hospitali

Stenoma hospitalis is a moth of the family Depressariidae. It is found in Rio de Janeiro, Brazil.The wingspan is about 29 mm. The forewings are whitish ochreous with the costal edge dark fuscous towards the base. The plical and first discal stigmata are small and ferruginous brown, the plical obliquely posterior. There are two small dark fuscous dots transversely placed on the end of the cell and there is a triangular ferruginous-brown spot on the costa somewhat beyond the middle, and a more elongate one towards the apex. A series of small ferruginous-brown dots is found from the first costal spot strongly curved around beyond the cell, then to two-thirds of the dorsum, and a curved series from the second costal spot to the dorsum before the tornus. There are also some minute marginal dots around the apex and termen. The hindwings are ochreous whitish.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kulazimishwa kufanya kazi bila malipo Hospitali ya Sekou Toure licha ya mkataba kuisha

    Mimi ni mmoja wa madaktari tarajali (Intern Doctors) katika Hospitali ya Sekou Toure. Ninaomba kupaza sauti kuhusu changamoto tunayoipitia baada ya mikataba yetu ya kazi kumalizika tangu Novemba 5, 2026, lakini bado tunaendelea kulazimishwa kufanya kazi bila malipo. Pamoja na mikataba yetu...
  2. Roving Journalist

    Responded Said Mtanda: Nimewapa namba yangu Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ili wanielezee kero zao

    Baada ya Mwananchi kutoa neno kuhusu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), akieleza kuwa Changamoto ya wizi Hospitali ya Rufaa Simiyu (Simiyu RRH) ipo muda mrefu, ishughulikiwe vizuri ujumbe umetolewa kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda ameandika...
  3. A

    DOKEZO Kuna tabia ya udokozi wa dawa kwa Wagonjwa waliolazwa Hospitali ya Mawenzi. Uongozi udhibiti tabia hiyo

    Kuna kero nimekutana nayo hapa Hospitali ya Mawenzi, kuna wizi wa dawa sana, unaandikiwa ukanunue dawa ukiweka kwenye kabati ya mgonjwa ukirudi mchana unakuta hazipo. Mfano unanunua mabomba ya dawa dozi ya siku lakini mgonjwa atachomwa mara moja kisha wanakwambia zimeisha, hii ni mbaya sana...
  4. Roving Journalist

    Mchengerwa apongeza huduma za kibingwa Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila, asisitiza uwajibikaji kwa watumishi

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, tarehe 08 Novemba 2026, amefanya ziara ya kikazi ya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila iliyopo jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kukagua utoaji wa huduma za matibabu pamoja na kuzungumza na wagonjwa na watumishi wa afya. Katika ziara hiyo...
  5. A

    KERO Hospitali ya Amana sehemu ya malipo kuna foleni isiyokuwa na maana

    Ukienda Hospitali ya Amana hapa Dar es Salaam pale sehemu ya Malipo kuna mtumishi mmoja tu na hivyo kuwa na foleni isiyokuwa ya lazima., Inachosha sana na kutusumbua wengi tunaokuwa na uhitaji wa haraka. Uongozi ufanyie kazi suala hilo.
  6. A

    DOKEZO Changamoto ya wizi Hospitali ya Rufaa Simiyu (Simiyu RRH) ipo muda mrefu, ishughulikiwe vizuri

    Mimi ni mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), niliajiriwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa muda ambao nimefanya kazi katika hospitali hii, nimekuwa nikishuhudia changamoto nyingi, ikiwemo tuhuma za wizi na upotevu wa mali na fedha za hospitali. Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa...
  7. A

    KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika. TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976. Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
  8. F

    PostGE2025 Majeruhi wengi wa Oktoba 29, 2025 waliopelekwa hospitali za Wakatoliki wapo hai, tusirudie makosa

    Hili liwe fundisho, Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao, Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
  9. S

    Papa Leo Xiv aruhusiwa kutoka hospitali

    Ikiwa zimepita siku nne toka afanyiwe upasuaji wa kuondoa sehemu ya pafu lake kutokana na ugonjwa wa saratani, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, ameruhusiwa kutoka hospital ya Gemelli alipokuwa akipatiwa matibabu. Vipimo vya damu pamoja na X-ray vilithibitisha kuwa Papa Leo XIV...
  10. M

    Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan yapigwa faini ya Shilingi milioni 1 za Kenya kufuatia kifo cha mgonjwa kilichosababishwa na maambukizi aliyopata

    Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDC) limeitoza Faini Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kiasi cha KSh1 milioni kutokana na usimamizi mbovu na mapungufu katika matibabu ya Valarie Cherono Misoi, aliyefariki dunia baada ya kujifungua mnamo Agosti 2019. Kamati ya nidhamu...
  11. A

    KERO Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kitete tumechoka na majibu mabovu wakati stahiki zetu hatuzipati

    Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete tumechoka na majibu mabovu ya Makatibu na Mhasibu, wamekuwa wakitujibu vibaya sana tukiwa tunadai stahiki zetu. Watumishi wanajitolea sana muda wao mwingi wanautumia kazini lakini yakija malipo ya extra na call mtu anakatwa unakuta mtu...
  12. A

    KERO Malalamiko kuhusu huduma kwa wagonjwa wanaotumia bima ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

    Kwa kuzingatia juhudi za Serikali za kuhamasisha mpango wa huduma ya afya kwa wote, ninajiuliza kuhusu hali inayoendelea katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, hususan namna wagonjwa wanaotumia bima ya afya wanavyohudumiwa. Kuna siku nilimpeleka mgonjwa wangu aliyekuwa na jeraha...
  13. A

    KERO Watumishi tuliohama Hospitali ya Wilaya ya Nzera - Geita hatujalipwa malipo ya 'extra duties'

    Kero yangu ni kutokulipwa malipo ya extra duties kwa watumishi ambao tumehama katika Hospitali ya Wilaya ya Nzera, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita. Viongozi wa hospitali hawajalipa malipo ya extra duties kwa wafanyakazi ambao tulifanya kazi hizo kwa nguvu zetu zote. Badala yake...
  14. A

    KERO Walinzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini – Mtwara ni wasumbufu, wanasumbua Watu getini

    Wananchi wanaofika kupatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mitengo katika Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara kuna changamoto ya Walinzi kuwa wasumbufu kwa Wananchi hasa katika utaratibu wa uingiaji. Walinzi wanaolinda geti la hospitali hiyo wamekuwa...
  15. Financial Analyst

    Wewe mlinzi wa hapo hospitali ya mbarali ukome na hio tabia ya kuchungulia wakina mama wakiwa leba

    secretarybird acha kabisa 😁
  16. A

    KERO Huduma mbovu parking ya Hospitali ya Taifa Muhimbili: Nimelipishwa "Lost Ticket" TZS 20,000 baada ya kulipia parking

    Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini. Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
  17. A

    KERO Wafanyakazi wa muda Hospitali ya Halmashauri Musoma DC hawajalipwa mishahara ya miezi mitatu

    Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma DC kuna wafanyakazi wa muda (temporary) hawalipwi mishahara yao zaidi ya miezi mitatu, na hata wakilipwa baada ya miezi hiyo wanalipwa mwezi mmoja. Kila wakijaribu kufatilia wanatishiwa kufukuzwa kazi, wakimueleza Mganga Mkuu na DMO wanaambiwa...
  18. A

    KERO Watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa tunakumbana na changamoto nyingi, tunaomba msaada wa Serikali na TAKUKURU

    Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums. Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili. Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
  19. A

    KERO Baadhi ya Watumishi tuliokuwa hospitali ya Ubungo tunadai 'overtime' kwa muda mrefu

    Mimi ni miongoni mwa watumishi wa mkataba waliowahi kufanya kazi katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo iliyopo Kimara Baruti. Nilisitisha mkataba wangu kwa kufuata utaratibu wa kutoa barua rasmi ya kusitisha mkataba. Ninaandika kuwasilisha malalamiko kuhusu kutolipwa malipo ya overtime...
  20. A

    HOJA Hospitali ya Manispaa ya Singida iboreshe njia ya kupitisha wagonjwa kutoka jengo moja kwenda lingine

    Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa Wodini, Maabara na Radiologia kutoka Emergency pamoja na maternity. Hiyo ni katika mchakato wa...
Back
Top Bottom