JOHN

    Kauli Ambazo watu hujisemea Moyoni kama masihara ila kweli inawauma na wanamaanisha Wakiona Video za Chumba cha Hospitali cha Zuchu na Mtoto Wake

    "Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa." "Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?" "Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?" "kuna watu wanachezea hela." "sijui niwa unfollow hawa waanafamilia ya wasafi kwanza, pressure za bure hizi." "kwamba mtoto wao ndo ana thamani sanaaaa "Na...
  16. A

    KERO Hivi NHIF Imefilisika? Hospitali nyingi na Vituo vinalalamika kutolipwa!

    Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo. Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza...
  17. A

    KERO Malalamiko huduma dawa hospitali Tandahimba kwa wa watoto chini ya miaka 5 na waendao kliniki ya watoto

    Malalamiko kuhusu utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba Wananchi tunalalamikia hali ya utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba, kwa kuwepo kwa vitendo vinavyoashiria udanganyifu, hususan kwa akina mama wajawazito na watoto wenye umri wa...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  19. H

    Kwanini waumini masikini wasitibiwe au kusoma bure kwenye hospitali na shule za dini

    Habarini, Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%. Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi? Wajinga ndiyo waliwao!!
  20. A

    KERO Wafanyakazi wa Hospitali ya Ekenywa, Magomeni Mwembe Chai hatulipwi kwa wakati

    Wafanyakazi wa Hospitali ya Ekenywa iliyopo Magomeni Mwembe Chai tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazopitia katika sehemu yetu ya kazi. Kwa muda sasa tumekuwa tukikabiliwa na matatizo ya kutolipwa mishahara kwa wakati pamoja na kutolipwa malipo ya muda wa ziada...
Back
Top Bottom